walimu wa masomo ya biashara wamo kwenye kuachwa???

SODOKA

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,665
2,000
wakuu kwenye tangazo la ndalichako sijaona sehemu imeandikwa walimu wa masomo ya commerce ..book keeping na economics ..kwaio na wao wamepigwa panga kudadeeeki .......

it is a can't believe event ...siamin nikiwa naandika thread hii ....poleni sana walimu ..mliokuwa na familia na wachumba zenu nawapa pole sana
 

Molaro

JF-Expert Member
Nov 9, 2013
690
500
Mkuu masomo yote yasiyo ya sayansi (physics,chemistry, biology na agruculture) yamewekwa na serikali katika kundi moja la masomo ya Arts(sanaa) isipokuwa Hisabati. Niliona hivyo kipindi nipo A level.
 

Jics

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
234
500
nahisi sirikuli imekurupuka au prof ndali aanaogopa kumshauri mkulu
 
Aug 17, 2016
32
125
wakuu kwenye tangazo la ndalichako sijaona sehemu imeandikwa walimu wa masomo ya commerce ..book keeping na economics ..kwaio na wao wamepigwa panga kudadeeeki .......

it is a can't believe event ...siamin nikiwa naandika thread hii ....poleni sana walimu ..mliokuwa na familia na wachumba zenu nawapa pole sana
ko tulisoma certificate mbna hatuelewi jmn ata kuzungumziwa duu anaeza kunywa deep walah
 

Jimmy George

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
1,738
2,000
Jamani ndali amesema waandishi wamemnukuu vibaya ajira ni kwa awamu kila mtu mwenye sifa ataajiriwa,subira muhimu
Kama kuvumilia watu tumevumilia hizo awamu mpaka lini wanazingua sana hawa
hahaha,amna mkuu jamaa hapo juu kasema uvumilivu.
Uvumilivu upi tena zaidi ya huu wa kuvumilia ajra zaidi ya mwaka 1 na miez 7 ? Wanachosha hawa jamaa heri wawe wazi tu
 

denis mnyinya

New Member
Mar 20, 2015
2
20
Watapangwa 2 wavute subir Mungu ataingilia kati kwan ye ndo ajuaye mapito yao na wala c ndalichako ama the special one
 

BOD

JF-Expert Member
Oct 13, 2016
222
250
sk za nyuma kazi ya wizara ya elimu ilikua kuainisha mhtj ya wlm( nchi nzima) na kuthibitisha wlm wenye sifa za kuajiriwa( waliofaulu) kuanzia cheti hd shahada,, kisha kuwakabidhi tamisemi..tamisemi kwa kushirikiana na wizara ya ajira na kazi walishughulika na mchakato wa kuwaga wlm na kuwalipa sthk tyr kwa kuanza kazi,,, lkn ss naona mzigo wote unapigwa na wzr ya elimu,, sielewi kinachoendelea.
 

John-Q

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
562
1,000
Elimu ya nchi yetu hii ni sehemu ya siasa, kila anaekuja huja na lake.

Sera ya elimu ya taifa inabidi iangaliwe upya na iandaliwe kutokana na mahitaji ya taifa ya kijamii na kiuchumi ya muda mfupi, wa kati na mrefu.

Institutions ziwe autonomous na nguvu kulinda maslahi yake. Na hili sio kwa elimu tu ni maeneo yote mfano afya nk.

Mambo ya msingi yasiingiliwe na siasa. Tunahitaji strong institutions zitakazoweza kusimamia mipango yake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom