KERO Threads

Anonymous
KERO 
Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga-Tanga , watumishi wanadai malimbikizo ya pesa za Kujikimu, pesa za Kupanda kwa madaraja, pesa za Uhamisho tusaidie...
1 Reactions
2 Replies
243 Views
Anonymous
KERO 
Kuna shughuli hatarishi zinaendelea katika maeneo ya Kishiri na Fumagila kutokana na uchimbaji holela wa mchanga. Hali hii inaleta madhara makubwa kwa mazingira na usalama wa jamii. Ni wakati wa...
2 Reactions
1 Replies
105 Views
Kuna barabara ya kutoka hapa Njia Panda ya Tegeta A hadi posoposoa ni kero sana tena kipindi hichi cha mvua Yani barabara hii ilianza ujenzi wa awali tu miezi miwili nyuma, na tangu hapo hakuna...
1 Reactions
2 Replies
160 Views
Anonymous
KERO 
Habari, Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na pia ni mkazi wa Mabibo hostel. Hii changamoto imekuwa ni kwa miaka sasa. Mabafu na vyoo havina milango na wala hakuna dalili za...
2 Reactions
3 Replies
195 Views
Anonymous (00c3)
KERO 
Katika kituo cha Ilala-Iboma amabacho ndo cha mwisho kwa 'Route' ya Mbagala-Ilala BOma kumekuwa hakuna utararibu mzur wa kuwapanga abiria kwenye foleni ili kusubiri kupannda magari, hali hiyo...
0 Reactions
0 Replies
121 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mkazi wa kigamboni nina vijana wangu zaidi ya wawili wanasoma shule ya msingi Ungindoni. Changamoto kubwa nayokutana nayo kama mzazi na ukiangalia ni kijana najipambania ni swala la...
0 Reactions
4 Replies
193 Views
Anonymous
KERO 
imeona JamiiForums.com kuna Mwanachama aliandika kuhusu ongezeko la michango kwa Wanafunzi katika Shule nyingi za Dar es Salama, niseme tu alichoandika ni kweli na hali hiyo ina kera sana. Mfano...
3 Reactions
35 Replies
1K Views
Anonymous (fb32)
KERO 
YAH: CHANGAMOTO TUNAZOPITIA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII (CHW) Sisi Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii tuliopo Mkoani Kagera lakini ujumbe wetu unawakilisha watu wote wa fani yetu nchi nzima...
0 Reactions
0 Replies
170 Views
Jana Aprili 2, 2026 niliona stori Mtandaoni kuwa abiria na kondakta wa daladala wametwangana makonde kutokana na kutoelewana kuhusu nauli mpya katika safari ya Mbezi Makumbusho kupitia barabara ya...
0 Reactions
1 Replies
160 Views
Anonymous
KERO 
Naelekea Mwaka mmoja tangu nimemaliza masomo, ila nilibakiza research hapo Chuoni (Chuo Kikuu Huria). Nilipata kazi Uganda, kwahiyo nikaamua kubadilisha sehemu ninayotakiwa kufanya research yangu...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
WANAFUNZI WA SOCIOLOGY na SOCIAL WORK wa OPEN UNIVERSITY tunalipa pesa ya field kila mwaka lakini hatufanyiwi field assessment, kila supervisor tunayemuuliza anatuambia "Tunasubiria taratibu za...
2 Reactions
2 Replies
176 Views
Anonymous
KERO 
Mikopo ya Hazina ndiyo imekufa? Dodoma Jiji tumeomba tangu 2025 hakuna majibu. Kulikuwa na ile mikopo inayotoka Hazina yenye riba nafuu kwa Watumishi... Tangu Mwaka 2025, Dodoma Jiji hatuoni hiyo...
1 Reactions
2 Replies
97 Views
Anonymous (cc8c)
KERO 
Jamii mtupazie sauti CRDB Call Center hawapokei simu, yaani kwakifupi sisi Wateja si kitu pindi unapopata dharura. Ukipiga Call Center inahitaji dakika 10 au zaidi waweze kupokea na mara nyingine...
0 Reactions
5 Replies
120 Views
Barabara ya kiwanda cha namera kuelekea Ulongoni B kipande kidogo sana lakini wahusika hawakitilii mkazo wana weka vifusi vinakaa mpaka watu wakujitolea wasambaze. Mvua zimenyesha sasa imekua...
1 Reactions
3 Replies
131 Views
Anonymous
KERO 
LATRA anzisheni ruti ya ILALILA – KISESA (Mwanza), nauli zimepanda tunatumia gharama kubwa kuzunguka Nilikuwa naomba LATRA watuanzishie route mpya kutoka ILALILA kwenda KISESA hata kama itakuwa...
0 Reactions
1 Replies
143 Views
Anonymous (ea43)
KERO 
Hiki ni Kituo cha Afya cha MANDA, WILAYA YA LUDEWA, MKOA WA NJOMBE, kama unavyojionea ni kichafu, hakina mazingira ya kuridhisha ni kama vile hakitumiki au wahusika hawajui nini maana ya usafi...
1 Reactions
5 Replies
240 Views
Anonymous
KERO 
Maji ya Kilimanjaro hayana tena ile taste (ladha) ya miaka 10 iliyopita, mengi ni ya ladha ya chumvi.... Kampuni ya Kilimanjaro waonye waache uzembe... Hali kadhalika Kampuni ya Sequa maji yao ni...
6 Reactions
25 Replies
444 Views
Anonymous (7693)
KERO 
Mbali na mvua zinazoendela kunyesha kwa wingi,maeneo mengi ya Dar es Salaam mfano Changanyikeni (Chuo cha Takwimu, maeneo ya Kanisa Katoliki, Jeshini), Sinza na Kimara hayana maji kwa wiki ya pili...
0 Reactions
1 Replies
111 Views
Anonymous
KERO 
Tunaomba mamlaka zitusaidie ajira mpya wa 2025 halmashauri ya Namtumbo-Ruvuma, tumepewa kiasi TZS 130,000 tu. Kila tunapohoji kuhusu pesa nyingine hatupewi majibu. Tabia hiyo imekuwa ikijirudia...
1 Reactions
3 Replies
126 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni miongoni mwa Walimu wa Ajira ya 2025 Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa tunachangamoto mbili. 1. Fedha ya kujikimu hatujalipwa yote tumelipwa nusu tu nyingine bado mpaka sasa...
0 Reactions
2 Replies
139 Views
Back
Top Bottom