Search results

  1. M

    Hapa ndipo alipojikwaa Magufuli na si kurekebika au kurekebisha

    Nilikuwa kati ya watu wa kwanza kutaadharisha kwamba serikali ya awamu ya 5 haiendi mwelekeo sahihi. Hii ilikuwa ni baada ya kuona awamu hii inatoka kwenye agenda zilizowapa umaarufu kama:- Kutumbua watumishi wazembe na wabadhirifu Rais kufanya usafi mwenyewe mitaani Kupiga marufuku virobba...
  2. M

    Wanaojaribu kuihusisha Chadema na tukio la Lissu wanasahau kwamba Lissu ameokoka na atakuja kutema miare ya moto!

    Inaonekana Kuna propaganda ilikuwa imepikwa kwa usitadi mkubwa kupigwa Kama Lissu angekufa.Tangu jana zimeanza kuonekana dalili ya kitu gani kingetokea. Wanasahau kwamba jemedari ameokoka kwa mpango wa Mungu na wanasahau kwamba ameanza kutema cheche kule Nairobi. Hiyo ni miale tu, bado...
  3. M

    Mnaosubiri rais kuwatumbua wakuu hawa wilaya mtasubiri sana!

    Kuna mijadara inaendelea kwenye mitandao ya kijamii kwamba wakuu wawili wailaya, mmoja aliyepiga mzazi wa mtoto aliyevunja kioo cha gari na aliyaliyemsweka ndani mwalimu kwa kushindwa kutaja jina la DC watafukuzwa kazi. Hivi mnadhani rais hajazisikia kelele hizi? Hivi mnadhani rais hakumuona...
  4. M

    DW: Mwanamke ajifungua mstarini akisubiri kupiga kura nchini Kenya!

    Katika hali inayoonyesha wenzetu wanavyojua umuhimu wa kupiga mwanamke mmoja amejifungua akiwa mstarini akisubiri kupiga kura. Mwanamke huyo Polina Chamanen'g alikimbizwa zahanati ya karibu kupewa huduma na akarejea name kichanga na kupiga kura baada ya kusisitiza lazima arudi kupiga kura yake
  5. M

    Asanteni wanahabari kutuzimia maigizo ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam

    Hatua zilizochukuliwa na jukwaa la wahariri kumfungia mkuu wa mkoa wa Dar, yani kuamua kutoshirikiana naye. Kutoandika habari zake, kumetuliza nchi kiukweli. Ni kitendo cha kizalendo, cha kuungwa mkono na kila mtanzania anayelipenda taifa lake na anayeitakia nchi yake mema. Tulikuwa na wasi...
  6. M

    Watanzania tuache tabia mbaya ya kuwabebesha washauri wa rais makosa ya wazi anayofanya yeye!

    Hizi tabia zilianza wakati wa Kikwete kwamba rais kama yeye hana tatizo ni washauri wake. Nilikuja juu kwamba sisi watanzania hatukuchagua mtoto na tuna uhakika kw rais wetu ana akili timamu. Hivyo makosa yake hayapaswi kubebwa na mtu mwingine. Sasa awumu ya tano haijakaa hata miaka miwili...
  7. M

    Abiria tuzidishe kelele kumbe dereva anatusikia!

    Leo dereva wetu kwa kinywa chake amekiri anatusikia! amesema "ukiwa unaendesha roli na umebeba watu, kuna watakaoangalia mbele, kuna watakaongalia ubavuni (nadhani alitaka kusema pembeni si mnajua kiswahili cha dereva wetu?) na wengine wataangalia mbele. Kama umebeba wasukuma wataenda wanaimba"...
  8. M

    Afadhali mara 100 ametekwa ROMA, ukweli utajidhihirisha

    Kwanza niseme serikali hata ingejiosha kwa brush ya chuma hakuna anayeweza kuwaamini. Kwa hiyo waache kupoteza muda kukanusha au kufanya propaganda. Serikali ni suspect namba 1 na kama hawakumteka wao basi ndiyo wawajibikaji namba 1 wa usalama wake na wenzake. We want Romaa live! Lakini mi...
  9. M

    TAMASHA la XXL Dodoma lagubikwa na simanzi, umati wamyoshea mabango waziri!

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida leo kile kipindi cha XXL kilichokuwa kinaruka moja kwa moja toka Dodoma kimegeuka majonzi baada ya mamia ya vijana kunyoosha mabango yaliyoandika FREE ROMA Watanganzaji walilazimika kubadili interview na kumwambia naibu waziri habari utamaduni na michezo Antony...
  10. M

    Ikiwa ni kweli mkuu wa mkoa wa Dar ameidharau tume ya Nape sasa atakuwa kafika mbali!

    Magazeti ya leo yanasema Makonda jana hakukutana na tume iliyoundwa na Nape kwa vile alikuwa na kazi nyingi. Kama hii habari ni kweli ni kiburi kilichovuka mpaka. Ikiwa ni kweli pia inatoa nafasi kwa maboss wake wawili kuchukua uamzi mgumu sana. Kwanza anampa rais nafasi ya pili ya kumfukuza...
  11. M

    Suala la Makonda limefungwa huku Gwajima, Mbowe, Wema na Manji wakiwa washindi

    Wapo wanaosikitika, wapo waliokwazika, wapo ambao wanaolalamika kwamba haki haikutendeka kwa Makonda hakuchukuliwa hatua sitahiki na wanazochukuliwa viongozi wengine. Binafsi nimefunga mjadala huu kwa kuwapa ushindi Gwajima, Mbowe, Wema na Manji. Nawapa ushindi hawa kwa sababu hawa walitangaza...
  12. M

    Kuna kitu hakiendi sawa: Mkuu anapambana na umma?

    Kuna mambo ambayo yanaonyesha kuna kitu hakiendi sawa lakini kwa hulka zetu za kishabiki na kutofuatilia mambo ya msingi nchi hii hatujakiona. Kwana maoni yangu mkuu ana tabia ya kutotaka kushindwa kwa kila jambo na ukimkosoa umeharibu maana atafanya zaidi hicho unachomkosoa ili aonekane...
  13. M

    Wahariri wa Tanzania wasingekuwa 'vibaraka' wangemuuliza rais maswali yafuatayo:-

    1. Kwa nini tunaambiwa uchumi unakua wakati hali ni mbaya mtaani? 2. Kwa nini hajawahi kutamka neno Escrow tangu ameingia madarakani wakati kuna maazimio ya bunge serikali haijayafanyia kazi? 3. Ni kwa nini tunaambiwa serikali inakusanya kodi hadi kuvuka kiwango wakati hospitali zote nchini...
  14. M

    Kwa nini Magufuli hashauriwi suala la Kagera?

    Sasa nimeamini wateuliwa wa rais hawamsaidii. Tangu tetemeko sasa ni zaidi ya mwezi na nusu wananchi hawajapokea msaada zaidi bisukuti, maji, nusu kilo ya sukari, majani ya chai nk. Wananchi wanaona kila siku mabilioni yakichangwa kusaidia wahanga wakati wao wakilala kwenye maturubai. Hivi nani...
  15. M

    Waziri Mkuu wetu mpendwa ameanza lini ziara ya mkoa wa Dar es Salaam?

    Jana Waziri Mkuu wetu alionekana akiwa na mfanyabiashara maarufu nchi Mzee Bakheresa jijini Dar es Salaam, lakini pia alionekena akipokea misaada toka kwa watu mbali mbali kwa ajiri ya waathirika wa tetemeko mkoani Kagera. October 2 taifa lilitangaziwa ofisi za waziri mkuu kuhamia Dodoma rasmi...
  16. M

    Mbwembwe zote, kumbe Serikali haijapeleka hata senti Muhimbili kwa miezi 9!

    Kama mnakumbuka jana Waziri Ummy Mwalimu aliitaka bodi ya Muhimbili ijieleze ni kwanini wanawatoza wanawake wanaokwenda kujifungua pale hadi shilingi laki tatu kama gharama za kujifungua pale. Lakini msemaji wa Hospitali hiyo ya rufaa Aliamini Aligaesha amenukuliwa na vyombo mbali mbali vya...
  17. M

    Rais Magufuli kama haoni chochote kizuri toka upinzani asitegemee upinzani waone kizuri toka kwake

    Rais Magufuli anatakiwa kujua kwamba kuna watanzania milioni 6 (zilizotangazwa) hawakumpigia kura. Umoja wa kitaifa na uzalendo wa watu kupenda vya kwao na kuipenda nchi yao kunaanzia kwake kujua, kutambua na kukubali kwamba kuna watu hawakumuunga mkono yeye wala chama chake na ni haki yao ya...
  18. M

    Magazeti yaipa kisogo ndege ya Rais Magufuli

    Nawshukuru wahariri wa magazeti ya Tanzania, kiukweli haikuwa habari ya umuhimu kiasi hicho. Kumbuka kuna magazeti yaliyotutayarisha mwezi mmoja kabla kwamba ndege hii itwasili! Hivi Kenya Airways wakinunua ndege Kenyata anaweza kujua? Ukiachilia mbali wananchi, hivi magazeti ya Kenya yanaweza...
  19. M

    Rais Magufuli awe makini na misaada ya Wanakagera, itamchafua

    Kama kuna kitu kitamchafua Magufuli mkoa wa Kagera ni misaada ya wahanga wa tetemeko la Sept 10 mkoani Kagera. Baada ya wahisani mbali mbali kujitokeza kutoa misaada kwa wahanga hao, rais amejitokeza na kutoa maelekezo tofauti jinsi ya kutumia misaada hiyo. Mfano rais ametoa maelekezo ya...
  20. M

    Siasa haina rafiki au adui wa kudumu, CHADEMA kwanini tusimuunge mkono Kenyatta?

    Ule msemo maarufu wa mwenyekiti wetu wa kubadili gia angani unaelekea kutimia tena kwa siasa za nchi jirani. Mtakubuka uchaguzi uliopita Kenya tuliwaunga mkono CORD chini ya Raila Odinga na tulipeleka mpaka magari yetu ya matangazo kule. Odinga kwa urafiki binafsi na Magufuli kaonyesha kumuunga...
Back
Top Bottom