KERO Threads

Anonymous
KERO 
Ningependa kujua kwa nini leseni yangu ya biashara ya vifaa vya ujenzi (hardware) katika Jiji la Arusha (CBD) inahitaji kibali cha BASATA na kwa nini nalipishwa shilingi 50,000/= za ziada?”
3 Reactions
10 Replies
834 Views
Anonymous
DOKEZO KERO 
Ruhunga Secondary iliyoko katika Mkoa wa Kagera, Bukoba Vijijini, Tarafa Rubale, Kata ya Ruhunga, wana utaratibu kwa Wanafunzi wa madarasa yenye mitihani (Form 2 & 4) kuweka kambi Shuleni kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kata ya Buyuni – Mtaa wa Nyeburu, Barabara ya Mchimbo (Maarufu Kwa Baba Esther) Sisi wananchi wa Kata ya Buyuni, Mtaa wa Nyeburu, tunapenda kuwasilisha taarifa ya kero inayotusumbua kwa muda...
0 Reactions
2 Replies
450 Views
Anonymous
KERO 
Huu mfumo wa kuomba ajira kwenye hivyo vyombo vya ulinzi na usalama ndani ya wizara ya mambo ya ndani inabidi wakae chini watafute utatuzi Maana hizo website wanazotoa huwa zinasumbua sana...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
I will be short Iko Hivi ume login , then ukiselect seat . System aikupeleki next . This means kuna watu wamegeuza business wanauza ticket ukiwapigia . In short Uwezi lipia seat . Maana ufiki...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Huku Bandarini tangu DP World wamekuja mambo yamekuwa magumu kwa Wafanyakazi, hatuna over time. Pia wafanyakazi wengi wamehamishwa, yaani tafrani tupu, kubwa zaidi ni kuwa hatulipwi kwa wakati...
1 Reactions
3 Replies
642 Views
Anonymous
KERO 
Nikiwa kama jirani nayeishi karibu na Shule ya Sekondari Nyamanoro iliyo katika Halmashauri ya Manispaa ya ilemela mkoa wa Mwanza nimekuwa nikipatwa na wasiwasi juu ya hatari inayowakabili...
0 Reactions
4 Replies
581 Views
Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha kumbukizi ya mwalimu nyerere(MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY) campus ya kivukoni, nimemaliza diploma mwaka wa masomo 2024/25 lakini mpaka sasa matokeo yangu...
4 Reactions
5 Replies
452 Views
Nimesikitika sana sana Jana nikitokea kwa mathias Nkashuka mbezi mwisho Nipunguze maji kidogoooop Ajabu uwiii choo cha kwanzaa nakuta mzigoo wa chookikubwa unaelea nkahamia kwingine same...
2 Reactions
11 Replies
531 Views
"Habari, Kuna changamoto kwenye mfumo wa wa Nactvet kwa watu wanaaomba AVN. Waombaji wanakutana na errors nyingi. Namba zote za simu zilizowekwa kwaajili ya mawasiliano na ofisi ya NACTVET...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Mimi nimekuwa mteja wa hizi bank za hapa nyumbani ila hii bank ya NMB ndiyo bank iliyoongoza kuniginbanisha na wateja Hakuna bank yenye mfumo mbovu kama nmb imagine nimefanya muamala kutoka nmb...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za muda huu wana JF, Hii wiki nimetua mjini Dar Salaam kulikua na plot niliacha muda mrefu inashugulikiwa hati. Na kuna mtu kutoka halmashauri nilikuwa nawasiliana nae akaniambia hati...
1 Reactions
6 Replies
396 Views
Anonymous
KERO 
Ucheleweshwaji malipo ya kujikimu imekuwa kero kubwa, hakuna majibu ya kueleweka na tunapewa vitisho pale tunapoendelea kuhoji. Huku hali zetu kimaisha zikiwa ni duni tumeshindwa kurecover...
0 Reactions
9 Replies
372 Views
Anonymous
KERO 
Kwakweli nimepata experience mbaya na BRELA. Kujisajiri kwenye mfumo wao ni tabu. Nimewatafuta kwenye mitandao ya kijamii pia hawatoi msaada. Nimeamua kuwapigia. Ila wakisikia tatizo langu...
0 Reactions
1 Replies
236 Views
Wakuu, Nakuja kwenu Afisa Maji wa kujiteua mwenyewe kwa wakazi wa Mbezi Beach na Dar kwa ujumla. Kiukweli Dar kuna upungufu mkubwa wa maji, yaani kadri siku zinazovyoenda hali inazidi kuwa...
0 Reactions
3 Replies
521 Views
Anonymous
KERO 
1. Tunafanya kazi masaa ya ziada kama tunavyopangiwa ila cha ajabu tunakatwa malipo ya stahiki zetu. Mfano: Kama umefanya masaa ya ziada kwa siku sita unalipwa mbili tu. Hizi nne hazilipwi na...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Cute Wife
KERO Responded 
Wakuu, Nataka nikaionje SGR lakini naona TRC Railway wanataka kunihujumu. Website yao inafunguka vizuri tu lakini ukifika sehemu ya kukata tiketi za SGR inakwama. Kuna nini? Au wametoa taarifa...
0 Reactions
5 Replies
827 Views
Anonymous
KERO 
Wakuu naomba kujua nini maana ya hii loan top up,, loan take over,, loan reconstruction ?? Mikopo ya taasisi za kama NMB zina riba kubwa sana na imekua vingu kuihamishia kwenye taasisi zingine za...
0 Reactions
0 Replies
304 Views
Ukifika hapa Mwenge jirani na Equity Bank na Mikocheni 'B' usawa wa Clouds FM mitaro imejaa maji taka na taka. Hii ni aibu ikiwa tunazo mamlaka za kuhakikisha usafi. Wahusika DAWASA na...
1 Reactions
8 Replies
505 Views
Waziri wa Ardhi Unahujumiwa na watumishi wa idara ya ardhi pale Dodoma Jiji Imekuwa ni kero kubwa sana kupata control number kwa ajili ya kufanya malipo ya kupata hati kwenye ofisi za jiji...
5 Reactions
6 Replies
667 Views
Back
Top Bottom