Katika kituo cha Ilala-Iboma amabacho ndo cha mwisho kwa 'Route' ya Mbagala-Ilala BOma kumekuwa hakuna utararibu mzur wa kuwapanga abiria kwenye foleni ili kusubiri kupannda magari, hali hiyo...
Mimi ni mkazi wa kigamboni nina vijana wangu zaidi ya wawili wanasoma shule ya msingi Ungindoni. Changamoto kubwa nayokutana nayo kama mzazi na ukiangalia ni kijana najipambania ni swala la...
imeona JamiiForums.com kuna Mwanachama aliandika kuhusu ongezeko la michango kwa Wanafunzi katika Shule nyingi za Dar es Salama, niseme tu alichoandika ni kweli na hali hiyo ina kera sana.
Mfano...
YAH: CHANGAMOTO TUNAZOPITIA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII (CHW)
Sisi Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii tuliopo Mkoani Kagera lakini ujumbe wetu unawakilisha watu wote wa fani yetu nchi nzima...
Jana Aprili 2, 2026 niliona stori Mtandaoni kuwa abiria na kondakta wa daladala wametwangana makonde kutokana na kutoelewana kuhusu nauli mpya katika safari ya Mbezi Makumbusho kupitia barabara ya...
Naelekea Mwaka mmoja tangu nimemaliza masomo, ila nilibakiza research hapo Chuoni (Chuo Kikuu Huria). Nilipata kazi Uganda, kwahiyo nikaamua kubadilisha sehemu ninayotakiwa kufanya research yangu...
WANAFUNZI WA SOCIOLOGY na SOCIAL WORK wa OPEN UNIVERSITY tunalipa pesa ya field kila mwaka lakini hatufanyiwi field assessment, kila supervisor tunayemuuliza anatuambia "Tunasubiria taratibu za...
Mikopo ya Hazina ndiyo imekufa? Dodoma Jiji tumeomba tangu 2025 hakuna majibu.
Kulikuwa na ile mikopo inayotoka Hazina yenye riba nafuu kwa Watumishi... Tangu Mwaka 2025, Dodoma Jiji hatuoni hiyo...
Jamii mtupazie sauti CRDB Call Center hawapokei simu, yaani kwakifupi sisi Wateja si kitu pindi unapopata dharura.
Ukipiga Call Center inahitaji dakika 10 au zaidi waweze kupokea na mara nyingine...
Barabara ya kiwanda cha namera kuelekea Ulongoni B kipande kidogo sana lakini wahusika hawakitilii mkazo wana weka vifusi vinakaa mpaka watu wakujitolea wasambaze.
Mvua zimenyesha sasa imekua...
LATRA anzisheni ruti ya ILALILA – KISESA (Mwanza), nauli zimepanda tunatumia gharama kubwa kuzunguka
Nilikuwa naomba LATRA watuanzishie route mpya kutoka ILALILA kwenda KISESA hata kama itakuwa...
Hiki ni Kituo cha Afya cha MANDA, WILAYA YA LUDEWA, MKOA WA NJOMBE, kama unavyojionea ni kichafu, hakina mazingira ya kuridhisha ni kama vile hakitumiki au wahusika hawajui nini maana ya usafi...
Maji ya Kilimanjaro hayana tena ile taste (ladha) ya miaka 10 iliyopita, mengi ni ya ladha ya chumvi....
Kampuni ya Kilimanjaro waonye waache uzembe... Hali kadhalika Kampuni ya Sequa maji yao ni...
Mbali na mvua zinazoendela kunyesha kwa wingi,maeneo mengi ya Dar es Salaam mfano Changanyikeni (Chuo cha Takwimu, maeneo ya Kanisa Katoliki, Jeshini), Sinza na Kimara hayana maji kwa wiki ya pili...
Tunaomba mamlaka zitusaidie ajira mpya wa 2025 halmashauri ya Namtumbo-Ruvuma, tumepewa kiasi TZS 130,000 tu. Kila tunapohoji kuhusu pesa nyingine hatupewi majibu.
Tabia hiyo imekuwa ikijirudia...
Mimi ni miongoni mwa Walimu wa Ajira ya 2025 Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa tunachangamoto mbili.
1. Fedha ya kujikimu hatujalipwa yote tumelipwa nusu tu nyingine bado mpaka sasa...
Kuna hawa jamaa unakuta mtu ana eneo kubwa anataka kuliuza wao wanaamua kuwa madalali, yaani viwanja vinakatwa vidogo halafu barabara wanakwambia hatua tatu.
Hivi hatua tatu za miguu nd barabara...
Department ya Foreign Language na Literature ya University of Dodoma kuna tatizo kubwa sana.
Wanawafelisha wanafunzi bila msaada wowote. Mfano hai ni LG 102 (Communication Skills)—hili somo...
Shule ya Msingi MOTHER TERESA ENGLISH MEDIUM PRE AND PRIMARY SCHOOL iliyopo Njombe Mjini, Mtaa wa Hagafilo inayomilikiwa na EDWARD MWALONGO, Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Njombe Mjini kuna changamoto...
Hatujalipwa pesa ya Kujikimu.
Kila tukifuatilia, tunaambiwa pesa hazijatoka Hazina. Wilaya yetu hii walimu tulioripoti nao kazini wamepewa pesaa za kujikimu karibu wote.
Jambo jingine, hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.