Kumekua na tabia ambayo imeota mizizi kwa makampuni ya ujenzi kuchimba udongo wa moramu kwa ajili ya ujenzi wa barabara na kuaacha mashimo ambayo ni hatari kwa maisha ya binadam na uharibifu wa...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa nishati alielekeza TANESCO kuwa kama kuna matengenezo toeni taarifa kabla.
Ni jana tu tulikuwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa nishati hapa Arumeru mkoani...
Habari za muda huu watanzania wenzangu.
Kuna jambo ambalo kiukweli halipo sawa ukilinganisha umri tulionao kama nchi kutokea tupate uhuru kutoka kwa mkoloni mpaka sasa.
Leo nataka nizungumzie...
Kama mkazi wa mtaa wa Msisiri A, nyuma ya Mahakama ya Kinondoni, nimesikitishwa mno kuona idadi kubwa ya vijana wadogo wakijihusisha na uvutaji wa bangi maeneo ya wazi. Wanavuta bila hofu, bila...
Nilijiunga na chuo kikuu UDSM kwa masomo ya post graduate mwezi October 2023 kwa program za jioni. Lakini baada ya kukamilisha usajili na kulipa ada na kuanza masomo walitubadilishia utaratibu...
Naomba kujua utaratibu wa kupata Bima ya Afya kwa Watoto wa Shule sababu wakati shule zinafunguliwa mwezi Januari wazazi tuliambiwa tutoe kiasi cha shilingi 50,400, leo hii wamesema wanarudisha...
Tunaomba msaada wa viongozi wa Elimu Mkoa wa Pwani, Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Changalikwa wanalazimishwa kurejea nyumbani sababu hawajatoa mchango wa Tsh. 100,000 kwa ajili ya kuchimba kisima.
Bank ya CRDB tawi la LAPF Dodoma wahudumu wako taratibu sana, majibu yasiyo rafiki
Kwenye foleni inakaa masaa bila huduma, yapo madirisha manne ya huduma ila kwa muda mrefu ni dirisha Moja tu...
Ninaomba Serikali kupitia TAMISEMI na Waziri wa Elimu waingilie kati shule ya sekondari Moshi Ufundi iliyopo Moshi Manispaa mkoani Kilimanjaro yenye wanafunzi wenye mahitaji maalum viziwi mwaka...
Uongozi wa Aga Khan Dodoma, angalieni huduma mnazozitoa. Watu wanapangiwa madaktari, ila hawako ofisini, wagonjwa mpaka walalamike ndio muwape Daktari mwingine.
Hapo ni baada ya kukaa muda...
Ndugu zangu wa DAWASA tunapokea maji yenu lakini hayana ubora unaostahili ni hatari sana kwa afya za binadamu
1. Sidhani kama yanafanyiwa usafi (Cleanliness)
2.Yanatibiwa(Treatment)
3. Maji...
Nasikitika sana kwa kitendo cha Shirika la Posta kuuza Sanduku langu la Posta la biashara kwa mtu mwingine bila taarifa, mpaka sasa hakuna msaada niliopata zaidi ya kuzungushwa, inawezekana...
Imekuwa ni kawaida kwa walinzi kuwalazimisha wanafunzi kuvua kofia za cap wanapoingia library au sehemu za maofisi, huu ni unyanyasaji dhahiri kwa watanzania ambao wanatumia uhuru wao wa kuvaa...
Stendi ya Mabasi Kigoma imekuwa na changamoto nyingi za huduma duni, kila kukicha wanakuja na utaratibu wa ajabu ambao sio rafiki kwa wateja.
Mkurugenzi na Mgambo wanaitumia Stendi hii...
Naomba mamlakA LATRA iangalie hiki suala la usafiri hapa hususaani Mbezi Luiz, Makongo na Goba una ulazima Gani Gari za Makongo ziishie Makongo Makumbusho?
Napendekeza ruti ya
1. Makongo ianzie...
Kwa Yeyote Anayehusika,
Ninaandika barua hii kama mkazi wa Tabata Kimanga aliyechanganyikiwa, nikilazimika kupaza sauti yangu dhidi ya hali mbaya ya barabara ya Tabata Kimanga. Kwa moyo mzito na...
Wakuu salamu
Mimi Mfanyakazi kutoka Kampuni ya China Tanzania Security (CT) ambayo inahusika na usimamizi wa miundombinu katika Vituo vya Mabasi ya Usafiri wa Haraka (Mwendokasi) (DART) pamoja na...
Kuna tatizo kwa Vikundi katika Halmashauri ya Buchosa vina malalamiko kuhusu ile mikopo ya Asilimia 10 kwa vijana, kuna vikundi vimeomba mkopo tangu Julai 2024, hela zilitoka na zikaenda kwa...
Pamoja na kero ya kukatika kwa umeme inayoendelea katika Jiji la Dar es Salaam, Tanesco wanaweza kukata umeme na kuurejesha mara 8 au 10 kwa siku katika Manispaa ya Kigamboni.
Hii ni hatari sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.