lidoda
JF-Expert Member
- Apr 27, 2008
- 641
- 574
Ni kwa bahati mbaya nilipojaza kifusi ndani ya garden yangu kumekuwa na ndagu nyingi sana. Hizi ndagu inaonekana zililetwa na hicho kifusi.Nimejaribu kuzign'oa lakini bado zipo na zimenikatisha tamaa jinsi ya kuziua..
Kwa wale wenye ushauri naomba mnishauri kusudi niziue hizi ndagu
Natanguliza shukurani zangu kwa ushauri wenu mzuri
Kwa wale wenye ushauri naomba mnishauri kusudi niziue hizi ndagu
Natanguliza shukurani zangu kwa ushauri wenu mzuri