HALI HIYO IMEPELEKEA BAADHI YA WALIMU KUKOSA FEDHA ZA KUJIKIMU NA KUPELEKEA KULALA MADARASANI KUTOKANA NA KUKOSA FEDHA ZA KODI.
PIA WALIMU WENGI TUNANAISHI MBALI NA FAMILIA ZETU KWANI TULIKOSA...
Hivi kwa nini barabara ya Mpiji Magohe mpaka Mbezi hawajazi kifusi kama barabara ya lami imewashinda? Yaani Barabara imechimbika balaa hata kwa kupita hamna, wahusika tunaomba walione hilo, miezi...
Barabara ya Tabata Kimanga for years hazipitiki na ndo mvua zikinyesha tunadumbukia dumbwi kwenye madimbwi iwe barabara kuu au ya bonde la mchicha.
Magari yanaharibika aiseee. Wamemuondoa Mbunge...
Magomeni mitaa ya Mwinyimkuu, Mpanda, Takadiri, Mbegani na Ziota tuna shida ya maji ni miezi saba tunaambiwa kuna mabomba yanatakiwa kubadilishwa lakini ni hadithi.
Imagine tuko magomeni kwenye...
Kampuni za MM CONNECT na PENT OPTIMISM ambazo zina ubia wa kuendesha maduka ya Vodacom zinachkua vyeti vya kitaaluma vya wafanyakazi wake na kukaa navyo kama udhamini kinyume na utaratibu na...
Nyakati za asubuhi hapa jijini Dar es salaam kumekuwepo na utaratibu wa Askari wa usalama barabarani (Traffic) wanasimama barabarani hasa maeneo ya Crossway au sehemu zenye mataa ili kudhibiti...
Bana weee! Ule mtaa ulipata Rami mapema MIAKA ya 2000 mtaa wetu ulikuwa tayari ni mjini na magari yalikuwa yanapita Kwa kasi.
Hakukuwahi wekwa matuta MPAKA MWAKA 2026, WATU washagongwa sana...
Walimu Temeke hela za likizo hatujalipwa toka 2019, Ni huzuni tupu. Pesa nasikia wanazo ila wanaziweka fixed acc ziwazalishie, ni maumivu makubwaa.
Tunaomba mtupazie Sauti. Mimi ni mwalimu...
Kero yangu kubwa bhana inaenda Wizara ya Afya hasa upande wa boarder ya Mtukula na boarder ya KASUMULU ambapo wafanya kazi wa wizara hiyo hapo boarder wamekuwa na tabia ya kutulipisha hela ya...
Mimi ni mdau, nipo Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, naomba kuwasilisha kero kuhusu malipo ya posho za kujikimu katika Idara ya Elimu.
Walimu wameripot kazini lakini hela za kujikimu inakuwa...
Sisi ni ajira mpya Wilaya ya Mafia, Mkoa wa Pwani, kada ya afya ni miezi mitatu sasa hatujalipwa pesa zetu za kujikimu na tumefuatilia kwa viongozi wa wilaya lakini majibu hayaridhishi kabisa...
Wilaya ya Mbinga Mkurugenzi amelazimisha shule zote za Sekondari kuanzia Mwaka 2025 kuwa Kidato cha kwanza wanatakiwa kusoma masomo yote bila kujali wameyachagua au la, kitu ambacho ni kinyume na...
Kuna kampuni ya kubashiri inaitwa Premier Bet hawa jamaa ukibet na kushinda wana Uswahili sana, ukishinda wanakwambia utume vitambulisho vyako na ukituma muda huohuo wana..block account yako...
Ndugu Watanzania, nimepokea malalamiko ya Waalimu kwamba Mkurugenzi wa Mbinga DC anawanyanyasa sana Walimu wa Mbinga DC.
Kwa mfano, Mkurugenzi huyo huwaita walimu wote kufika ofisini kwake bila...
Mimi ni Mhitimu wa Diploma ya Pharmacy Muhimbili College of Health and Allied Sciences, nimehitimu mwaka 2023. Nimesoma O-level nina Division 1 ya 14, A-level nina Div 2 ya 12. PCB baada ya kuwa...
Wale Askari wapale Jangwani wanaokamata usafiri kama Bajaj wawe na kauli nzuri na ustaarabu kwa abiria walioko ndani ya usafiri.
Wanawafanya watu kama wezi na kuwatolea maneno machafu na kufanya...
Serikali inahimiza watu kusoma kozi za Sayansi huku kukiwa na nafasi ndogo Sana ya wao kutekeleza walichokisomea.
Watu wa Sayansi Asilia pale UDOM wamesahaulika. Mfano, Bsc. Physics wanasumbuka...
Mimi ni Mfanyabiashara wa eneo la Mwenge karibu na hii Stand mpya ya dalalala, hapa kuna kero moja kwa sisi wafanyabiara,
Kuna matent mukubwa yaliyopo mbele ya maduka ya wafanyabiashara, yameziba...
Subject: A Message from an Egyptian Brother: 25 Days of Silence and Concern at Dar Port
Habari Tanzania,
I am writing this not as an official, but as an Egyptian citizen who has lived and worked...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.