KERO Kero za watumishi chuo cha SUA

KERO Kero za watumishi chuo cha SUA

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mtumishi wa chuo cha SUA kampasi ya Solomon Mahalangu Patricia Benedicto office assistant idara ya sayansi ya viumbe hai amekuwa kero kwa watumishi wake kwa kuficha vocha za madeni. Anawatishia kuwaroga wale wanaofanya kazi kwa bidii huku akisema Ana connection ya kuhamisha watu.

Hali hiyo inapelekea watumishi wenzake kufanya kazi kwa hofu na mashaka.

Mamlaka husika ichukue hatua za haraka za kumhamisha ili wafanye kazi vizuri.
 
Back
Top Bottom