KERO Threads

Anonymous
KERO 
Ajira Mpya Bukoba Manispaa tuliajiriwa Tarehe 26/08/ 2024 mpaka mwaka huu 2026 hatujazibithishwa kazini tukiuliza tunajibiwa BODI YA AJIRA HAIJAKAA.
1 Reactions
1 Replies
60 Views
Habari, Naomba tusaidiwe kufikisha ujumbe huu kuhusu huduma ya mtandao wa Airtel. Kwa sasa tuna siku ya tatu hatupati huduma ya intaneti kabisa, lakini kila tunapowasiliana na huduma kwa wateja...
3 Reactions
6 Replies
251 Views
Anonymous
KERO 
Sisi watumishi wa afya tulioajiriwa mwezi Novemba, 2024 katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha, Kilimanjaro tunaomba Ofisi ya Waziri Mkuu isimamie suala la kuthibitishwa kwetu kazini, kwani mpaka...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Anonymous
RESOLVED KERO 
Jamani na sisi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa tulioajiriwa mwezi wa tisa 2025 tukaanza kazi Novemba hatujalipwa pesa ya kujikimu had leo hii, tunafuatilia sana lakini wapiii. Yaani...
0 Reactions
0 Replies
69 Views
Anonymous
KERO 
Ajira Mpya Afya Mkoa wa Kigoma Wilaya ya Uvinza 'intake' ya November 2024 hatujapewa barua za kuthibitishwa kazini, unaenda mwaka wa pili sasa huu.
0 Reactions
1 Replies
76 Views
Anonymous
KERO 
Wakuu, habari. Ninaomba kufikisha kilio cha wananchi wa maeneo ya Kitunda, Kibeberu, Magole (Mzinga/Kivule) kuhusu changamoto kubwa ya ukosefu wa viwanja vya michezo vya jamii, hususan kwa vijana...
0 Reactions
0 Replies
68 Views
Anonymous
KERO 
Kwa niaba ya wenzangu, naomba msaada wenu kuhusu changamoto tunazokutana nazo katika shule za msingi Wilaya ya Mbulu DC. Wakuu wetu wa shule wamekuwa wakitunyanyasa kwa kutulazimisha kufundisha...
0 Reactions
0 Replies
74 Views
Anonymous
KERO 
Sisi ni watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, mkoani Dodoma, hasa kada ya utawala—yaani Watendaji wa Vijiji (VEOs). Tumeajiriwa tangu mwezi Novemba 2024, na sasa tumeshakamilisha zaidi...
0 Reactions
2 Replies
103 Views
Anonymous
KERO 
Sisi wakazi wa Isamilo, Mtaa wa Maendeleo, tunawasilisha rasmi malalamiko yetu kuhusu kero kubwa inayotukabili katika eneo letu la makazi. Kuanzia mwezi Aprili, 2026, jirani yetu mmoja amefungua...
0 Reactions
0 Replies
139 Views
Anonymous
KERO Responded 
YAH: MALALAMIKO YA KUTOLIPWA STAHIKI NA MAZINGIRA MAGUMU YA KAZI – TEMESA KANDA YA ZIWA Sisi watumishi wa TEMESA Kanda ya Ziwa chini ya Wizara ya Ujenzi, tunawasilisha malalamiko yetu rasmi...
0 Reactions
0 Replies
166 Views
Anonymous
KERO 
Ajira mpya wilaya ya chemba afya tuna mwaka sasa hatujapewa pesa ya kujikimu na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu
0 Reactions
3 Replies
112 Views
Anonymous
KERO 
Sisi Watumishi wa umma wa ajira mpya, katika Halmashauri ya Ngorongoro Mwaka 2026, mpaka hivi leo, hatujalipwa kabisa "fedha ya kujikimu" na hatupewi mrejesho wowote na viongozi wetu. Sasa hata...
0 Reactions
0 Replies
63 Views
Anonymous
KERO 
Watumishi Halmashauri ya Wilaya Korogwe Vijijini tunagomewa kupewa vibali vya Uhamisho na Mkurugenzi ilihali tumefika vigezo vya zaidi ya miaka mitatu kazini, wengine tuna hadi vyeti vya ndoa...
0 Reactions
0 Replies
86 Views
Anonymous
KERO 
Mataa ya kuongozea magari katika eneo la Kibasila, Chang'ombe, yamekuwa hayafanyi kazi kwa muda mrefu sasa. Hali hii imesababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa barabara, huku baadhi ya madereva...
1 Reactions
1 Replies
71 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mmoja wa wananchi tunaotumia huduma za simu za mkopo. Kwa kweli tunakumbana na changamoto kubwa sana kwenye huduma hii. Mara nyingi wanatukopesha simu ambazo siyo nzuri nyingi zina...
0 Reactions
0 Replies
97 Views
Anonymous
KERO 
Watumishi tuliohamishwa toka Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Mwaka 2013 (miaka 13 iliyopita) kwenda kuanzisha Halmashauri mpya ya Kaliua, hatujalipwa stahili yetu ya posho ya usumbufu (disturbance...
0 Reactions
0 Replies
57 Views
Anonymous
KERO 
Ninaomba kuwasilisha changamoto inayowakumba wafanyakazi wa sekta binafsi, hususan katika kampuni ya Lake Lubes pamoja na baadhi ya kampuni zake tanzu. Licha ya agizo la Serikali kuhusu kima cha...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Anonymous
KERO 
Changamoto ninayopenda kuwasilisha inawahusu baadhi ya watumishi wa umma katika Halmashauri moja mkoani Arusha, ambayo sitapenda kuitaja kwa sasa. Tumekuwa tukikatwa michango ya chama cha...
0 Reactions
2 Replies
79 Views
Anonymous
KERO 
Kuna viwanja vilivyouzwa takribani miaka minne iliyopita na Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni katika eneo la Pembamnazi–Tugwi Songani. Hata hivyo, hadi sasa wananchi bado hawajapatiwa hati zao...
1 Reactions
0 Replies
62 Views
Anonymous
KERO 
Sisi ni watumishi wapya wa ajira ya mwaka 2025 kada ya ualimu katika Wilaya ya Iramba, Mkoa wa Singida. Tunapenda kuwasilisha changamoto mbili kubwa tunazokutana nazo kazini. Kwanza, tumeingizwa...
0 Reactions
0 Replies
52 Views
Back
Top Bottom