Kitengo Kitengo cha Ukusanyaji wa Mapato Manispaa ya Ubungo kinanyanyasa wafanyabiashara, kinalazimisha wanafanyabisha kufunga biashara na kuondoka nao jambo ambalo limeshakatazwa na Serikali...
Mi ni mtumishi katika Wilaya ya Misungwi Mwanza, Idara ya Afya. Novemba 2024 tuliajiriwa watumishi 22 hapo, mpaka sasa tuna mwaka na miezi sita hawajatuthibitisha kazini wote 22.
Tukiwauliza...
Kuna shule mpya ya Serikali Mkoani Kagera, Halmashauri ya Bukoba Vijijini inaitwa Rubafu Secondary School ipo Kata Rubafu.
Ilifunguliwa ili kuwapunguzia mwendo Wanafunzi wanaotokea Vijiji vya...
Sisi wakazi wa kata ya Kimala Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa tumekuwa na kero ya Barabara ya kuingia kwenye kata yetu.
kata hii ina vijiji 4 ambavyo havina Barabara za uhakika za kupita mwaka...
Mimi ni mkazi wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, kero yangu ni kuhusu watu wanaojiita Maafisa kutoka Halmashauri ya Wilaya, wanakuja Vijijini kudai leseni na wakikuta hauna bila kujali unauza...
Kuna jamaa yangu kanipa mkasa wake kilichomkuta Nssf alipoenda kufuatilia mafao yake. Nimeona niilete humu;
Jamaa anasema miezi kadhaa huko nyuma alienda Nssf kwenda kufuatilia madai yake...
Shule ya Msingi MIEMBENI ipo Kijiji cha MIEMBENI, Kata ya Kitanda Halmashauri ya Mbinga Mji, hali halisi ni kuwa haishawishi kabisa suala zima la kufundisha wala kujifunzia.
Madarasa hayana...
Wakazi wa Kimanga, Dar es Salaam, wataanza kukumbana na adha ya usafiri kuanzia kesho baada ya wamiliki wa daladala zinazotoa huduma katika barabara hiyo kutishia kuanza kugoma.
Hatua hiyo...
Idara ya Maji Mkoa wa Arusha wanatuma bili za maji hata kama hujatumia hayo maji, niko nje ya mkoa kikazi, mimi pamoja na familia yangu ndani ya miaka miwili lakini kila mwezi napokea bili ya maji...
Hii ni Kigamboni, barabara inaunganisha eneo la Kona ya Chuo na Mwasonga, hilo daraja haliishi maji, yakijaa hapo Watoto hawaendi shule wiki ya tatu sasa.
Yaani ukitaka kwenda Cheka boda...
Kuna kampuni inaitwa Epvate & Fortune International Consulting Ltd wajiriwa wake katika mgodi wa Barrick Bullyaghulu kupitia Kampuni ya Contractor BLY hawachangii michango ya Wafanyakazi ya NSSF...
Mimi ni Mtumishi katika halmashauri ya Kibondo.
Khero yangu kubwa ni Makato yanayokatwa na Chama cha wafanyakazi TALGWU, ambayo kwa kila mwezi ninakatwa 17,660/=
Ila ni miaka zaidi ya 2 imepita...
Leo Nimeshangaa Sana Nilipofika Stendi Tajwa Baadaya
Mgeni Wangu Kumkatia Ticket Ya Basi Kuelekea Nyanda Za Juu Kusini.
Nilipofika Mgeni Aingie Stendi Naambiwa Pamoja Na Kukata Ticket Hawezi...
Kwa wale tunaofanya kazi chini ya TAMISEMI kwakweli hii wizara inachosha yaani mtu unahama miaka miwili ila mshahara bado upo huko ulikotoka,unaanza kumbembeleza mkuu wa huko ulikotoka apitishe...
Habari za muda naomba utusaidie kupasa sauti kwa kweli Halmashauri yetu ya Chato hawajatutendea haki sisi walimu wa sekondari tulioajiriwa Mwaka 2025.
Walitupa fedha za kujikimu shilingi laki...
Wakazi wa Sinza Kumekucha, Sinza Makaburini, Sinza Kijiweni na Sinza Mawasiliano tunateseka kwa kelele za baa ya Amell iliyopo kwenye jengo la PSSSF Sam Nujoma.
Ile baa siku ya Ijumaa na...
Habarini wakubwa.
Kulingana na mnyumbulisho wa kodi na tozo za mafuta yanayoingia nchini, bado namuona TASAC anachukua Tsh 3/= kwa kila lita kwa kazi ipi hasa? ..Kumbuka TASAC alipewa majukumu...
Kuna kiwanda cha kinaitwa Global Aluminium Ltd kipo Kibaha Zogowale, Wachina wanaamrisha mfanyakazi aende kazini kila siku hakuna sikukuu wala weekend.
Kama hutaenda unafukuzwa kazi, mikatabao ya...
Sisi tuliokuwa wafanyakazi wa muda mrefu katika Hospitali ya JKCI-Dar Group (zamani ikijulikana kama Dar Group) tumejikuta katika hali ya sintofahamu kufuatia uamuzi wa mwajiri wetu kusitisha...
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Magogoni Wilaya ya Kigamboni, mtaa wetu umekuwa na changamoto za kuwa na bandari kavu karibu na makazi ya watu katika njia zinazoingia mtaani kwetu.
Mojawapo imekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.