Expired Registration VS Expired Accreditation ya NACTE

Expired Registration VS Expired Accreditation ya NACTE

SODOKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,656
Reaction score
724
habari wadau wa JF...

wakati mwingine tuweni makini na vyuo tunavyoenda kusoma hasa hivi vya private ....Haya maneno niliyoyataja hapo juu yananimix kwan nimejaribu Kuchek orodha ya vyuo kwenye website ya Nacte kuna baadhi ya vyuo unakuta kipo Full registered lakn kwenye accreditation kimeandikiwa Not accredited .....

mbaya zaid kuna vingne ni vyuo vikubwa kabisa mfano machame...bugando ....kibaha..kan etc ...KCMC haviko Accredited .....

kwan maana ya neno Accreditation ni nini ....au inakuaje chuo kinakuwa full registered lakn not accredited....na muda gani accreditation uwa inaisha au kwann accreditation Inakuwa expired at the same time registration ya chuo inakuwa FULL ( permanent)

mwenye ufaham anipe ufafanuz kwa manufaa yangu na wana JF kwa ujumla........
 
Back
Top Bottom