Tunatoa wito kwa Uongozi wa KCMC, Kanisa pamoja na Serikali kusikiliza kilio cha wagonjwa na wananchi wanaotegemea huduma za hospitali hii muhimu.
KCMC imejijengea heshima kubwa kwa kutoa huduma...
Suala la kadi za Mwendokasi now zimekuwa kero hazipatikani, raia wengi wana uhitaji nazo, Matumaini yangu kama JamiiForums watalizungumzia naamini mamlaka husika litalifanyia kazi kwa wakati🙏...
Mfumo wa anuani za makazi (NaPA) una changamoto katika mchakato wa kuomba barua ya utambulisho. Tangu wiki iliyopita mfumo huo haujafanya kazi; kila unapojaza taarifa unaambiwa kuwa kuna hitilafu...
Tunaopata huduma hospitali ya wilaya ya Mpimbwe tunatozwa fedha za huduma na risiti tunapewa lakini huduma zao ni mbovu sana.
Hawana hata gloves za kutuhudumia mpaka mgonjwa akanunue nje, dawa...
Katika Kituo cha Afya Nyarugusu, Geita Vijijini, kuna muuguzi na mtaalamu wa usingizi anayeitwa Fredrik Lugay ambaye anadaiwa kufanya upasuaji kwa wajawazito na wagonjwa wengine, huku akitoza...
Habari kuna mfanyakazi mmoja wa Mwalimu Nyerere Memorial Academy yupo department ya Examination ana majibu ya dharau sana hasa kwa watu wanaoenda hapo wakiwa na uhitaji mbalimbali.
Tulienda...
Mimi ni mmoja wa walimu wa mkataba (part-timers) katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kazi yetu kuu ni kusaidia kufundisha wanafunzi wa kozi za Diploma ya Famasia (Pharmacy) na Diploma ya Maabara...
Hali ya taa za barabarani ambazo zimeungua kwa kiasi kikubwa katika maeneo mbalimbali ya mkoa huu.
Tatizo hili limekuwa kubwa hasa kwa watembea kwa miguu wanaotumia barabara nyakati za usiku...
National Physical Address (NaPA) kwenye kutafuta barua ya utambulisho kwa ajili ya maombi ya mkopo (HESLB) inagoma kuendelea na kutoa notification ya hivi Toka last week till now. Contacts zao...
Vijana wengi nikiwemo mimi mwenyewe ni wahanga, tunakosa fursa na tunabanwa na kujiunga vyuo vikuu kusoma degree baada ya kuhitimu diploma za afya kama ifuatavyo.
Mtu unasoma Diploma in Clinical...
Mara kadhaa nimeona na nimesikia stori za baadhi ya maafisa wa LATRA, hasa jijini Dar es Salaam, wanavyotekeleza majukumu yao ya kuwakamata madereva wa bodaboda na Bajaj.
Kinachonishangaza ni...
Habari,
Hili limekuwa tatizo kubwa hasa kwa mikoa ya pembezoni kwa madalali wa mahakama kuu kutokuwa ma ofisi na maghara ya kuhifadhia mali wanazokamata.
Hii ni changamoto kubwa kwani mahakimu...
Huku kuna kero ya maji taka Mitaa ya Kariakoo imekuwa changamoto sana yaani pananuka sana (kinyesi) maji yametapakaa sana hasa mitaa ya Mkunguni /Tandamti / Sikukuu/ Congo na mengineyo na ikiwa ni...
Kwako Mheshimiwa waziri wa ardhi na makazi mfumo wa wizara yako unaopatikana kwa njia ya mtandao HAUKO SAWA ndiyo maana tumeshindwa kupata control number kwa ajili ya kulipia malipo ya umiliki wa...
Ningependa kutoa kero yangu kuhusu hali ya vitambulisho vya Taifa vinavyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kufutika kwa haraka mno, na hii ni kwa vitambulisho vinavyotolewa...
Mamlala husika kwanini vitambulisho vya nida mnavyotengeneza hufutika maandishi yake, shida ni nini?
Mbona vitambulisho kama leseni za udereva, kitambulisho cha mpiga kura havifutiki maandishi...
Wafanyabiashara wa eneo la Darajani, Vikokotoni wanaendelea kukumbwa na changamoto kubwa ya ukusanyaji wa taka mbele ya maduka yao.
Licha ya kulipa pesa za taka kwa Manispaa kupitia tozo...
Mfumo wa NaPA na NIDA imekuwa ikileta changamoto, hapo kabla ulikuwa ukijaza Namba ya NIDA ya mtu kwenye usasishaji wa taarifa za mkazi inaleta taarifa zake, ukianza na majina yake matatu na...
Nilitumiwa barua Julai 27 kuitwa kazini utumishi wa umma nafasi ya afisa usafishaji daraja la pili nimeripoti mapema na wao walisema ndani ya siku 14 niwe nimeripoti lakini niliwahi mapema kuepuka...
Habari, kuna vijana wanaofanya kazi ya kununua mpunga kutoka kwa wakulima katika maeneo mbalimbali kama Morogoro, Mbeya na Kanda ya Ziwa kwa ajili ya kiwanda cha mchele cha Wilmar Rice Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.