KERO Threads

Hii Ofisi haijali mtu yeyote si Walemavu, wazee wala wagonjwa ni mwendo wa huduma mbovu tu kwa kila aliyeko mbele yao hata uso wa aibu hakuna, Mambo yao ni ya usaniiusanii ahadi za uongo na...
2 Reactions
4 Replies
385 Views
Anonymous
KERO 
Hii imenikuta mimi nikiwa Arusha kuuziwa Viatu feki. Niwaombe mamlaka ya Mapato Tanzania TRA mkoa wa Arusha wafanye uchunguzi kwa wauzaji wa viatu maeneo ya kariakoo ya Arusha. Wauzaji...
0 Reactions
7 Replies
427 Views
Anonymous
KERO 
Tunaomba Serikali ifanye utaratibu wa kutafuta jengo lingine kwani jengo hilo halina hadhi ya kuwa bank pia mvua ikinyesha inaleta adha kubwa sana kwa wateja.
0 Reactions
1 Replies
202 Views
Anonymous
KERO 
Walimu waliohama tangia 2023 hadi leo mishahara yao haijahamishwa licha ya kauli wa Waziri Simbachawene. Imekuwa kero kupata stahiki zetu wanasema sometimes rudi ulikotoka. Naomba usaidie...
0 Reactions
1 Replies
217 Views
Anonymous
KERO 
Imekuwa ni kawaida sasa nchini Tanzania kwa taasisi binafsi na za kiserikali kutangaza mashindano tofauti tofauti yakiambatana na zawadi watakazopewa washindi na mwishowe kuingia ‘mitini’ bila...
1 Reactions
1 Replies
299 Views
Anonymous
KERO 
Ni miezi 6 sasa nafuatilia usajili wa kikundi chetu kwa mkuu wa wilaya ya kinondoni chini ya wizara ya mambo ya ndani. Kila nikienda nipate majibu wananiambia taarifa zetu hazijarudi na hawajui...
0 Reactions
0 Replies
136 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mdau sana wa shughuli za Uhamiaji, nafanya kazi kwenye taasisi moja ya kimataifa hivyo tunasafiri sana na pia tuna deal sana na kuomba vibali kwa wageni wetu. Kwa sasa kuna uhaba mkubwa...
2 Reactions
8 Replies
473 Views
Watumishi wa Umma tunapata changamoto kwenye Mfumo wa Employee Self Service (ESS) upande wa mkopo, pale unapolipia deni (mkopo) mfumo unachukua muda mrefu kufuta huo mkopo, haliyakuwa hatua zote...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Anonymous
KERO 
Jeshi la Polisi hivi karibuni limeanzisha mkakati wa kuboresha utaratibu wa leseni za Udereva kwa kuwataka madereva ili kukidhi sifa za madaraja waliyonayo wapate kozi kuhuisha sifa zao katika...
0 Reactions
0 Replies
271 Views
Anonymous
KERO 
Habari Kuna Chuo nimesoma Kinaitwa Ministry of agriculture training institute ILONGA (MATI-ILONGA) kipo Wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro; kinatoa level ya Certificate na Diploma za KILIMO...
0 Reactions
0 Replies
318 Views
Hii Benki sielewi inakumbana na changamoto zipi. Huduma zao ni mwendo wa Kobe , customer care ni mbovu , huduma ya simbaking naipata kwa kubahatisha., ukiomba mkopo wanakupa kwa kujisikia wao...
0 Reactions
3 Replies
308 Views
Fikiria; Umelipia gari uzito 1900, ukabadilisha gari la uzito 2700. Unaambaiwa ucancel permit halafu usubiri siku saba na kuendelea; ndio waruhusu kuitumia tena hiyo hela. Fikiria una wageni 12...
3 Reactions
1 Replies
303 Views
Anonymous
KERO 
Chuo cha Taasisi ya elimu ya watu wazima (IAE) kimekuwa na changamoto ya kuto kutoa AVN Number kwa wahitimu wake toka Mwaka wa masomo 2023/2024 na hakuna majibu mazuri yanayotelewa wakiulizwa.
0 Reactions
1 Replies
811 Views
Anonymous
KERO 
Habarini, naleta taarifa hii kwa masikitiko makubwa sana kwa mara nyingine tena kwa sababu jambo hili sio mara ya kwanza kuripotiwa Mashine ya MRI (Magnetic resonance imaging) katika Hospitali ya...
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Mimi ni Mwananchi kutoka Iringa, kero yangu kubwa ni kwa IRUWA (Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Iringa (IRUWASA) kuna wakati tunanunua maji token hazirudi siku moja mpaka mbili...
0 Reactions
2 Replies
421 Views
Katika shule nyingi, hasa za msingi, kumeanzishwa utaratibu wa kutoza michango ya kila siku kwa ajili ya mitihani. Kila siku michango hiyo hutozwa kuanzia Shilingi 300 hadi 1,000 kwa kila...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii ni hospitali binafsi iko opposite na Mount Meru-Arusha, kwanza kukaa mkabala na mount Meru ni kimkakati kupata wateja. Haya mahospitali hayana madaktari walioajiriwa wanategemea madaktari wa...
1 Reactions
5 Replies
374 Views
Anonymous
KERO 
Walimu waliohamishwa tangu Januari 2024 Wilayani Kiteto hawajapewa fedha ya usumbufu wala kujikimu, tunaomba mamlaka iingilie kati.
0 Reactions
1 Replies
232 Views
Anonymous
KERO 
Naandika nikiwa na huzuni sana hapa najiuliza ni uzembe wa Serikali au Uongozi wa Hospitali ya Mloganzila ulio chini ya Profesa Janabi au Dr Magandi... Mwaka jana 2024 nilikuja na mgonjwa wangu...
2 Reactions
7 Replies
738 Views
Anonymous
KERO 
Kata ya Buyuni – Mtaa wa Nyeburu, Barabara ya Mchimbo (Maarufu Kwa Baba Esther) Sisi Wananchi wa Kata ya Buyuni, Mtaa wa Nyeburu, tunapenda kuwasilisha taarifa ya kero inayotusumbua kwa muda...
2 Reactions
8 Replies
814 Views
Back
Top Bottom