KERO Threads

Anonymous
KERO 
Tungepewa uUhuru tuchague Kati ya TUGHE na TALGHU tujiunge na chama gani baada ya wote kutuelezea faida na maslahi tutakayopata endapo tutajiunga na chama husika. Lakini imekuwa tofauti...
1 Reactions
3 Replies
397 Views
Anonymous
KERO 
Tunahitaji msaada kwa kweli, sisi wakazi wa maeneo ya Honda na Mwajasi hapa vikindu, hili Daraja kila msimu wa mvua lazima tuji mobilize na kufanya marekebisho ili bajaji, pikipiki, magari madogo...
0 Reactions
5 Replies
378 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni abiria kipenzi cha SGR walau kila mwezi nasafiri mara 2 kati ya Stesheni za JPM na JMK. Kwa hiyo nina uzoefu na treni hii. Jana tarehe 25/04/2025 nilisafiri kutoka DSM kwenda Morogoro na...
3 Reactions
4 Replies
680 Views
Anonymous
KERO 
Habari watanzania, shukrani za dhati ni kwa Mungu mwenyezi kwa kutupenda upeo hata akamtoa mwana wake wa pekee ili atukomboe kwa wale watakao muamini (yohan 3;16) Niende moja kwa moja kwenye hoja...
0 Reactions
4 Replies
310 Views
Precious Diamond
KERO Responded 
Wakuu salam, Sijui kwa maeneo mengine ila huku mitaa ya Mbezi Beach kwa Zena kuna maboresho ya mfumo ya maji taka ambayo yanafanywa kwa baadhi ya nyumba wanaotaka kuwekewa mfumo huo. Walianza...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO KERO 
Kampuni ya Boss Kazi iliyopewa tenda na Manispaa ya Ubungo kukamata vyombo vya moto vilivyoegeshwa kimakosa (Wrong Parking) wanafanya kazi kimabavu, bila kufuata sheria na maadili ya kazi...
0 Reactions
1 Replies
356 Views
Mnamo kwaka 2023 Mh waziri alitembelea hili eneo hilo akasikiliza kero sugu ukosefu wa maji kinyerezi. Aliamua kushughulika na meneja. Waziri kwenda na pamoja na uweponwake hakukuwa na Maji...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Pension zinazolipwa na Hazina kwa Wastaafu zimekuwa zilicheleweshwa bila taarifa kwa wastaafu. Hadi sasa tarehe 12 July 20124, pension hizi hazijapatikana. Pension hizi huwafaa wastaafu katika...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Anonymous
KERO 
Changamoto ya upatikanaji wa maji katika eneo la Kitefure, Longuo, Kilimanjaro ni kubwa licha ya kipindi hiki cha mvua. Hata wakati wa mvua, tunapata shida kubwa ya maji, kwani maji yanapatikana...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Anonymous
KERO Responded 
Wanafunzi wa Chuo cha Ustawi— Institute of Social Work, Bamaga, Dar es Salaam wanalalamika ratiba za masomo zinazoenda mpaka Saa 4 Usiku. Hii inahatarisha usalama wao hasa wakati wa kurudi makwao...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Wananchi tunaotumia barabara ya Mbande- Msongola tunapata changamoto kubwa hasa kipindi hiki cha mvua kwenye kipande cha Mbande Kisewe kutokana na Mkandarasi anayejenga njia kuwa kuwa slow, ni...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Chuo cha Excellence College of Allied Science kilichopo Boko Dar es Salaam wamekigeuza kuwa kama duka, wanafanya kazi wanavyotaka wao wenyewe Kwanza ada na michango iliyopo kwenye form ni kidogo...
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Anonymous
KERO 
Eneo hili la reli lina mashimo makubwa ambayo yanahatarisha watumiaji wa barabara hasa usiku. Wananchi Eneo hili wanashuhudia ajali kila kukicha watu wakipasua tairi za magari na kupoteza mwelekeo...
0 Reactions
0 Replies
354 Views
Anonymous
KERO 
Hiki unachokiona kwenye picha hapo siyo kwamba watu wapo kwenye shoo ya muziki, hapo ni Ukumbini katika Chuo Kikuu cha SAUT au Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agostino Tanzania (St. Augustine University...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Mkoani Simiyu wilayani Maswa wakaidi agizo la mkuu wa Mkoa Mh. Kenani Kihongosi la kuweka Umeme kwenye chanzo cha maji cha Kata ya Shishiyu ikiwa ni kuongeza uzalishaji wa maji kwa nishati ya...
0 Reactions
2 Replies
414 Views
Daaah! Hii nchi bhana, katika pitapita zangu nimeibukia maeneo ya Mlowo Wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe. Halmashauri ya Wilaya hiyo imefanikiwa kujenga Stendi mpya ya mabasi eneo la Forest lakini...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Boran Jakutay
KERO Responded 
Kumekuwa na kilio cha muda mrefu kuhusiana na ubovu wa Barabara ya Kimara – Bonyokwa, kumekuwa na ahadi nyingi lakini utekelezaji unasuasua. Tunafahamu juhudi za viongozi zinazofanywa, lakini...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wanajamiiForums, kero ya barabara ya Mbande hadi Mvuti, tunaomba wanaohusika wajitathimini. Mkandalasi hayupo site na barabara ni mbovu, hasa eneo la soko la Mbande.
1 Reactions
6 Replies
437 Views
Daraja la Milala Shongo lililopo Kijiji cha Milala, Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi ni tatizo sana kwetu Wananchi wa Milala. Sisi wakazi wa Milala tatizo hili limetuchosha kwa sababu limedumu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom