Hizi tabia zilianza wakati wa Kikwete kwamba rais kama yeye hana tatizo ni washauri wake. Nilikuja juu kwamba sisi watanzania hatukuchagua mtoto na tuna uhakika kw rais wetu ana akili timamu. Hivyo makosa yake hayapaswi kubebwa na mtu mwingine.
Sasa awumu ya tano haijakaa hata miaka miwili tayari kelele za kwamba rais hashauriwi vizuri zimepamba moto. Hivi mnataka washauri wafanye nini kwa mtu aliyesema "mimi sipangiwi?"
Mnataka wamshauri nini wakati amsesema hasikilizi watu walio kwenye roli? Kwani wao wako nje ya roli? Mnataka wamshauri hata suala la Bashite? Kweli?