Ushauri kwa walimu wa arts waliokosa ajira..

SODOKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,654
Reaction score
724
alternatives hizi ukizifuata utafanikiwa ..
1. kama O level ulisoma science mwakani tafuta chuo ukasome diploma au certificate ya course ya afya eg nursing ,,clinical medicine etc
2. kama o level ulisoma pure arts ila biology ulipata PASS ..mwakani omba chuo cha afya kasome certificate ya community health
3. kama alternatives zote hapo juu ukiona hazifai kufa dhiki yako usitulalamikie hum JF.......... anzisha mradi wa kufuga kuku au tafuta private school au uhame Tanzania katafute job nchi nyingine pia kuna schools ...au uhame........
 
Magufuri atatoka na utawala wake...hili liwe somo kwa wote mliokuwa mnashadadia rangi ya kijani.
 
alternatives hizi ukizifuata utafanikiwa ..
1. kama O level ulisoma science mwakani tafuta chuo ukasome diploma au certificate ya course ya afya eg nursing ,,clinical medicine etc
2. kama o level ulisoma pure arts ila biology ulipata PASS ..mwakani omba chuo cha afya kasome certificate ya community health
3. kama alternatives zote hapo juu ukiona hazifai kufa dhiki yako usitulalamikie hum JF.......... anzisha mradi wa kufuga kuku au tafuta private school au uhame Tanzania katafute job nchi nyingine pia kuna schools ...au uhame........
leta na nyingine COMRADE SODOKA ON AIR
 
[QUOTE="24hrs, post: 18896941, member: 402793"
Ni kama kwenye matangazo yao ya mwezi April niliona mpaka degree na kuendelea wanaruhusu.
 
nadhani waalimu wa arts sio wapiga kura. na wako wengi kuliko wa science wanapigika kweli mtaani huku. 2020 sio mbali lakini tujipe moyo.
 
Chakushangaza kuna wengi tu ambao wameingia mwaka wa Kwanza wanasoma masomo ya arts afadhali kuanza upya kutoka 3 kuliko kuanza upya kotoka 10 wanakokomaliq kwenda
 
alternatives hizi ukizifuata utafanikiwa ..
1. kama O level ulisoma science mwakani tafuta chuo ukasome diploma au certificate ya course ya afya eg nursing ,,clinical medicine etc
2. kama o level ulisoma pure arts ila biology ulipata PASS ..mwakani omba chuo cha afya kasome certificate ya community health
3. kama alternatives zote hapo juu ukiona hazifai kufa dhiki yako usitulalamikie hum JF.......... anzisha mradi wa kufuga kuku au tafuta private school au uhame Tanzania katafute job nchi nyingine pia kuna schools ...au uhame........
Hivi si kuna madaktari waliokosa ajira?
Serikali hain pesa ya kuwalipa, au niliskia vibaya?
 
[QUOTE="24hrs, post: 18896941, member: 402793"
Ni kama kwenye matangazo yao ya mwezi April niliona mpaka degree na kuendelea wanaruhusu.
ok mkuu iwe hivyo maana mi degreee uku mtaani inatishia aman
 
Hivi kupigwa mswaki kwa walimu wa Arts hakutaathiri uhamisho wa watumishi?
 
alternatives hizi ukizifuata utafanikiwa ..
1. kama O level ulisoma science mwakani tafuta chuo ukasome diploma au certificate ya course ya afya eg nursing ,,clinical medicine etc
2. kama o level ulisoma pure arts ila biology ulipata PASS ..mwakani omba chuo cha afya kasome certificate ya community health
3. kama alternatives zote hapo juu ukiona hazifai kufa dhiki yako usitulalamikie hum JF.......... anzisha mradi wa kufuga kuku au tafuta private school au uhame Tanzania katafute job nchi nyingine pia kuna schools ...au uhame........
Private schools zimejaa wakenya.
Serikali iwafukuze wakenya ili sisi walimu wa sanaa tupate ajira
 
Back
Top Bottom