KERO Threads

Anonymous
KERO 
Walimu ajira Mpya halmashauri ya Wilaya Ya MKALAMA-SINGIDA hatujalipwa Pesa zetu za Kujikimu Tangu Tumeripoti mwezi January 2026. Kila tukifuatilia Tumekuwa Tukipewa Majibu yasioridhisha kwetu...
3 Reactions
20 Replies
828 Views
Anonymous
KERO 
Watumishi wa ajira mpya katika Wilaya ya Momba, Mkoa wa Songwe, tunaomba msaada kuhusu malipo ya fedha za kujikimu ambazo hadi sasa hatujapokea. Tulielezwa kuwa fedha hizo tayari zilikuwa...
0 Reactions
8 Replies
266 Views
Anonymous
KERO 
Watumishi wa ajira mpya 2025 na 2026 wilaya ya masasi DC mtwara walimu hatujalipwa fedha za kujikimu. Soma Pia: Walimu wa Ajira mpya Wilaya ya Kilosa, Morogoro hatujalipwa fedha za kujikimu
3 Reactions
10 Replies
297 Views
Anonymous
KERO 
Walimu wa Ajira Mpya katika Halmashauri ya Geita Manispaa, Walimu Shule ya Msingi tangu Machi na Aprili 2026 tunasotea kuhusu utaratibu wa malipo ya fedha za kujikimu. Wiki iliyopita walimu sita...
0 Reactions
2 Replies
103 Views
Anonymous
KERO 
Jamii Forum tunaomba mtusaidie kupaza sauti watumishi wa Afya Nyang’hwale ajira za August 2025 na January 2026 mpaka leo hatujalipwa fedha zetu za kujikimu licha ya kuambiwa hizo fedha kutolewa na...
0 Reactions
2 Replies
72 Views
Anonymous (c258)
KERO 
Mimi kufikisha kero zetu za Watumishi wa Halmashauri kuwa na mishahara midogo sana ambayo haiendani na watumishi wenzetu waliopo kwenye taasisi za kiserikali. Mfano Engineer wa Halmashauri ajira...
10 Reactions
47 Replies
1K Views
Ebana kipindi cha hivi karibuni nimejikuta nimemaliza mwezi mzima bila kuona kina mama wengi wa mtaa wa pili wakipita wamebeba maji, nikahisi labda wamejiunga na DAWASA. Ebana kumbe sio, ni...
0 Reactions
4 Replies
87 Views
Router ya Voda imeandikwa 5G na niliichukua Vodashop. Lakini ajabu ni kwamba, panel yake inasoma 4G na spidi (Mbps) haifiki hata 25 kwa kifurushi cha Tsh. 110,000. Hii imekaaje? Yaani unanunua...
3 Reactions
21 Replies
328 Views
Hawa trafik wa wa morogoro na pwani wanasumbua sana unakuta anaamua tu kukupotezea muda bila sababu. Kuna siku nilisimamishwa na trafiki nikasimama cha kishangaza badala ya kuniambia sababu ya...
4 Reactions
11 Replies
296 Views
Leo ni zaidi ya mwezi mmoja na nusu sisi wananchi wa kata za Mkonze na Ntyuka na vitongoji vyake vya Chidachi, GOBA na Shekinah hatupati maji ya DUWASA lakini ni ajabu zaidi kwa uhaba huu wa maji...
1 Reactions
3 Replies
63 Views
Anonymous
KERO 
Tuliitwa Dodoma kuhudhuria semina elekezi, tukasafiri kwa gharama zetu na tukakaa Dodoma siku tatu kwa gharama zetu na hatukulipwa gharama hizo kama inavyotakiwa kwa mujibu wa kanuni za utumishi...
2 Reactions
6 Replies
244 Views
Anonymous
KERO 
Hii ni barabara ipo Dar Es Salaam Barabara ya Dege - Mbutu, Kichangani Kata ya Somangila, Mkoa Wa Dar Es Salaam imekuwa kero kwa miaka mingi licha ya baadhi ya Viongozi wa Serikali kuja mara kwa...
0 Reactions
0 Replies
12 Views
Anonymous (7abb)
KERO 
Walimu wa ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati bado hatujalipwa fedha za kujikimu tangu tuanze kazi miezi mitano iliyopita. Hadi leo hatujapokea malipo hayo wala hatujapatiwa taarifa...
0 Reactions
1 Replies
109 Views
Mara nyingi kumekua na maroli kama tiper yanayobeba sulphur kutoka bandarini yanabeba sulphur bila kujali taratibu za kiafya kwa watumiaji wengine wa bara bara unakuta sulphur inaruka kama vumbi...
3 Reactions
5 Replies
121 Views
Hii mamlaka hebu ipunguze kidogo kutumia maneno makali na vitisho kwenye barua zao hasa zile za VAT Verification. Yaani wanakuomba utume vielelezo halafu bado wanakwambia tuna uwezo wa kuvikataa...
5 Reactions
11 Replies
798 Views
  • Redirect
5 Reactions
Replies
Views
Anonymous
KERO 
Kuna changamoto kubwa katika upatikanaji wa National Physical Addressing (NaPA) Reference Number katika Wilaya ya Karagwe, Kata ya Kayanga. Mchakato huo umekuwa ukisumbua kutokana na kucheleweshwa...
0 Reactions
0 Replies
305 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mkazi wa Kijiji cha Ibumba, Kata ya Masebe, Wilaya ya Rungwe, tunaomba Serikali iingilie kati kutatua mgogoro ambao umedumu kwa takribani miaka 20 na umeathiri maendeleo ya Kitongoji cha...
0 Reactions
2 Replies
170 Views
Anonymous
KERO 
Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu hali ya ufundishaji katika Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT), ambayo kwa maoni yangu imekuwa ikiwakwamisha wanafunzi wengi kupata...
1 Reactions
2 Replies
141 Views
RC Mtanda, Kuanzia Januari hadi Juni 2026, wananchi wa Wilaya ya Ilemela tumeendelea kuwasilisha malalamiko ya uwepo wa changamoto zinazojirudia katika utoaji wa huduma za umma na usimamizi wa...
0 Reactions
0 Replies
97 Views
Back
Top Bottom