Search results

  1. SODOKA

    Msaada:Jikomboe secondary S4535 NOT FOUND

    Salaam alekyum wana JF. Nina tatizo kwenye kujaza form za bodi ya mkopo kila nikiingiza namba ya shule ya Jikomboe Secondary 4535 inasema NO SCHOOL FOUND WITH THIS NUMBER ,,nimejaribu kuwapigia help desk bodi ya mkopo lakin hawapatikan namba zao zote ,,nahitaji ushauri wenu wa JF niconfirm ivo...
  2. SODOKA

    Chumba Mbezi ya Kimara

    Natafuta chumba sebule self container au yenye choo cha nje lakini cha kujitegemea maeneo ya Mbezi mwisho yaan walking distance to Mbezi terminal lakn kama kipo cha njia ya Goba road nipo tayari kulipia na kuhamia kesho..Bajeti yangu ni elfu 80 hadi laki Moja Sent using Jamii Forums mobile app
  3. SODOKA

    Dar es Salaam Home Teachers WhatsApp group.

    Hello. There is a WhatsApp group for Dar es Salaam home tuition teachers network ....when i say home tuition teachers I mean those teachers who teach at home basis by visiting students to their home .Let us form a network for easy access and help our home teaching programme more successful...
  4. SODOKA

    Chumba sebule elfu 70 maeneo ya Morogoro road isivuke Kimara Mwisho DSM

    Wana JF natafuta chumba sebule kwa ajili ya mdogo mwangu cha kawaida choo cha nje...bei elfu 70 kwa mwezi ....maeneo ya kuanzia Ubungo kuelekea Kimara along Morogoro Road.....hata elfu 80 sio mbaya....NI Pm kama unacho
  5. SODOKA

    Mtu aliyesoma Bachelor of Science in Microbiology atafanya kazi wapi??

    Wadau wa Jamii forum natumai m-wazima wa afya .. Nadhani nafahamika na wengi humu JF ambao hamnifahamu naitwa Sodoka. Kuna mtoto wa kaka yangu amechaguliwa UDSM Bachelor of science in Microbiology Swali langu ni kama ifuatavyo. Je, mhitimu wa hii course anaweza kufanya kazi kwenye maabara...
  6. SODOKA

    Is an egg a living thing or non things

    jamani hivi YAI la kuku alilomaliza kutaga ni living thing or non living thing???
  7. SODOKA

    Msaada: Nani kaimba huu wimbo kama unao nisaidie

    Hello wana JF .. kuna nyimbo ya bongo flava ina chorus hii hapa Mpenzi wangu samahani Makosa nimekosa mimi Naomba unisamee angali bado niko hai Ni ya kitambo kidogo nahisi kuna sauti ya Jafarai ndani yake japo sina uhakika Nimegugo sana mpaka nimechoka niliwah kuwa nayo kabla PC yangu...
  8. SODOKA

    walimu wa masomo ya biashara wamo kwenye kuachwa???

    wakuu kwenye tangazo la ndalichako sijaona sehemu imeandikwa walimu wa masomo ya commerce ..book keeping na economics ..kwaio na wao wamepigwa panga kudadeeeki ....... it is a can't believe event ...siamin nikiwa naandika thread hii ....poleni sana walimu ..mliokuwa na familia na wachumba zenu...
  9. SODOKA

    Ushauri kwa walimu wa arts waliokosa ajira..

    alternatives hizi ukizifuata utafanikiwa .. 1. kama O level ulisoma science mwakani tafuta chuo ukasome diploma au certificate ya course ya afya eg nursing ,,clinical medicine etc 2. kama o level ulisoma pure arts ila biology ulipata PASS ..mwakani omba chuo cha afya kasome certificate ya...
  10. SODOKA

    Kama course unayosoma haipo kwenye list hii jiandae kisaikolojia

    Kama upo chuo na course unayosoma haipo kwenye list hapa chini jiandae kisaikolojia kukabiliana na tatizo sugu la kukosa ajira. 1.ualimu wa arts, sayansi na Mathematics. ..ila ualimu wa arts hauaminiki sana siku hizi 2.Udaktari wa binadamu pamoja na unesi ,meno ila pharmacy haitabiriki...
  11. SODOKA

    Kauli tata ya Rais Magufuli kuhusu chuo cha N.I.T

    wana JF .. kuna hii clip inasambaa sana mitandaoni kuhusu kauli ya rais wetu kuhusu kuwepo kwa vyuo vikuu ndani ya nchi yetu,,,,ametaja baadhi ya vyuo ambayo hapo awali vilikuwa vinatoa elimu ya diploma yaani vilianzishwa kama taasisi (INSTITUTE) ,,amejaribu kutumia lugha flani hivi ambayo...
  12. SODOKA

    Tofauti ya ord. diploma of lab sciences and ord dip of lab technology

    Habari, Naomba mtu anisaidie tofauti ya hizo course. Naomba msaada maana tumekwama hapa. Natanguliza shukrani.
  13. SODOKA

    Nilivyomuelewa Kasim Majaliwa in relation to Walimu wa Arts.

    waziri kasema walimu wanapangiwa direct mashuleni kulingana na uhaba .....kwaio ukifanya integration kisha ukamalizia na differentiation uhalisia ni kuwa mashule mengi yamejaa walimu wa arts yaan watakuwa wanachek kwenye uhaba wa walimu wa arts wanapangiwa ila kwenye shule zenye walimu weng wa...
  14. SODOKA

    Tahadhari kuhusu kubadili course ukifika chuo...

    ndugu zangu najua kuna mliokosa first round ya TCU ,,wengi wenu kwa sasa mnajaza course yoyote ili mradi upate chuo eti ukifika utabadili course.... natoa angalizo hii iliwahi kunikuta na mimi ni mmoja kati ya wahanga niliochaguliwa first round mwaka 2011 nilipofika chuoni nilitaka kubadili...
  15. SODOKA

    Expired Registration VS Expired Accreditation ya NACTE

    habari wadau wa JF... wakati mwingine tuweni makini na vyuo tunavyoenda kusoma hasa hivi vya private ....Haya maneno niliyoyataja hapo juu yananimix kwan nimejaribu Kuchek orodha ya vyuo kwenye website ya Nacte kuna baadhi ya vyuo unakuta kipo Full registered lakn kwenye accreditation...
  16. SODOKA

    Mahakama ya Ndizi

    wataalamu wa lugha natumai hamjambo. Naombeni ufafanuzi katika hili kwanini sehemu zinapouzwa ndizi karibu Tanzania nzima zinaitwa Mahakama ya ndizi....mfano mahakama ya ndizi Morogoro mahakama ya ndizi Mabibo dsm mahakama ya ndizi kijijini Mbingu NB nilipost kule jukwaa la lugha lakn halina...
  17. SODOKA

    Kwanini inaitwa #MAHAKAMA YA NDIZI???

    wataalamu wa lugha natumai hamjambo. Naombeni ufafanuzi katika hili kwanini sehemu zinapouzwa ndizi karibu Tanzania nzima zinaitwa Mahakama ya ndizi....mfano mahakama ya ndizi Morogoro mahakama ya ndizi Mabibo dsm mahakama ya ndizi kijijini Mbingu
  18. SODOKA

    Medical Students are not Creative than engineering students?

    eti ni kweli medical students are not creative than engineering students ........ lakin napata mashaka kwani kuna maengineer wengine waliosoma miaka minne tena elimu ya chuo kikuu mechanical engineering lakin hawawezi kutrace tatizo dogo tu kwenye gari,,,yaaan namanisha "There are some...
  19. SODOKA

    Nisaidieni tofauti ya Mwanasheria na Wakili

    wa JF naombeni mwenye kujua iyo tofaut ya mwanasheria na wakili anijuze
  20. SODOKA

    Bachelor of Science in Biotechnology and Laboratory Sciences

    wadau salaaamu... Hii course unapata job gani aiseee nielewesheni tu msione kuwa nawatega
Back
Top Bottom