Barabara ya Kilema Mkoa wa Kilimanjaro, Wilaya ya Moshi Vijijini, Kata ya Masaera Kusini ni mbovu sana, tunaomba mtusaidie kupaza sauti viongozi wanachaguliwa bure tu.
Barabara tangu nazaliwa...
Hapo ni Mbagala Stend ya Daladala, hivyo ni vyoo vya hapo, kila siku vinajaa havina usafi wa maangalizi ya Jamii, ujumbe huu ufike mbali ili hatua zichukuliwe kwani ni mwanzo wa kusambaza magonjwa.
Halmashauri ya Mkalama DC, Singida watumishi wa Ajira Mpya tangu Novemba 2024, Kada ya Afya, hawajathibitishwa kazini hadi sasa ni Mwaka na miezi 5, japo wapo baadhi wamethibitishi kwenye mfumo...
Serikali isafishe eneo la Kata ya Nala iruhusu watu wafuate utaratibu mzuri na mpango mzuri zaidi wa watu 2000 wanaweza kupata kujiajiri, itapata mapato kwa maegesho kwa kila gari linaloingia...
Mwezi March mwaka huu, watumishi wanaishi maisha magumu sana.
Shirika limeshindwa kulipa madai hayo ya watumishi, mfano fedha ya likizo baadhi ya hifadhi za mwaka juzi hawajalipwa.
Pia...
Naomba kuwasilisha kilio cha muda mrefu cha ukosefu wa maji safi kutoka DAWASA sisi wakazi wa Goba Mpakani Mtaa wa Badilika, yapata sasa mwaka mzima na zaidi hatupati maji, mafundi wanapita...
Kero kubwa ya kukatika umeme na kuwa gizani ikifika Saa moja usiku, Mtaa wa NALA SHULE YA MSINGI hapa Dodoma, kila tukiuliza majibu ya wahusika ni kwamba umeme mdogo.
Je, huduma tunayolipia sisi...
Mimi ni Mwananchi kutoka Katavi Wilaya ya Mlele naomba Serikali iongeze Watumishi Idara ya Afya Kitengo cha Mionzi, kwani kuna Mtumishi mmoja tu naye anapitia changamoto za ajali ya mguu, hivyo...
Kero yangu Barabara ndogo ya kwenda Saku Mwisho Kata ya Chamazi - Dar es Salaam, Diwani kaweka matuta ya udogo kuanzia mwezi kwanza ila mpaka sasa hakuna chochote kilichofanyika.
Pia, baadhi ya...
Kwa sababu hii ni taasis inayofanya Biashara, sina haja ya kuivua Nguo, Itoshe kusema; Kulipa wafanyakazi Mishahara katikati ya mwezi unaofuata sio sawa kabisa!.
Kama mnafirisika bora mtangaze...
Kumekuwa na tabia ambayo imekuwa endelevu kwa baadhi ya mabasi mengi yanayotokea Kigoma kuelekea MWANZA, mfano GTA Express, kuuza wateja wake baada ya kukata tiketi usiku wake unapigiwa simu eti...
Watumishi wa Mtwara Manispaa wanadai posho za safari na kazi mbalimbali lakini Mkurugenzi halipi hela zote, anatumia yeye kusafiri kila siku hata muda wa kukaa ofisini hana.
Imeumiza sana, watu...
Tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za tiketi za safari zilizoahirishwa kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa kutumia reli ya kisasa (SGR).
Kwa...
Mimi ni mdau wa ukurasa wenu. Nina kero moja, Watumishi wa Ajira Mpya (Walimu) za Januari 2026 wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam hatujapewa pesa zetu za kujikimu.
Kila tunapofuatilia...
Hellow jamii,
Kata ya Nyamhongolo Mkoa wa Mwanza Jiji la Ilemela hatuna maji wiki sasa na wakati Ziwa Victoria liko hapa hapa Mwanza, hii ni aibu.
Pia soma: MWAUWASA: Kukosekana kwa huduma...
Hii ishu ya Passport naona kuna mazingira ya kuzungushwa kwa maksudi, maana hata mimi ni wiki sasa kila nikienda ofisi za Uhamiaji Shinyanga naambiwa kuna shida ya Mtandao, hata wiki jana nilienda...
Idara ya Uhamiaji Mbeya imekuwa changamoto na kero kubwa, nimeenda kuomba Passport nimerudi zaidi ya mara 4, mwezi sasa umeisha wanasema hakuna Mtandao wakati sisi tunajaza form zao online...
HALI HIYO IMEPELEKEA BAADHI YA WALIMU KUKOSA FEDHA ZA KUJIKIMU NA KUPELEKEA KULALA MADARASANI KUTOKANA NA KUKOSA FEDHA ZA KODI.
PIA WALIMU WENGI TUNANAISHI MBALI NA FAMILIA ZETU KWANI TULIKOSA...
Hivi kwa nini barabara ya Mpiji Magohe mpaka Mbezi hawajazi kifusi kama barabara ya lami imewashinda? Yaani Barabara imechimbika balaa hata kwa kupita hamna, wahusika tunaomba walione hilo, miezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.