KERO Threads

Anonymous
KERO 
Naandika ujumbe huu kwa masikitiko na kero kubwa kutokana na huduma duni inayotolewa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) hasa kwenye zoezi la uhakiki na masahihisho ya vyeti vya...
2 Reactions
9 Replies
140 Views
Anonymous
KERO 
Mmiliki wa chuo anawadharau waalimu na kutukana waalimu mbele ya wanafunzi jambo ambalo linapelekea waalimu kukosa sauti kwa wanafunzi. Mmiliki amegoma kulipa mishahara ya watumishi kwa mwezi wa...
5 Reactions
3 Replies
102 Views
Anonymous
KERO 
Mabasi yaendayo kasi MOFAT route ya Mbagala Kivukoni ni machache watu ni wengi kiasi kwamba tunaopandia vituo vya katikati inakuwa changamoto sana kwetu, waongeze mabus wanatutesa sana.
1 Reactions
6 Replies
83 Views
Anonymous
KERO 
Kwa muda mrefu Tanzania imekuwa ikijitangaza kama nchi yenye amani, inayowakaribisha wawekezaji wa kigeni na inayoheshimu utawala wa sheria. Serikali imekuwa ikiandaa makongamano ya uwekezaji...
0 Reactions
1 Replies
64 Views
Anonymous
KERO 
Ukiachana na kuporomoka kwa ubora wa huduma na kupewa dawa za bei ya chini kabisa, NHIF inaenda kusababisha janga jengine la kufilisi hospitali na vituo kwa kuendeleza mchezo wao wa kushikilia...
1 Reactions
9 Replies
162 Views
Anonymous
KERO 
Wakazi wa Ubungo–Msewe, Dar es Salaam tuna changamoto kubwa ya maji kwa sasa kuanzia mwezi wa 12 mwaka 2025. Kwa sasa maji ya mgao yanaweza toka baada ya wiki 3 au mwezi nayo huwa yanatoka mara...
0 Reactions
9 Replies
77 Views
Anonymous
KERO 
Watu wa Kinga'azi, Kata ya kwembe Wilaya ya Ubungo, kumekuwa na wimbo la vibaka hasa muda wa Alfajiri, wanadhuru sana watu wanaokwenda kazini na Wafanyabiashara. Viongozi wa Serikali ya Mtaa...
0 Reactions
3 Replies
62 Views
Anonymous
KERO 
Aisee Vituo vya kusubiria Mabasi ya Mwendokasi ya Kimara vingi ni vichafu sana kile cha pale DIT, pananuka harufu ya haja kubwa kabisa, zile njia ya flying over ya Kimara ndio hazifai.
0 Reactions
2 Replies
55 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mwananchi na mfanyabiashara mmojawapo miongoni mwa wamiliki wa nyumba na viwanja zaidi ya 100 vilivyopo katika eneo la Ubungo Riverside, pembezoni mwa stendi ya basi (Riverside). Eneo...
1 Reactions
3 Replies
101 Views
Anonymous
KERO 
Nimewasilisha maombi ya Umeme TANESCO, Wilaya ya Ilala DSM, Kituo Chanika kutoka mwezi wa 5/2026, Surveyor akaja siku chache baadaye na nikaambiwa nisubiri siku 7 au 14 za kazi tangu alipofika...
1 Reactions
3 Replies
212 Views
Anonymous
KERO 
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mbinga DC, Joseph Kashushura, kupitia Halmashauri anayoiongoza, hivi karibuni alinunua gari aina ya Toyota Coaster kwa gharama inayozidi Shilingi milioni 300...
0 Reactions
5 Replies
101 Views
Anonymous
KERO 
Haiwezi isha siku moja bila kukatiwa umeme hapa Wilaya ya Masasi, kila siku wana matengenezo, hawajali kama ni siku za kazi au siku za kiuzalishaji zinaendelea, Tunaweza kaa bila umeme siku 3...
1 Reactions
0 Replies
173 Views
Anonymous
KERO 
Kuna mtandao wa Simu unaitwa Halotel..Huwa wanatoka huduma za Bando za vifurishi mbalimbali kupitia namba special zinazonza na +2553000 chakushangaza unanuna bando lakini hawakupi access...
1 Reactions
0 Replies
26 Views
Anonymous
KERO 
Walimu wa Ajira mpya ya January 2026, Halmashauri ya Wilaya ya Hanang' Manyara, tangu tumeajiriwa mwezi January hadi leo hatujapewa fedha za kujikimu, Idara nyingine zote wameshalipwa lakini Idara...
0 Reactions
0 Replies
30 Views
Anonymous
KERO 
Nimekuwa nikitumia huduma za Stendi ya Nzega Mkoani Tabora kwa muda mrefu kwa sababu shughuli zangu zinanifanya nisafiri mara kwa mara kutoka hapa Nzega kwenda maeneo mbalimbali. Kuingia ndani ya...
0 Reactions
1 Replies
27 Views
Anonymous
KERO 
Kero yangu kubwa ni Bajaji na Daladala za Kimara kwenda Matosa wanapandisha na kushusha bei mfano asubuh Bajaj ni Shilingi 1,500 na usiku bei ni hiyohiyo ila mchana ni Shilingi 1,000 hiyo imekuwa...
0 Reactions
2 Replies
36 Views
Anonymous
KERO 
Nikiwakilisha Wakazi wenzangu wa Bunju Sokoni, naomba kuwasilisha kero kuhusu huduma ya usafiri wa daladala zinazofanya safari za Morocco hadi Bunju. Tatizo kubwa linajitokeza hasa nyakati za...
0 Reactions
2 Replies
302 Views
Anonymous
KERO 
Vyuo vya kati vya afya havina usimamizi wa kutosha kutoka taasisi husika kama NACTVET na mabaraza ya taaluma ikiwemo TNMC, MCT na Pharmacy Council. Miongozo ya elimu inaelekeza kuwa wanafunzi wa...
0 Reactions
0 Replies
11 Views
Anonymous
KERO 
Ofisi za NIDA hapo Halmashauri ya Wilaya ya Karatu Arusha, wamekataa kabisa kutoa kadi/kitambulisho changu cha NIDA. Nipo Dar nimemtuma Mama yangu mzazi anifuatie ila wamemkatalia katu wanasema...
1 Reactions
0 Replies
19 Views
Anonymous
KERO 
Kero yangu kubwa ni magari yenye tlb ya Mbezi - M/Mmoja kupitia Maji Chumbi/Mabibo, ni kwanini hajafiki mwisho wa safari yake kama yalivyopangiwa! Yaani yakitoka Mbezi yanaishia Karume Kariakoo...
0 Reactions
0 Replies
20 Views
Back
Top Bottom