Magazeti ya leo yanasema Makonda jana hakukutana na tume iliyoundwa na Nape kwa vile alikuwa na kazi nyingi. Kama hii habari ni kweli ni kiburi kilichovuka mpaka.
Ikiwa ni kweli pia inatoa nafasi kwa maboss wake wawili kuchukua uamzi mgumu sana. Kwanza anampa rais nafasi ya pili ya kumfukuza kazi kwa kudharau tume iliyoundwa na serikali. Hatua hiyo itamuondoa rais kwenye lawama kubwa anazokumbana nazo tangu uamzi wake wa kumkingia kifua.
Pili inatoa nafasi kwa Nape mwenyewe kujiuzulu kwa mtu aliye chini yake kukaidi kukutana na tume aliyounda kwa kiburi cha kulindwa na mtu aliye juu ya Nape.