KERO Threads

Wiki ya tatu hii maji hayatoki kabisa lakini cha kushangaza bili ipo pale pale. Aisee DAWASA acheni michezo hiyo
5 Reactions
22 Replies
602 Views
Anonymous
KERO 
Nilihitimu degree kwenye Chuo cha SUA, Kozi ya Agricultural Investment and Banking, kozi mpya ilianzishwa Mwaka 2020, Mwaka 2023 ilitoa Wahitimu kwa mara ya kwanza. Mimi nilihitimu Mwaka 2024...
0 Reactions
0 Replies
218 Views
Anonymous
KERO 
Hii ni sehemu ya barabara la Mwanza ukiwa unaenda Chuo cha CBE Mitaa ya Nyakato Mecco, unaweza kujua ni mto kumbe ni barabara. Barabara la Kangae, sasa hivi ni miezi 9 tangu hali imekuwa hivyo ya...
1 Reactions
0 Replies
150 Views
Barabara inayotoka chalinze kwa mwarabu kuelekea Talawanda Sekondari inatia AIBU haipitiki hasa eneo la Daraja la Mbiki badala ya kuweka kokoto wameweka udongo wa Mfinyanzi ni tope tupu magari...
1 Reactions
1 Replies
176 Views
Anonymous
KERO Responded 
Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shaghayu, Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga. Shule yetu ya Msingi Kishangazi, hapa kijijini ina Mwalimu mmoja tu kuanzia chekechea hadi darasa la saba...
2 Reactions
7 Replies
471 Views
Anonymous
KERO 
Ni mmoja wa wazazi wa mtoto anae soma shule ya Sekondari Makurunge iliyopo mkoa wa Pwani, wilaya ya kisarawe kata ya Kiluvya. Walimu wa shule hii ya Sekondari wameanzisha mradi binafsi wa...
0 Reactions
2 Replies
287 Views
Anonymous
KERO 
Jamani mimi kama mdau wa elimu kuna suala nimeliona na naomba lifike kwa mamlaka husika. Ipo hivi baadhi ya Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera zinafundisha watoto kuanzia...
0 Reactions
2 Replies
295 Views
Mataa ya Mwenge ni one of the busiest intersections hapa mjini. Hili ni miongoni mwa maeneo yanayofahamika sana kuwa chanzo cha foleni. Ni hasa kwa watu wanaoelekea maeneo ya Tangi Bovu, Tegeta...
2 Reactions
2 Replies
203 Views
Anonymous
KERO 
Kwanini baadhi ya watumishi wa umma wanaajiriwa hela ya kujikimu wanapewa siku 7. Standing order inasema siku 14? Huu ni wizi na kutokutenda haki.
0 Reactions
0 Replies
89 Views
Anonymous (5688)
KERO 
Kuna option ilikuwepo kwenye website ya uhamiaji wakati mtu akiwa ameomba passport anaweza fatilia kuona ombi lake limefikia wapi, lakini kwa sasa kwenye website hiyo ya uhamiaji wameitoa hiyo...
0 Reactions
1 Replies
160 Views
Soko la Mahakama ya Ndizi lililopo Mabibo ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo limeendelea kuwa katika hali mbaya licha ya kuahidiwa kufanyiwa maboresho makubwa ambayo yangeweza kutatua kero...
1 Reactions
6 Replies
292 Views
Anonymous
KERO 
Hapa Kariakoo kuna walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki bila utaratibu maalum na kuomba pesa kiasi cha elfu 50, uwape mkononi wanasema ni wrong parking. Hata Bodaboda akishusha tu abiria...
2 Reactions
4 Replies
198 Views
Kuanzia Wakurugenzi, Mameneja, Bodi hadi mafundi wote mjitafakari. Mnazingua.
3 Reactions
13 Replies
245 Views
Anonymous
KERO 
Tatizo la maji kwa sisi wakazi wa Kibaha – Mfipa, mtaa wa Simbani limekuwa kubwa sana. Maji yanatoka mara moja au mbili tu kwa wiki tena usiku wa manane wakati tumelala , na wakati mwingine...
0 Reactions
1 Replies
139 Views
Anonymous
KERO 
Kero yangu ni kwa mfuko wa bima ya afya wa Taifa (NHIF) kupitia huduma yao ya jihudumie ya (NHIF self services) inachukua muda mrefu sana tangu kuongeza tegemezi mpaka ku approve maombi na...
1 Reactions
1 Replies
156 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mkazi wa ROMBO MKUU naomba kuelezea kero ya hospitali ya HURUMA. Hospitali hii imekuwa ikiajiri wanafunzi waliohitimu masomo ya vyuoni ambao hawana experience ya kutosha katika kufanya...
1 Reactions
8 Replies
301 Views
Anonymous
KERO 
Kufanya kazi kwenye kampuni za kimataifa hapa Tanzania ni ngumu sana kwa sasa kwa sababu ya mfumo wa vibali vya kazi (OWAIS) unaosimamiwa na Wizara ya Kazi umekuwa haufanyi kazi kwa wiki kadhaa...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Anonymous
KERO 
Waziri mkuu katika ziara zake atenge mda wa kuwasililiza watumishi Kuna kero nyingi hasa Halmashauri zetu, Kuna wakurugenzi na baadhi ya wasaidizi wake hawatimizi wajibu wao ipasavyo. Katika...
0 Reactions
0 Replies
97 Views
Anonymous
KERO 
Nalalamikia ndege za Air Tanzania hususan zinazoenda Comoro, kuna wakati wa rush za biashara kama za mwezi wa ramadhan au likizo Air Tanzania inatabia ya kubeba abiria na kuacha mizigo mpaka baada...
1 Reactions
3 Replies
174 Views
Anonymous (ba44)
KERO 
Habari, Kwa wahitimu wa course ya Industrial Engineering Management inayotolewa (Mzumbe University) imekuwa ngumu kupata kazi Serikalini. Kimsingi sisi ni wasimamizi wa viwanda na kuna Wizara ya...
2 Reactions
15 Replies
390 Views
Back
Top Bottom