Meli ya MV. Victoria iliyo chini ya Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) inayofanya safari zake kati ya Mwanza na Bukoba, kwa miezi kadhaa sasa “crane machine” haifanyi kazi baada ya kuharibika...
Eneo la Msufini, Manispaa ya Singida ni mashughuli na maarufu kwa biashara hapa Singida. Shughuli nyingi za biashara za aina mbalimbali zinafanyika karibia eneo lote la Msufini.
Kinachosikitisha...
Siku chache baada ya baadhi ya Wanachama wa JamiiForums.com kuandika maandiko ya kulalamikia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutokana na changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika...
Mimi Mkazi wa Geita kwa muda mrefu sasa mkoa wetu umekuwa na changamoto ya mgao wa maji.
Maji yamekuwa yakitoka mara moja kwa wiki. Hii ni kwa Mtaa wetu na maeneo mengine mengine.
Kila tukiuliza...
Kwa sasa makato ya kodi unaponunua LUKU yameongezeka kutoka TZS 1,000 mpaka TZS 2,000.
Tunaomba maelezo kwanini gharama hizi zineongezeka? Kuna sababu gani ya kuendelea kufanya maisha ya...
Wakuu,
Pongezi sana JamiiForums kwa kutupazia sauti mpaka maji yameanza kutoka na presha ipo vizuri tofauti na siku tatu za nyuma kabla ya maji kukata kukabisa.
Nimeona Waziri amekuja kujibu na...
Wakuu,
Msione kila siku napiga kelele mkadhani nazingua, leo naweka baadhi ya screenshot muone majibu ya DAWASA ya kipuuzi na wananchi tunavyolilia huduma utafikiri tunaipata bure!
Pia soma: √ -...
Meya wa Manispaa ya Tabora, Ramadhan Kapela, amewataka vijana wa Manispaa hiyo kumkamata mtu yeyote atakayeonekana anatupa takataka hovyo mitaani ili kuimarisha hali ya usafi wa Manispaa...
Juzikati Oktoba 23, 2024 nilipofika eneo la Mti Mmoja - Monduli (Arusha) nikiwa njiani kuelekea Dodoma nikitokea Arusha, niliona jambo la kushangaza sana, nilishuhudia Wanafunzi wa shule wakinywa...
Kuandikisha watoto ili kuiba kura mshinde muunde Serikali mnaweza, mna kila mbinu za wizi wa kura ili muongoze ila hamna mbinu za kutatua changamoto za mnaolazimisha kuwaongoza.
Au akili huishia...
“Nilimkuta binti yangu chumbani kwa mpangaji mwenzangu, mbaya zaidi baada ya upekuzi yule mpangaji kumbe alishamnunulia simu binti yangu, na akampa ufunguo wa chumba ili muda wote akimtaka aweze...
VIFUSI VYA BARABARA VYAGEUKA KERO.
Vifusi vilivyowekwa kwa muda mrefu bila kusambazwa katika barabara ya Sogea Machinjioni vimegeuka kero na usumbufu kwa watumiaji wa barabara hiyo na kuiomba...
Nawasalimu ndugu zangu.
Samahani kwa usumbufu, kaka yangu alipata ajali mbaya sana ya pikipiki akiwa kwenye mizunguko yake.
Aliumia hasa, akapelekwa Taasisi ya MOI, ndugu tumepeleka hela nyingi...
Habari
Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu...
Taa za barabarani eneo la Stand ya Morocco hadi Biafra zinahitaji kutengenezwa, kwani ni hatarishi kwa usalama.
Ikifika usiku, Morocco inatisha kwa giza. Taa za barabarani kuanzia Stand ya...
Nikiwa kama Mdau mkubwa wa mtandao wa Manunuzi ulianzishwa wa Nest badala wa ule wa Taneps wa awali, nikiri huu wa NEST ni majanga.
Nikweli mtandao wa Taneps ulikuwa unachangamoto zake lakini pia...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu changamoto ya huduma ya maji iliyopo katika Kata ya Kishiri, ufafanuzi wa Mamlaka ya Maji Mwanza umetolewa.
Kujua alichokisema Mdau huyo...
Rais Samia, kuwa makini na watumishi wa SGR, mfumo unagoma kukata ticket.
Process ya kukata ticket, inaenda mpaka unafikia hatua ya kuchagua seat, ukishachagua seat unapotaka kuelekea mbele kwa...
Wakuu kwema?
Leo ni siku ya tatu Mbezi Beach kwa Zena mtaa wa Mbezi Beach B hatuna maji.
Hakuna taarifa yoyote tuliyopewa juu ya mgao huu, mnafikiri tuko kwenye mazingira gani DAWASA?
Ni kama...
Mfumo wa NACTVET kushindwa kutoa AWARD VERIFICATION NUMBER.
USERNAME na PASSWORD walionitumia baada ya ku create account hazikubali ku log in na hata nikifanya FORGOT PASSWORD bado mfumo unanipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.