KERO Threads

Stendi ya Mawasiliano ni eneo lenye muingiliano mkubwa wa watu kutokana na uwepo wa soko pamoja na mabanda mengi ya biashara. Licha ya umuhimu mkubwa wa eneo hilo, upatikanaji wa huduma ya choo...
1 Reactions
8 Replies
260 Views
Anonymous
KERO 
Tunawaandikia kama mawakala wenu tukitoa malalamiko yetu rasmi kuhusu huduma za umeme (LUKU) na controller number, ambapo kwa muda mrefu hakuna kamisheni inayolipwa kabisa huku makato ya miamala...
1 Reactions
3 Replies
305 Views
Ni wazi kuwa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshindwa kutekeleza wajibu wake wa msingi wa kulinda mazingira na ustawi wa wananchi. Moja ya mifano ya wazi ni...
1 Reactions
8 Replies
217 Views
Kwako Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Dr .Aaron Kagurumjuli , MADEREVA wa mkataba tumekuwa tunacheleweshewa mishahara kila mwezi hivo kupelekea kufanya kazi kwa mawazo, Kazi yetu inahitaji kuwa...
2 Reactions
0 Replies
206 Views
Anonymous
KERO 
Tunatambua tangu matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi 2025 yamesababisha usimamizi wa usafi na mazingira kuzorota, hofu ikiwa kwa Wanasiasa kuogopa lawama za Wananchi. Hii imesababisha...
5 Reactions
10 Replies
388 Views
Anonymous
KERO 
Kero yangu ni kukatika-katika kwa umeme mara kwa mara katika eneo la MATIKA, Kata ya Lugarawa, Wilaya ya LUDEWA, Mkoa wa Njombe huku wahusika wakikaa kimya bila kufanyia ufumbuzi suala hili...
0 Reactions
0 Replies
176 Views
Dar es Salaam ni jiji lililo na mito inayotiririsha maji kuelekea baharini, lakini kwa muda mrefu kumekuwa na uhaba wa maji. Kwa muda mrefu jiji hilo limekuwa likitegemea maji ya mto Ruvu unaopita...
0 Reactions
5 Replies
300 Views
Anonymous (8196)
KERO 
Sisi watumishi wa Idara ya Afya tulioajiriwa tarehe 23 Juni 2025 katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji, tunatoa malalamiko yetu rasmi kuhusiana na kutolipwa kwa pesa zetu za kujikimu ambazo kisheria na...
0 Reactions
8 Replies
328 Views
Anonymous
KERO 
Sisi Watumishi wa Umma ambao ni waajiriwa wapya Serikalini katika Kada ya Afya, Halmashauri ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna changamoto ya kutolipwa stahiki zetu za fedha za kujikimu na majibu...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Anonymous
KERO 
Ndugu zangu, hali ya upatikanaji wa maji katika Kijiji cha Mayonje, Kata ya Milepa katika Halmashauri ya Sumbawanga Vijijini, imekuwa ya kusikitisha sana, tangu mwezi wa 11, 2025 mwanzoni baada ya...
2 Reactions
7 Replies
286 Views
  • Redirect
Anonymous
KERO 
Wananchi wa Kijiji cha Mayenje, kilichopo Kata ya Milepa katika Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga (DC), hatuna huduma ya maji safi kwa kipindi kisichopungua miezi mitatu. Chanzo cha tatizo hili...
0 Reactions
Replies
Views
Niwe mkweli sijawahi ona halmashauri wazembe, wala rushwa, wavivu kama halimashauri ya Msalala-Kahama. Halmashauri hii imegeuka kuwa kilio kwa watumishi wa umma, ukiwa na shida husikilizwi...
6 Reactions
31 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mtumishi wa ajira mpya kutoka Halmashauri ya Chalinze. Yaani toka mwezi wa pili hatujapewa pesa za kujikimu na ilihali halmashauri nyingine za mkoa wa Pwani wameshalipwa. Kila tukiuliza...
0 Reactions
15 Replies
650 Views
Anonymous
KERO 
Hapa hapa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala (MRRH), Watumishi wa Ajira Mpya hatujalipwa pesa za kujikimu, kila siku tunazungushwa. Tusaidie sauti hii iwafikie wanaohusika.
2 Reactions
10 Replies
287 Views
Anonymous
KERO 
Chuo cha Uhasibu Arusha (Institute of Accountancy Arusha - IAA) kuna malalamiko mengi kutoka Kwa Wanafunzi wa Program za Masters lakini hayafanyiwi kazi. Shida kubwa ni kukosa uhakika wa...
2 Reactions
5 Replies
725 Views
Serikali Ipige Marufuku Shule za Serikali za Kutwa Kugeuzwa Mabweni ya Kambi za Mitihani, Katika miaka ya karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la shule za serikali za kutwa kugeuzwa kuwa kama...
5 Reactions
16 Replies
529 Views
UNAWEZA nambia Kuna ulazima WA Mimi KUWA na router ILI KUWA na unlimited? Je siwezi KUWA monitored nikiwa na unlimited Kwa card ya simu? Kama router ni Kwa ajili ya ofisini na majumbani vipi Kwa...
21 Reactions
87 Replies
6K Views
Anonymous (9bb1)
KERO Responded 
Mimi ni Mkazi wa Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini. Kero yangu ni kwa Shirika la umeme Zanzibar (ZECO). Wamekuwa na muendelezo wa kukata umeme mara kwa mara maeneo ya...
2 Reactions
12 Replies
356 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mkazi wa Wilaya ya Bukoba, Kata ya Kemondo, Kijiji cha Kanazi. Kero yangu inamhusu Mwenyekiti wa Kitongoji cha Butaganjana. Mwenyekiti huyo amejitungia sheria zake binafsi kwa...
1 Reactions
10 Replies
237 Views
Back
Top Bottom