Sisi Wakazi wa CHANIKA ZINGIZIWA tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua huu mwaka wa pili sasa, tangu Mwaka 2023 tuliambiwa tutaletewa mradi wa umeme lakini hii sasa ni 2025 mpaka leo hatuna umeme...
Hivi TARURA Mkoa wa Mbeya, kilichowafanya mkamwaga vifusi kwenye hii Barabara ya kutokea Shule ya Sekondari Sangu kuelekea Benki Kuu na kuviacha bila kusambaza ni nani?
Barabara ni mbovu...
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Masimba upo karibu na maeneo ya Uwanja wa Ndege wa hapa Tabora, miaka kadhaa nyuma sisi wakazi wa hapa tulishuhudia mamlaka ya Uwanja wa Ndege ikipita na kuzungushia uzio...
Wakuu,
Kuna hii video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii, huyo jamaa anasema wako katika hospitali maeneo ya kipawa majani ya chai.
Ambako yeye na wengine wanaumwa ugonjwa kama huo wametengwa...
Ujumbe huu uwafikie LATRA Pwani na Dar es Salaam nakala kwa wadau wote Serikali, Wasafiri, Wamiliki na UWAMADAR
Kwa ,uda mrefu sasa kumekuwa na Tabia ya Daladala zinazokwenda nje ya Dar es Salaam...
Kuna taarifa ya kuwa Meli ya MV. Victoria imesitisha kufanya safari kwa takribani wiki mbili sasa, hiyo ni baada ya kupata hitilafu kwenye mfumo wa uendeshaji lakini mamlaka inayohusika ya...
Mbeya city council viongozi wamekosa uwajibikaji kabisa baada ya kuwasilisha kero ya ubovu wa miundombinu ya barabara ndani ya stand ya nane nane , kumekuwa na vifusi vilivyo mwagwa ndani ya stand...
Baada ya member wa JamiiForums kuripoti madai kuwa kuna Mlinzi wa Kanisa Katoliki la Sinza kutuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wa kiume anayesoma Darasa la Tano katika Shule ya Msingi Sinza ya Jijini...
Stendi ya Mabasi na Daladala ya Nanenane iliyopo Mbeya imekuwa na barabara zenye ubora mdogo kutokana na uwepo wa mashimo mengi ambayo yamekuwa yakisababisha usumbufu kwa Watumiaji iwe wa Vyombo...
Toka nimehamia hapa nimeshaenda butcher zote ila kila sehemu mizani yao imechezeshwa.
Kila sehemu nilikuwa nikienda nikiona nyama pungufu nilikuwa naondoka.
Ila leo nimeenda buchani mwenye bucha...
Zoezi la uandikishaji Wananchi kwa ajili ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) limefanyika katika Kata ya Goweko huku kukiwa na mwitikio mkubwa unaoonekana kuzidi idadi ya Watendaji na vifaa...
https://www.youtube.com/live/0EcQvO6owwc?si=C3wENbOFWYVOz-Cp
"Umoja wa Waalimu Wasio na Ajira (NETO) ulianza na Wanachama (wajumbe) 15 kupitia makundi ya WhatsApp. Tulianzisha NETO kwasababu ya...
Shule ya Msingi ya Green Acres iliyopo maeneo ya Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam kuna matukio ya ukatili yameripotiwa kutokea, naomba kutumia jukwaa hili kupaza sauti ili haki ipatikane...
Zoezi la uandikishaji Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ambalo limefanyika kwa siku mbili katika Wilaya ya Uyui hapa Tabora lilipokelewa vizuri na Wananchi na inawezekana mwitikio umekuwa mkubwa...
Katika kipindi ambacho teknolojia inaendelea kukua kumekuwepo na ongezeko la michezo mingi ya upatu hasa kupitia mitandao (digital platforms), katika michezo hiyo kumekuwepo na ugumu wa kutambua...
Kumekuwa na shida ya maji Wilaya ya Nachingwea kwa miezi minne sasa maji yanatoka kwa kusuasua wakati huohuo Mamlaka ya Maji (MANAWASA) haijatoa sababu za msingi za uwepo wa hali hiyo au wala...
Kuna hii ishu inayowahusu ripota wa Azam TV mikoani, wapo walioanza na kampuni wapo waliojiunga na Azam baadaye. Kwa mujibu wa mikataba yao ambayo ni renewable Kila baada ya Mwaka Mmoja au miaka...
Kuna shirika lina jiita Allience In motion global. Linakusanya vijana toka mikoa mbalimbali Tanzania, likiwaahaidi kuwapa ajira. Badala yake vijana huishia kutapeliwa kwa kujidai wana fundisha...
Kwa kipindi cha hivi karibuni kwenye maeneo mbalimbali nchini hususani ndani ya Jiji la Dar es salaam kumekuwepo na wimbi kubwa la kuenea kwa taka za chupa za plastiki za rangi hasa zinazotokana...
Zimekuwepo jitihada za Serikali na wadau wa Sekta ya Afya kusambaza Magari ya kubebea Wagonjwa (Ambulance) na sasa ukienda hospitali nyingi unakuta magari hayo, lakini kwa hapa Shinyanga licha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.