KERO Threads

Verrazanno
KERO Responded 
Imetoka Dodoma saa 12 kamili asubuhi. Tangu saa mbili asubuhi, treni imekwama. Sasa inaenda saa 7 mchana, na hakuna matumaini ya kuendelea. Treni iko kilomita 45 kutoka Dar, porini. Wengine...
21 Reactions
126 Replies
8K Views
Kuna ajali ilitokea jana maeneo ya Kanambe Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazi Pemba, gari la fuso ambalo lilikuwa limebeba mchanga liliachia njia na kuanguka. Kuna mtu mmoja alipoteza maisha...
1 Reactions
10 Replies
779 Views
Mimi ni Mkazi wa Kata ya Yombo Vituka, hapa mtaani kwetu moja ya kero kubwa ni kukosekana kwa utaratibu mzuri wa utaratibu wa kulipia malipo ya taka. Viongozi wetu wa Serikali ya Mtaa wanaweza...
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Leo kwenye kipindi cha asubuhi cha Wasafi fm wameruhusu kupokea simu za malalamiko ya ukosefu wa maji, kwa hakika ni huzuni na masikitiko makubwa inaonekana eneo kubwa sana la jiji la Dar halina...
2 Reactions
7 Replies
639 Views
Mimi ni mkazi wa Kahama Mjini, na ningependa kuwasilisha malalamiko kuhusu sekta mbili: Kahama Urban Water Supply (KUWASA) na Tanesco Kahama. Huduma ya umeme imekuwa kero, kwani umekuwa ukikatika...
0 Reactions
0 Replies
397 Views
1. Sehemu za Kuabudia Airport iwe takwa la Kisheria na sio hisani kama inavyofanyika sasa au kupendelea upande moja. 2. Laiti airport pangejengwa Kanisa tu sijui hali ingekuaje mpaka sasa. NB...
21 Reactions
346 Replies
9K Views
Mliogwa
KERO Responded 
Eneo la Msufini, Manispaa ya Singida ni mashughuli na maarufu kwa biashara hapa Singida. Shughuli nyingi za biashara za aina mbalimbali zinafanyika karibia eneo lote la Msufini. Kinachosikitisha...
1 Reactions
1 Replies
704 Views
Nimeona miaka ikienda lakini stendi ya Tegeta Nyuki ambayo ni moja ya stendi kubwa tu inayobeba magari mengi yanayofanya safari zake maeneo mengi katika Jiji hili la Dar es Salaam. Kwa mfano kuna...
0 Reactions
1 Replies
424 Views
KwetuKwanza
KERO Responded 
Mimi Mkazi wa Geita kwa muda mrefu sasa mkoa wetu umekuwa na changamoto ya mgao wa maji. Maji yamekuwa yakitoka mara moja kwa wiki. Hii ni kwa Mtaa wetu na maeneo mengine mengine. Kila tukiuliza...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Tar 03/11/2024 niliweka Tsh.20,000/= kwenye account yangu ya tigo pesa, tar 04/11/2024 asubuhi nikakutana na hii, 👇👇 Dear Customer, you have Successfully done Payment...
0 Reactions
2 Replies
467 Views
Mbunge wa Mkalama Francis Isack Mtinga ameuliza Swali bungeni Leo Novembar 4, kwa Naibu Waziri wa Tamisemi Zainabu katimba Kuwa ni lini Serikali itajenga Shule ya Sekondari na Kituo cha Afya...
0 Reactions
1 Replies
652 Views
Serikali/mamlaka husika ijaribu kufuatilia na kuchunguza uongozi wa chuo cha maendeleo ya wananchi same -kilimanjaro (FDC), hadi sasa baadhi ya wanafunzi waliowahi kumaliza chuoni hapo...
0 Reactions
3 Replies
669 Views
Tunaiomba Serikali kupitia Wizara husika ijaribu kufatilia chuo hiki kuna kila dalili za kutokuwajibika kwa watumishi wake na kutokutumia madaraka yao vyema, wapo wanafunzi waliowahi kusoma chuoni...
0 Reactions
2 Replies
385 Views
Serikali ya wilaya ya Kasulu imekaa kimya tu wananchi walipakodi tunashinda na kulala gizani. Haya ndiyo mambo yanayosababisha watu tujifunze kukwepa kulipa kodi maana hatuoni umuhimu wake...
0 Reactions
11 Replies
768 Views
Anonymous
KERO 
Habari ndugu wadau!? Kuna nini kinaendelea kwenye mifuko ya uwekezaji UTT Amis? Huduma zao kwenye upande wa kupokea simu imekuwa ni janga, hazipokelewi ziadi ya kukatwa. Hii inatia wasiwasi kwa...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni miongoni mwa wakazi wa Kata ya Tura, Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora, ninaiomba Taasisi ya TANESCO kushughulikia suala la ukatikaji wa umeme kwani kumekuwa kikwazo kikubwa kwa biashara...
0 Reactions
2 Replies
699 Views
Abraham Lincolnn
KERO Responded 
Kwa sasa makato ya kodi unaponunua LUKU yameongezeka kutoka TZS 1,000 mpaka TZS 2,000. Tunaomba maelezo kwanini gharama hizi zineongezeka? Kuna sababu gani ya kuendelea kufanya maisha ya...
41 Reactions
490 Replies
24K Views
Niende moja kwa moja kwenye kero yangu, kuna kiwanda cha kuyeyusha chupa za plastiki kipo opposite na Mto Msimbazi (njia panda ya kwenda Kigogo) kile kiwanda hakina mabomba ya kusafirishia moshi...
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mkazi wa Buswelu, manispaa ya Ilemela mkoa wa Mwanza. Imenibidi nihame nyumba yangu nikapange sababu ya ukosefu wa maji. Ndani ya wiki maji yanaweza kutoka mara moja tu, ikitokea yametoka...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Hii njia kama wewe ni mkazi wa huku nadhani unaelewa maumivu tunayoopitia wananchi. Hazipiti siku mbili au tatu bila kuwa na shida ya ajali na kusababisha foleni. Lakini wakati mwingine kupelekea...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom