Maafisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Mtama kuchelewesha kupitisha vikundi kwenye mfumo wa Wezesha Portal nimeomba kusajili kikundi tangu Januari 27, 2026 hadi leo kikundi hakijapitishwa na...
Utoaji wa Huduma kwa mabaharia katika Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC)umekuwa mbovu kupitiliza, watumishi waliopo katika taasisi hii wamekuwa na majibu mabovu kwa wateja, hawajali...
Vijana wa kufanya Installation tumezulumiwa malipo yetu, huu unaenda mwaka sasa, na Airtel team imeingilia bila mafanikio zaidi ya ahadi feki.
Out Door Unity (ODU) ndio vifaa vya Airtel...
Sisi wanafunzi na wahitimu wa programu za Technical Education in Engineering (Civil, Electrical na Mechanical) katika Mbeya University of Science and Technology (MUST), tunakabiliwa na changamoto...
Msimu huu wa mvua sisi wakazi wa Goba tumekutana na changamoto kubwa ya ubovu wa miundombinu.
Mtaa wa Bonde kati ya Shule ya Living Minds/Kanisa la RGC na Matosa umeharibika kabisa, magari ya...
Mimi ni mkazi wa mtaa wa Oloresho, kata ya Olasiti, wilaya ya Arusha Mjini. Kwa kweli tunapitia hali ngumu sana kwa sasa kutokana na uharibifu wa barabara yetu.
Hii hali imeanza tangu mkandarasi...
Tumeajiriwa toka Januari 2026 wenzetu wachache wamepata mshahara wa Januari na Februari wengine malipo yetu bila ya sababu za msingi hatujapata chochote hadi sasa hivi.
Wengine wetu walijitolea...
Poleni na kazi za kuelimisha jamii na hongera pia kwa kuwasemea watu.
Mimi nilihitimu degree ya Saikolojia katika elimu mwaka 2023 ( Bachelor of Education in Psychology) chuo kikuu cha Dar es...
Habari zenu wakuu!!!
Naiomba wizara ya kilimo kupitia mamlaka ya usimamizi na udhibiti wa Mbolea Tanzania, TFRA ijitokeze hadharani kuhabarisha zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania ambao shughuli...
Naomba msaada kwa ajili ya dada yangu, ambaye ni mtumishi wa umma kwa sasa. Anapitia hali ngumu sana kiafya na kiutumishi, na hadi leo hajapatiwa msaada unaostahili.
Alipata ajali mwaka 2024...
Mimi ni mkazi wa Mbeya Mjini, katika eneo la zebra ya Kabwe. Kwa kweli tunakumbana na changamoto kubwa sana katika eneo hili.
Kila siku watu wanapokuwa wanavuka zebra, madereva wa bajaji wanakuwa...
Mimi ni mkazi wa Kigoma Mjini, napenda kutoa malalamiko yangu kuhusu huduma niliyoipata katika Hospitali ya Mkoa Kigoma Maweni wakati nilipompeleka mke wangu kujifungua.
Tulipofika hospitalini...
Mimi mwanafunzi wa degree institute of social Work campus ya dar es salaam.
Nimeathirika kisaikolojia baada ya kuzuiwa kufanya mtihani wa continuous assessment (CA) kwasababu sijalipa ada kwenye...
Baadhi ya Maafisa wa NACTVET wanafelisha vyuo vya kati, kuchelewesha kua-prove maombi yao ili wasipate AVN Number kwa wakati washindwe kwenda vyuo vikuu, lakini wanafanya hivyo ili kupewa rushwa...
Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, kama mzazi! Iko hivi!
Nina mtoto, alimaliza kidato cha NNE mwaka 2024, alifaulu kwa kupata daraja la kwanza,(division one).
Katika kushauriana,tukiamua...
Wakuu,
Sikatazi watu kupiga mafataki lakini si watu wapige mchana. Hivi kweli mnapiga mafataki saa 4 na saa 5 usiku watu wamempuzika na familia zao
Watu wanaoishi hapa karibu na Mlimani City...
Hawa jamaa, usimamizi wao unatia mashaka.
Kiusalama, hali haijakaa vizuri. Kuna vipande vya barabara ambavyo havina lami na hakuna viashiria vyovyote vya tahadhari, jambo linaloongeza hatari ya...
Tunapenda kufichua kero kubwa inayowakabili wananchi wa maeneo ya Unyinga, Mamise na Unyakumi na maeneo mengine mjini Singida kutokana na ukosefu wa huduma ya maji takribani wiki tatu sasa
Kwa...
Kumekuwa na ucheleweshaji wa huduma ya kuunganishiwa umeme kwa wateja wapya wilaya ya Mkuranga ambapo mteja anakuwa ashafata taratibu zote kwaajili ya kupata huduma ila mteja anasubirishwa Hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.