Katika Halmashauri ya Kibondo, upandaji wa Madaraja hatuna elimu na wengine hadi miaka 5 inapita bila kupanda daraja, je! Kwanini tusiambiwe ukweli ili mtu ukaishi bila kulaumu kiongozi?
Suala la...
Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori Tanzania (TAWA) Imezuia kukamilisha taratibu za ajira za Askari wake 12 waliomaliza kozi ya mafunzo ya jeshi la uhifadhi kwa muda wa miezi 6 (KOZI INTAKE...
Magari wakati wa mvua mara nyingi yanakwam
Upimaji kiwango cha lami sijui wanapima mara ngapi ila wapimaji mara nyingi wanakula kodi za watanzania kwa kuja kupima.
Wabunge madiwani kura zao...
Wizara ya Afya ijitafakari sana katika hili,, watumishi wa afya wanalia na Muundo wa mishahara miaka nenda miaka rudi,, tunaishia kusikia tu waziri akizungumzia kwenye majukwaa ya kisiasa suala la...
Wakazi wa Morogoro, hasa tunaoishi maeneo ya Kihonda na Manyuki, tunakabiliwa na changamoto kubwa ya barabara, hususan kipindi cha mvua. Barabara ya Manyuki inayotokea Mazimbu imeharibika, na...
Halmashauri zetu zote zina idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambayo inatekeeleza majukumu yake chini ya Sehemu mbili yaani Sehemu ya Maendeleo ya Viwanda na Uwekezaji, na Sehemu ya Biashara...
Serikali, Wizara ya Maji shida nini? Kuna mgao bado tena mgao mkali Kimara na viunga vyake, wamewakosa nini wale walipa kodi? Tulimwona Waziri wa maji kaenda China kujifunza vipi haijamsaidia...
Habar wakuu,
Sisi wafanyakazi tunaofanya kampuni binafsi hakika tunanyanyasika sana hasa linapofikia swala la kulipwa stahiki zetu na mishahara, kuna kuwa hakuna sababu ya mfanyakazi kulipwa...
Wahusika katika secretariat ya Ajira Tanzania kitengo cha Huduma kwa Wateja Kuna. changamoto ya kimawasiliano hawatoi Huduma kabisa vijana tuna pata changamoto kwenye mfumo wa ajira lakini ukipiga...
Mimi ni mdau kutoka Kijiji cha Olchoronyori Wilaya Simanjiro, Serikali imepasahau tunaomba itembelee huku ione changamoto zilizopo.
1. Tunaomba kujengewa mnara wa Mtandao wa Vodacom, TIGO au...
Mimi ni mhitimu wa ngazi ya Ordinary Diploma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Mwanza, nimesoma kwa miaka 3 (yaani 1st year Certificate, 2ry & 3yr Diploma nimehitimu 2024 November...
Umbali kutoka kyela-mbeya mjini ni km 83 nauli ilikuwa sh.7,000...imepanda Hadi sh.10,000.
Pia umbali Toka tukuyu-mbeya mjinj ni km 45 nauli ilikuwa sh.4000 imepanda Hadi 5000.
Pia umbali Toka...
Baada ya kero ya muda mrefu ya ubovu wa barabara kutoka kwa Mama Kibonge - Buza kuja Mtaa wa Mashine ya Naji(No.5) takribani km 3 sasa barabara imefungwa tangu mwezi wa kwanza 2026 kupisha...
Habari za muda huu kiongozi wa Jamii Forums,
Nikiwa kama Mtalii na mdau wa Utalii wa Nyanda za Juu kusini mwa Tanzania, nipende kuwasilisha kero yangu Kubwa na kwa watalii wengine.
- Ikumbukwe...
Kero ya bara bara Kiluvya Madukani kwenda Kiluvya Makurunge ni kubwa sana kwa wakazi na wawekezaji.
Eneo hili ni asili ya udongo mfinyanzi, wakati wa mvua ni changamoto kubwa kwa wakazi licha ya...
Mwanongwa leo nimekatiza Mitaa ya Kiwira Wilayani Rungwe lakini nilichokutana nacho ni aibu sana kwa wilaya huu, yaani wauzaji wa ndizi wanapitia wakati mgumu sana kipindi hiki cha mvua, soko...
Abiria wa ndege ya Precision Air kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam safari yetu ilikuwa leo Jumamosi April 11, 2026 saa saba mchana lakini mpaka sasa hatujui safari itakuwa muda gani!
Tumefika...
Wakuu, nipo kitandani nikiugua, lakini roho inaniuma kuona jinsi uwekezaji wangu unavyoliwa na 'mchwa' mchana kweupe. Mimi ni mwekezaji (CDS No: 811....), nimeuza hisa mara nne ili nipate pesa za...
Huduma za UTT ni mbaya sana hivi sasa.
Watu hawawazi access funds zao wana kuwekeza kwa uaminifu sababu App haifanyi kazi na tukipiga simu tunaambiwa tutarejewa bila mrejesho.
Ssa sisi ni...
TAMISEMI tunaomba msaada maana mfumo mnaubana mpaka mmepitiliza. Imefikia hatua nataka kutengeneza leseni mpya na sina leseni kwenye huo mkoa, lakini mfumo unanikatalia unataka niombe kama branch...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.