KERO Threads

Anonymous
KERO 
Naandika hili ili kuonya na kushirikisha uzoefu wangu kuhusu huduma niliyoipata kutoka Parimatch Tanzania. Nimekaa zaidi ya mwezi mmoja nikifuatilia marejesho ya fedha zangu. Kila siku...
1 Reactions
4 Replies
90 Views
Anonymous
KERO 
Mwaka 2024, Sekretarieti ya Ajira ilitangaza nafasi za kazi kwa walimu wa somo la Biashara (Business Studies). Mojawapo ya vigezo vilivyotajwa ni kuwa mwombaji awe na Shahada ya Ualimu (Bachelor...
2 Reactions
11 Replies
256 Views
Anonymous
KERO 
Wadau, Nimekuwa nikifuatilia mashindano ya MAKISATU 2026 yaliyoendeshwa na COSTECH. Ninashangaa kwamba wavumbuzi wengi wachanga wanaojituma peke yao hawapati nafasi. MAKISATU inaeleza kuwa...
1 Reactions
2 Replies
38 Views
Anonymous (555b)
KERO 
Uhamisho umekuwa changamoto kubwa kutokana na baadhi ya wakurugenzi wa halmashauri kutokupitisha barua za uhamisho zinazotolewa na TAMISEMI. Inadaiwa kuwa barua za uhamisho zinapotoka TAMISEMI...
0 Reactions
4 Replies
69 Views
Anonymous (3c65)
KERO 
Mimi ni mwananchi kutoka Mkoa wa Katavi, Halmashauri ya Mpimbwe. Naomba kueleza changamoto tuliyokutana nayo katika mchakato wa mikopo ya halmashauri kwa vikundi vya vijana. Sisi kama kikundi...
0 Reactions
5 Replies
55 Views
Mzee huyu ameongeza mawe na kuyamwaga barabarani kwa madai kwamba barabara imepita kwenye kiwanja chake. Cha kushangaza ni kwamba mbele kuna nafasi ambayo inaonekana ndiyo mpaka wa kiwanja...
3 Reactions
26 Replies
397 Views
Anonymous (8fd9)
KERO 
DAWASA Tabata Bima umoja road hatupati maji ya kutosha, yanatoka kidogo sana unaishia kujaza ndoo alafu yanakatika na yanatoka kwa muda mfupi mno, hii ni kero kubwa tunaishia kununua maji kila...
0 Reactions
1 Replies
26 Views
Habari JamiiForums, Mdogo wangu ni mgonjwa na tumekuwa tukipata huduma katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Mloganzila na Upanga tangu Oktoba 2025 kwa ajili ya matibabu ya kifua na mapafu...
0 Reactions
2 Replies
28 Views
Anonymous (3762)
KERO 
Vyama vya baadhi ya wakulima (AMCOS) katika Wilaya yetu ya Tunduru vinakabiliwa na changamoto ya viongozi wanaohusika na ubadhirifu wa mali za vyama na kutuumiza wakulima. Baadhi ya viongozi...
0 Reactions
0 Replies
22 Views
Anonymous (14d1)
KERO 
Hivi vitisho kwa watumishi mpaka lini? Kuna shida gani kwanini Watumishi walazimishwe kuhudhuria matukio ya kiserikali bila ridhaa yao.
3 Reactions
9 Replies
113 Views
Anonymous
KERO 
Baba yetu alikuwa mfanyabiashara hapa Dodoma mjini. Mwaka 2015, mauti yalimfika na kutuacha tukiwa na huzuni kubwa. Kama ilivyo kwa familia nyingi za Kiafrika, baada ya msiba kupita, kulikuwa na...
16 Reactions
60 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Mi ni mwananchi na mkazi wa Mtaa wa Mayengela, uliopo eneo la Kishiri-Igoma, Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza. Nimesukumwa kuandika masimulizi haya kwa uchungu mkubwa baada ya kero yetu ya maji...
1 Reactions
4 Replies
113 Views
Anonymous
KERO 
Wahandisi Ujenzi (Civil Engineers) waliopo Halmashauri zetu wanapitia wakati Mgumu sana. Unakuta anasimamia miradi maelekezo anayopokea kutoka kwa Mkurugenzi (DED) na Mkuu wa Wilaya yanakuwa...
11 Reactions
22 Replies
976 Views
Anonymous
KERO 
Kituo cha Afya Kadashi kipo Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza, Kata ya Maligisu Kijiji cha Kadashi kina Watumishi 12 ambao ni Co 3, NO 1, ANO 3, EN 2, MAT 2 na CA 1. Mimi ni mmoja wao, nimeamua...
1 Reactions
1 Replies
285 Views
Anonymous
KERO 
Barabara ya Lemara Kati, Kata ya Lemara Kati, Jiji la Arusha pamoja na maeneo ya Njiro karibu na Fiber Board imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu ya barabara, inaonekana kama tupo kijijini...
0 Reactions
0 Replies
28 Views
Anonymous
KERO 
Niishi Geita, nilisoma katika Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Mafinga (Mafinga College of Health and Allied Sciences – MACHAS), ambacho awali kilijulikana kama Clinical Officer Training Centre...
0 Reactions
1 Replies
54 Views
Anonymous
KERO 
Wakazi wa Mtaa wa Gonga, Majumba Sita, Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam tuchoshwa na usumbufu unaosababishwa na kibanda kinachouza pombe hadi nyakati za asubuhi, huku muziki wa sauti ya juu...
1 Reactions
1 Replies
40 Views
ubongokid
KERO Responded 
Habari za wakti huu ndugu zangu wa BRELA Kwanza kabisa niwaulize hivi Call centre yenu iko Busy sana au wafanyakazi wachache au vyote kwa pamoja maana kasi yenu ya kupokea simu na kushughulikia...
0 Reactions
12 Replies
201 Views
Anonymous
KERO 
Naomba taa eneo la Mwabene - Mbeya, Barabara ya Teku, kuna matukio kadhaa ya ajali yanayosababisha na kukosekana kwa huduma ya taa. TANROADS Mbeya wafunge taa pale, namaanisha taa za kuongoza...
0 Reactions
0 Replies
16 Views
Anonymous
KERO 
Dodoma, Kata ya Makulu wanachuo wananyanyasika kwa kuombwa pesa ili kuweza kupata fomu ya NaPA kwa ajili ya ku-appy vyuo, kwanini iwe hivyo? Ofisini kwa Mtendaji wanakwambia acha namba tutakuja...
0 Reactions
1 Replies
26 Views
Back
Top Bottom