KERO Threads

Mji wa Masasi ni miongoni mwa miji ya kibiashara na inawezekana ukawa kitovu cha biashara kwa miji ya kusini kama Nachingwea, Newala,Nanyumbu na Tunduru. Licha ya kuwa ndiyo mji unaokua kwa kasi...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Licha ya Mamlaka ya TAKUKURU Temeke kushauri utaratibu wa Daladala kufika hadi Kituo cha Buza Kanisani badala ya kuishia katika kile kituo chao kipya cha Mama Kibonge, yaani ratiba zirejee kama...
3 Reactions
5 Replies
247 Views
Anonymous
KERO 
Wilaya ya Korogwe Vijijini Mkoani Tanga kuna kero kwa Watumishi hasa Walimu kutolipwa pesa za uhamisho. Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Vijijini hawalipi kwa wakati pesa za uhamisho kwa...
2 Reactions
4 Replies
229 Views
Anonymous
KERO 
Mimi kama mtumishi wa umma katika Chuo cha Utumishi wa Umma Tabora, nalazimika kuripoti kero inayotusumbua baadhi ya walimu tulioshiriki zoezi la usajili wa wanafunzi mwezi Novemba 2025. Baada ya...
1 Reactions
3 Replies
189 Views
Anonymous (9713)
KERO 
Wananchi wa Kijiji cha Mbuchi, Kata ya Mbuchi, Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, Mkoa wa Pwani wanapitia katika kipindi kigumu kutokana na hali ya miundombinu ya Zahanati ya Kijiji cha Mbuchi kuwa...
0 Reactions
2 Replies
251 Views
Anonymous
KERO Responded 
Kuna kero inatukabili Wakazi wa Mbande Kisewe, hii barabara ya kutoka Mbande hadi Kisewe Stendi hapa Kituo cha Polisi kuna dimbwi kubwa la maji linalosababisha usumbufu kwa Watumiaji wa barabara...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
Anonymous
KERO 
Kero yangu ipo kwenye mfumo wa chuo Cha elimu ya biashara (CBE) Upande wa account za wanafunzi toka mwezi wa 12 mpaka sasa mwezi wa pili mfumo unasumbua wahitimu tunashindwa kufanya maombi ya...
1 Reactions
2 Replies
220 Views
Anonymous
KERO 
Tarehe 4 Marchi uhamiaji walitangaza mfumo wa kielektroniki haupatikani , lakini hadi leo tarehe 11 March mfumo bado haupatikani, je kwa safari za dharura utaratibu upoje ? naomba kusaidiwa
0 Reactions
0 Replies
140 Views
Anonymous (646f)
KERO Responded 
Ndugu zangu tunaomba hili suala la meter za maji kuibiwa Moshi likomeshwe, hili jambo nilikuwa naliona kwa wenzangu kila mara mitaa yao wanaibiwa meter lakin asubuhi ya leo nimekuta mita kama tano...
1 Reactions
1 Replies
241 Views
Ni Watanzania wengi ambao bado tuna michango yetu katika Mfuko wa PPF kabla ya kuunganishwa katika mfuko mmojs ns mifuko mingine kadhaa kuwa PSSSF, licha ya kwamba tumechangia pia NSSF. Sasa...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Mimi ni mfanyabiashara wa dawa za binadamu (pharmacy) katika Wilaya ya Bagamoyo. Ningependa kuwasilisha changamoto kubwa inayowakumba wagonjwa wanaotibiwa katika hospitali ya wilaya hiyo...
2 Reactions
3 Replies
363 Views
Anonymous
KERO 
Napenda kuwasilisha malalamiko yangu hadharani kuhusu kufungiwa kwa akaunti yangu katika mfumo wa Mamlaka ya Ajira Tanzania (Ajira Portal) tangu mwezi Septemba 2025, bila kupatiwa maelezo ya kina...
1 Reactions
2 Replies
246 Views
Anonymous
RESOLVED KERO 
Watumishi walioajiriwa mwaka 2024, Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani hawajalipwa pesa ya kujikimu hadi sasa 2026. Pia soma ~ Mkuranga DC wametulipa Fedha za Kujikimu sisi Ajira Mpya
1 Reactions
3 Replies
161 Views
Mawele
KERO Responded 
Mimi ni Mkazi wa Maili Moja, Kibaha Mkoani Pwani, huku kwetu Mtaa wa Muheza na mitaa mingine ya jirani kwa takribani zaidi ya miezi mitatu sasa tunapata bili ya maji Unit 0 ikiwa na maana hakuna...
1 Reactions
7 Replies
379 Views
Topintz
KERO Responded 
Kwa zaidi ya wiki sasa mtandao wa vibali vya kazi Kazi | ePermit unaosimamiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano haufanyi kazi. Kabla ya kwenda chini kabisa, website ilikua slow...
2 Reactions
2 Replies
246 Views
Anonymous (c723)
KERO 
Sisi Mawakala wa kutuma na kuweka fedha kwa njia ya simu hasahasa hizi kampuni mbili pendwa hapa nchini najua mtakuwa mmeshazifahamu, tuna kilio chetu kuhusu kampuni za simu, hizo mbili zinatukata...
3 Reactions
12 Replies
364 Views
Anonymous
KERO 
Kero yangu ni TANESCO Kigamboni wanatutesa sana, hakuna siku umeme haukatiki na sio mara moja umeme unakatika, kuna muda mpaka mara 10 kwa siku. Vifaa vyetu vinaungua na hakuna anayelipa...
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Anonymous
KERO 
Sisi Wakazi wa Kipunguni Mashariki (Kinyamkela) Wilaya ya Ilala tumekuwa na sintofahamu juu ya malipo kwa ajili ya kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege, lakini sasa ni zaidi ya miaka mitano kumekuwa...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
Anonymous
KERO 
Tokea mwezi wa 10 kulipokuwa na mgawo mkali wa maji, maeneo yetu ya Msewe, Chuo Maji na maeneo ya karibu tumekuwa tukipata maji takribani mara moja tu kwa wiki. Hata hivyo, ndani ya mwezi huu...
1 Reactions
2 Replies
104 Views
Anonymous
KERO 
Kitendo cha Dar es Salaam stock exchange (DSE), kuondoa option ya wawekezaji kuammend order ya kununua au kuuza wenyewe kwenye MTP na badala yake kuwalazimisha kuwasiliana na broker inaongeza...
1 Reactions
1 Replies
116 Views
Back
Top Bottom