KERO Threads

Anonymous
KERO 
Halmashauri ya Muheza - Tanga wamekuwa na limbikizo la madeni ya Watumishi hasa Waalimu wanadai pesa za uhamisho, likizo inaenda miaka mitatu hadi minne mtu hajalipwa stahiki zake hivi huwa...
0 Reactions
1 Replies
97 Views
Hospitali ya Muhimbili Mloganzila ni mojawapo ya hospitali kubwa za serikali, lakini imekuwa ikilalamikiwa kwa gharama kubwa za matibabu. Mgonjwa anaweza kulazwa kwa siku mbili tu, lakini bili...
3 Reactions
13 Replies
257 Views
Anonymous (fdc6)
KERO 
Mimi ni Mkazi wa Kimara, Barabara yetu imefukuliwa tu lakini tangu miaka ya 64 ya uhuru hadi leo hatujawekewa lami, Wananchi tunateseka sana hasa vipindi vya mvua. Hiyo ni barabara inayotoka...
0 Reactions
1 Replies
122 Views
Anonymous (c723)
KERO 
Wizara ya Mambo ya Ndani idara ya Uhamiaji wamekuwa ni kero sana katika uchakataji ya passport za kusafiria kutokutoka mapema na wakati. ...na ukitembelea Ofisi zao kuuliza nini shida hawana...
6 Reactions
23 Replies
635 Views
Anonymous (273e)
KERO 
Huu ni Muonekano wa Barabara ya Mtaa wa Mitawa, Kata ya Tanga, Manispaa ya Songea, Mkoani Ruvuma. Miundombinu ya Barabara hiyo inayotokea Shule ya Msingi Mitawa imeharibiwa Sana na Mvua...
0 Reactions
2 Replies
124 Views
Ofisi ya Idara ya Uhamiaji Mkoani Arusha mnatuumiza sana, pasipoti unaomba Januari unaambiwa usubiri Miezi 5 mpaka 6 sababu foleni ni kubwa. Mara karatasi za ku-print zimeisha au kuna Maafisa...
6 Reactions
17 Replies
399 Views
Anonymous (0829)
KERO Responded 
Wananchi wa vitongoji vya Kikungili, Omukajiji, Rushanje na Rwandalo Kata ya Nyaishozi, wilayani Karagwe mkoani Kagera, tunakabiliwa wanalazimika kutumia maji yasiyo safi na salama kutoka kwenye...
0 Reactions
1 Replies
185 Views
Anonymous (c04c)
DOKEZO KERO Responded 
Eneo la Machinjio ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma Mkoani Songwe kuna Daktari wa Mifugo ambaye jukumu lake ni kukagua nyama baada ya ng’ombe kuchinjwa, katika ukaguzi wake amekuwa akiondoa sehemu...
0 Reactions
0 Replies
273 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni Mwananchi kutokea Pwani, Wilaya Kibaha kero yangu ni kuwa ninachukizwa na ukiukwaji na ukatili tuliofanyiwa na Serikali kuvunja nyumba takribani 2,450 wakidai ni wavamizi waliovamia pori...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Anonymous
KERO 
Idara ya uhamiaji jamani pameshakuwa kero Tena zaidi ya kero.. Unaenda kufanya mchakato wa Passport ukifika huko wanakujibu kuwa hakuna mtandao Wiki nzima au muda mwingine wanakuambia eti taarifa...
4 Reactions
5 Replies
176 Views
Katika maeneo mengi ya Kariakoo, kumekuwa na ongezeko la nyaya za makampuni ya intaneti zinazofungwa kiholela juu ya nguzo, majengo, na hata kuvuka barabara bila mpangilio. Hali hii, licha ya...
0 Reactions
1 Replies
223 Views
Anonymous
KERO 
Eneo la Kariakoo gerezani pale njia ya reli limekuwa kero sana kwa muda mrefu kwa kutiririsha maji ya chemba za choo hivyo kusababisha harufu mbaya na maji kutwama pale kwa muda mfrefu Sina...
1 Reactions
2 Replies
111 Views
Anonymous (8b17)
KERO 
Tunaomba Serikali kuwalipa hela za matumizi na ada wafadhiliwa wa kada za ubingwa na ubobezi katika sekta ya afya wanaosomeshwa katika Vyuo Vikuu nje ya nchi. Mwaka umepita tangu tumepatiwa hela...
0 Reactions
1 Replies
130 Views
Wakuu, salama? Kuna hali inashangaza sana. Mimi ni mkazi wa meneo ya Goba, kabla ya mwezi November mwaka jana (2025) tulikuwa tunapata maji vizuri kabisa na kwa presha kubwa lakini nakumbuka...
2 Reactions
6 Replies
281 Views
Nimekuwa nikipita eneo la Mbezi Beach Africana, kwenye kona ya upande wa njia inayoelekea Kinzudi, kuna kiwanda cha zege kinachotiririsha maji machafu barabarani (hasa baada ya kusafisha magari...
0 Reactions
3 Replies
129 Views
Anonymous (7765)
KERO 
Hii ni barabara ya kutoka Mchinga 2 kuelekea Kijiji cha Ruvu ni mbovu mno, hapo ni eneo la Mkandiwata, Jimbo la Mchinga Manispaa ya Lindi, Mkoani Lindi, watumiaji wanapata changamoto sana. Vijiji...
0 Reactions
2 Replies
137 Views
Hali ilivyo maeneo ya Kimara Mwisho - Darajani, Mbunge wa huku sijui yuko wapi aje atusaidie yeye na viongozi wengine wenzake
1 Reactions
9 Replies
394 Views
Anonymous (c0e2)
KERO 
Barabara ya Kitangiri Mihama Mkoani Mwanza ni mbovu sana, ilikuja Kamati ya Bunge ndiyo wahusika wakafukiafukia mashimo ili wakakakague zahati lakini mpaka sasa ni hatari, ni Wilaya ya Ilemela...
0 Reactions
0 Replies
93 Views
Anonymous (c04c)
KERO 
Hebu Tusaidie kupaza sauti Mkandarasi anayejenga Barabara kutoka Mwenge Mpaka Tegeta a jitahidi kumwaga maji atatuua kwa vumbi.
0 Reactions
2 Replies
126 Views
Abiria tunatoka kanda ya ziwa kuelekea Arusha na Moshi tumekwama hapa Shinyanga gari imekatika spring T646 EKS ya kutoka Tarime kwenda Moshi so tupo kwa mafundi wa kilocal wanachomelea hizo...
1 Reactions
3 Replies
192 Views
Back
Top Bottom