Kumekuwepo na changamoto ya baadhi ya daladala kusitisha route katika maeneo mengi nchini.
Mwezi wa nne mwaka 2026 nilikaa Arusha kikazi kwa karibu mwezi mzima. Nilikuwa nakaa eneo la Atomic...
Mimi ni mwajiriwa Mpya Manispaa ya TEMEKE, Dar es Salaam, March 6, 2026 tuliwekewa fedha kwenye account zetu waajiriwa wapya Idara ya Msingi, jumla ya Walimu 77 tuliwekewa fedha kwa wastani kila...
Mimi Mwanafunzi wa Kampala (KIUT), Kozi ya Pharmacy, kuna jambo linatukera sana, kuna tabia ya Walimu kukomoa Wanafunzi, kutuwekea mazingira magumu ya kufaulu mtihani, na njia pekee ya kutoboa...
Naomba tupazie sauti hapa ni kigamboni barabara inaunganisha eneo la kona ya chuo na Mwasonga hilo daraja haliishi maji yakijaa hapo watoto hawaendi shule wiki ya 3 sasa, mnataka watoto wetu...
Wakuu habari za mihangaiko ya hapa na pale.
Kuna jambo linasikitisha kidogo, na kama ungekuwa ni wewe sidhani kama ungefurahia, mwaka jana 2025 serikali ilianzisha mradi wa kusapoti elimu yetu...
Wallimu wa Shule ya Sekondari na Chuo cha Ualimu Al Haramain tunapitia wakati mgumu kwasababu tunapata mishahara mi nne tu kwa mwaka yani January, April, July, na September.
Hali kadhalika hatuna...
Napenda kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu hali ya watoto wanaolelewa katika kituo cha watoto yatima kinachojulikana kama Shalom Center, kilichopo Kisongo, Arusha.
Kwa masikitiko makubwa, kuna...
Leo nataka kugusia jambo ambalo linatupa wakati mgumu sisi wadau wa kilimo na ufugaji tunaotafuta mitaji kupitia Mfuko wa Pembejeo (AGITF).
Ukiingia kwenye tovuti ya AGITF (www.agitf.go.tz)...
"Kwa baraza la watalamu waalamu wa radiografia (MPIRC) tunaomba ufafanuzi juu ya ucheleweshaji wa utoaji wa leseni za awamu ya pili kwa mwaka huu wa 2026.
Tulio wengi tumekamilisha taratibu zote...
Wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao kuanzia Ubungo hadi Kimara wanakabiliwa na changamoto kubwa kila siku wanapojaribu kuvuka Barabara ya Morogoro, hasa nyakati za asubuhi na jioni...
Kablya ya Mfumo wa IDRAS ilikuwa ukitaka TAX clearance unaandika Batrua unajieleza na kujaza fomu na Unaipata ndani ya Siku tatu kama una vigezo vyote.
Sasa hivi kwenye mfumo wa IDRAS unaweza...
Madereva wa bajaji wamekuwa chanzo cha malalamiko kwa abiria kutokana na ukosefu wa utaratibu unaoeleweka katika utoaji wa huduma.
Mara nyingi, abiria hulazimika kubishana na madereva kuhusu...
Ajira Mpya Halmashauri Ya Kongwa Hatujalipwa Pesa Za Kujikimu, Ukihoji Hawana Majibu Ya Kueleweka Wanakua Na Kona Kona Nyingi Sana
Kongwa ipo mkoa wa Dodoma, Ajira ya January 2026 (ajira ya mwaka...
Waziri umeshirikiana na UD kutatua 'mgogoro' wa kijana aliyeshindwa kuendelea na masomo kwa faini ya kizembe. Au tuseme uonevu wa UD kwa wanafunzi. Hiyo ni ishara kwamba Vyuo vikuu vyetu...
Juzi kati nilienda Mkoani Lindi kumtembelea ndugu yangu wakati huu wa likizo, kuna jambo nililikuta huko na kuniacha mdomo wazi.
Wenyeji wangu waliniambia kwa kuwa wao wako bize walilazimika...
Hivi hizi pesa ambazo Bunge linajadili ni matumizi yasiyo ya lazima wakati kuna Wabunge watoro Bungeni, bungeni hawaonekani, jimboni hawaonekani lakini mishahara wanalipwa.
Mfano mbunge wa Jimbo...
Tunapata changamoto Magari ya Mbezi To Makumbusho Via Kimara Hayapakii Ruti Ya Makumbusho yanaishia Magomeni Ni Kero Kwa Abiria Wengi Ndani ya Stendi ya Mbezi Luis.
Hizi kampuni za mikopo online zimekuwa na kero kubwa kwa wakopaji, yaani mtu unakopa laki moja (100,000) unalazimishwa kurudisha Sh 152,000 ndani ya siku 5. Ambayo ni riba ya asilimia 52, Benki...
Hii Department ya Foreign Language na Literature ya University of Dodoma kuna tatizo kubwa sana.
Wanawafelisha wanafunzi bila msaada wowote. Mfano hai ni LG 102 (Communication Skills)—hili somo...
Habari wana Jamii Forums,
Naomba kuwasilisha hii kero kwa umma na taarifa hizi zifike TAMISEMI na Wizara ya Elimu.
Kuna utaratibu mbovu sana kwa wanafunzi wanaosoma shule ya msingi Tandika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.