KERO Hii Barabara ya Dodoma – Iringa ni hatari kwa usalama wa watu na vyombo vinavyopita

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari wana JF, hii video nimeirekodi kwa mikono yangu mwenyewe, inaonesha Barabara ya Dodoma to Iringa jinsi ilivyo hatarishi kwa maisha ya watu wanaotumia, barabara ina viraka vingi na mahandaki mengi sana.

Nimeiangalia kwa jina la kizalendo na kugundua kuwa hii barabara inahitaji matengenezo makubwa.

Barabara hii ni mzigo kwa Serikali na walipa kodi.

Mbaya zaidi Wakala wa Barabara - TANROADS Dodoma wao wanachimba wanajaza udongo wanaondoka, tofauti na upande wa Iringa ambao wao wanaziba mashimo na wanajitahidi ku-maintain barabara.

Wananchi tumelalamika sana kuhusu hii changamoto, ukiangalia hapo kwenye video utaona jinsi gani ambavyo dereva unahitaji kuwa makini, la sivyo unaweza ajali ni nje-nje au kuharibu magari.

Na haina miaka 15 lakin imechoka vibaya mno
 
Hii si barabara mpya?
 
Na hili anaweza kuelekezewa lawama Mbowe
 
Ninakuunga mkono, Dodoma -Iringa road ni mbovu sana hasa upande wa Dodoma
 
Habari wana JF, hii video nimeirekodi kwa mikono yangu mwenyewe, inaonesha Barabara ya Dodoma to Iringa jinsi ilivyo hatarishi kwa maisha ya watu wanaotumia, barabara ina viraka vingi na mahandaki mengi sana.

Nimeiangalia kwa jina la kizalendo na kugundua kuwa hii barabara inahitaji matengenezo makubwa.

Barabara hii ni mzigo kwa Serikali na walipa kodi.

Mbaya zaidi Wakala wa Barabara - TANROADS Dodoma wao wanachimba wanajaza udongo wanaondoka, tofauti na upande wa Iringa ambao wao wanaziba mashimo na wanajitahidi ku-maintain barabara.

Wananchi tumelalamika sana kuhusu hii changamoto, ukiangalia hapo kwenye video utaona jinsi gani ambavyo dereva unahitaji kuwa makini, la sivyo unaweza ajali ni nje-nje au kuharibu magari.
hiyo barabara ilijengwa chini ya kiwango mno mno, humo mimi huwa napita kwa speed kali kufukia hayo mashimo na nikifika ninakoenda gari inakuwa gereji. kuna wakati huwa natamani hata kupita morogoro ndio niende njia ya dodoma ila ni parefu mno. halafu ni imenyooka sana unaweza kujikuta umetembea speed 180phr, na kuna makundi ya ng'ombe na mikokoteni ya punda huwa inakuwepo ukifanya mchezo utakuta umeshajaa. kuweni makini. hata hivyo kwetu sisi wa zamani, njia hiyo enzi zile ni vumbi tunaona afadhali hata hii ipo kuliko zamani, ila tunaomba serikali itengeneze kwa kiwango kwasababu ni barabara ya kimataifa hiyo toka cairo hadi cape town.
 
Back
Top Bottom