KERO Threads

  • Redirect
Anonymous
KERO 
Katika vijiji vya Kibande na Bweranka vinavyopatikana Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini alishakula pesa za Wananchi takribani miaka 3 iliyopita, baadhi ya nyumba...
0 Reactions
Replies
Views
Anonymous
KERO 
Madereva Bajaj wa GEITA wanaonewa sana, kuna watu wanawakamata-kamata sana wakishusha abiria na kupakia kwenye taa za JOSHONI Nyankumbuuu sokoni Wilaya ya Geita Mjini tunaomba msaidie watu...
0 Reactions
2 Replies
93 Views
Anonymous
KERO 
Nyamongo iko Tarime DC ni miongoni mwa maeneo ambayo Waziri Mkuu alitembelea lakini hatujaona mwenendo wa tatizo la maji maana wakija kusoma matumizi ya maji kwenye Mita wanaleta bili unawauliza...
0 Reactions
1 Replies
68 Views
Anonymous
KERO 
Eneo la Salasala Kilimahewa Juu, Kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni tunafikisha kilio chetu kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji ambayo imekuwa ikitusumbua kwa muda mrefu. Tatizo hili...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
Anonymous
KERO 
TAMISEMI na Uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga, tunaomba mtupe ufafanuzi kuhusu fedha zetu za kujikimu. Kwa mujibu wa barua ya TAMISEMI ya tarehe 04/06/2026, Halmashauri zilitakiwa...
0 Reactions
0 Replies
83 Views
Anonymous
KERO 
Vibarua wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni wanaomba msaada kutokana na kuchelewa kulipwa stahiki zao. Hadi sasa, wamekaa miezi miwili bila kupokea malipo yao, huku wakidai hawajapewa...
0 Reactions
1 Replies
53 Views
Anonymous
KERO 
Kuna unyanyasaji mkubwa na wa kutisha unaoendelea katika Wilaya ya Rorya dhidi ya wazee wetu wastaafu, hususan walimu waliolitumikia taifa hili kwa uaminifu. Kuna mtu mmoja anaitwa Adriano...
0 Reactions
0 Replies
77 Views
Anonymous
KERO 
Wakazi wa kunda vijijini tunalazimika kuchota maji ziwani ambapo wanyama wananywea humo, watu wanafulia, kuogea na kuoshea vyombo ziwani. Bado maji hayo hayo tunalazimika kutumia kwa kunywa na...
0 Reactions
0 Replies
48 Views
Anonymous
RESOLVED KERO 
Ajira mpya ya Januari 2026 juu ya Halmashauri ya Monduli kutolipwa pesa za kujikimu ilihali serikali ishaleta na halmashauri zingine washapewa lakini sisi tunazungushwa kila siku mara tutume...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Anonymous
KERO 
Nina dukudhuku kuhusu Idara ya Uhamiaji Kurasini hapa Dar es Salaam, Mtu unaomba Passport kwa ajili ya matembezi mfano kwenda Kenya wao wanataka bank statement, unaleta bank statement wanataka...
0 Reactions
0 Replies
67 Views
Anonymous
KERO 
Bado nina malalamiko dhidi ya Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya. Kutokana na ucheleweshaji wa utoaji wa pasipoti, hatimaye nimeshindwa kufanya safari yangu iliyokuwa imepangwa kwa mwaka huu wa 2026...
0 Reactions
0 Replies
68 Views
Barabara ya kutoka Moshono Stand kuelekea Moshono Kati hadi Idara ya Maji, mkoani Arusha, imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu bila kupatiwa ufumbuzi. Wananchi wanaotumia barabara hiyo kila...
0 Reactions
0 Replies
54 Views
Anonymous
KERO 
Mkoa wa mbeya maeneo ya barabara za VETA na Isyesye taa za barabarani hazifanyi kazi kulinganisha na miaka ya nyuma ambako zilikuwa zikifanya kazi vizuri. Nime tuma za barabara ya ilomba kwenda...
0 Reactions
0 Replies
45 Views
Anonymous
KERO 
Watumishi tulioajiriwa mwezi Novemba mwaka 2024 katika Halmashauri ya Wilaya ya Muheza, mkoani Tanga, bado hatujalipwa stahiki zetu za fedha za kujikimu hadi leo. Baada ya kufuatilia suala hili...
0 Reactions
0 Replies
47 Views
Anonymous
KERO 
Wahandisi na wahitimu wa uhandisi nchini Tanzania tunaendelea kuwa na wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya taaluma ya uhandisi na namna inavyosimamiwa. Pamoja na kuwepo kwa Bodi ya Wahandisi Tanzania...
2 Reactions
0 Replies
54 Views
Anonymous
KERO 
Watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya katika Halmashauri ya Mkalama wamepewa fedha za kujikimu, lakini sisi walimu wa ajira mpya hadi sasa hatujapokea hata shilingi moja. Hali hii inakatisha...
0 Reactions
3 Replies
109 Views
Anonymous
KERO 
Habar za wakati huu.!Mimi ni mdau na mwananchi na mtumishi katika taasisi ya serekali kero yangu ni moja hasa katika Wilaya ya Handeni katika Halmashauri ya Mkata(handeni)Watumishi wa hapa...
0 Reactions
5 Replies
134 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Kambarage, Manispaa ya Shinyanga. Ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu hali mbaya ya usafi ambayo imekuwa ikitusumbua kwa muda sasa kutokana na mrundikano wa taka...
0 Reactions
1 Replies
90 Views
Anonymous
KERO 
LISTRAM GROUP OF COMPANIES, CASHEW NUT BOARD OF TANZANIA (CBT) NA AGRICULTURAL MARKETING COOPERATIVE SOCIETY (AMCOS) WALIPENI WAKULIMA PESA ZAO, ACHENI DANADANA. Bado sintofahamu inaendelea...
3 Reactions
10 Replies
179 Views
Habari wanajukwaa. Kwa mujibu wa muongozo wa serikali wa uhamisho wa kawaida kwa watumishi wa serikali ni kwamba mamlaka yoyote inayotaka kuhamisha mtumishi ni lazima ijiridhishe kwanza ina fungu...
1 Reactions
1 Replies
231 Views
Back
Top Bottom