KERO Threads

Nyakijooga
KERO Responded 
Wakuu salamu Mimi Mfanyakazi kutoka Kampuni ya China Tanzania Security (CT) ambayo inahusika na usimamizi wa miundombinu katika Vituo vya Mabasi ya Usafiri wa Haraka (Mwendokasi) (DART) pamoja na...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO KERO 
Kuna tatizo kwa Vikundi katika Halmashauri ya Buchosa vina malalamiko kuhusu ile mikopo ya Asilimia 10 kwa vijana, kuna vikundi vimeomba mkopo tangu Julai 2024, hela zilitoka na zikaenda kwa...
0 Reactions
0 Replies
327 Views
Pamoja na kero ya kukatika kwa umeme inayoendelea katika Jiji la Dar es Salaam, Tanesco wanaweza kukata umeme na kuurejesha mara 8 au 10 kwa siku katika Manispaa ya Kigamboni. Hii ni hatari sana...
2 Reactions
9 Replies
733 Views
Kwa kipindi cha mwezi wote wa Kwanza hadi leo kuanza mwezi wa pili kumekuwa na kukatika umeme mara kwa mara katika maeneo ya mji mwema na maeneo mengine ya Mtwara. TANESCO mnaturudisha sana nyuma...
0 Reactions
7 Replies
526 Views
Anonymous
KERO 
KERO YA UKOSEFU WA UMEME WA MARA KWA MARA KIGAMBONI, DAR ES SALAAM. Katika story za hapa na pale, mara kadhaa nimekuwa nikikejeliwa na ndugu zangu huko mikoani kama kweli naishi jijini Dar es...
0 Reactions
5 Replies
705 Views
Ifike pahala sasa watu wa Bunju A Dar es salaam waanze kupaza sauti kuhusiana na kukatika kwa Umeme uku Bunju A. Utafikiria tuko Mkoa ama Nchi nyingine. Kila kukicha umeme lazima ukatwe Bunju A...
2 Reactions
4 Replies
520 Views
Anonymous
KERO 
Barabara ya External kwenda Majichumvi eneo la Migombani (Majichumvi) inayopita OBAMA BAR kuanzia Ofisi ya Serikali ya Mtaa Mianzini kutokezea njia Panda ya Bonyokwa na Segerea inatutesa sana...
1 Reactions
4 Replies
582 Views
Anonymous
KERO 
Hali ya Barabara Kwa Fundi Baiskeli (Kigamboni) ni mbaya, huu ni mwezi wa 6 tangu Bango la Mkandarasi liwekwe na hakuna kinachoendelea JF tunaomba mtusaidie kupaza sauti kwa Serikali ya Kigamboni...
1 Reactions
4 Replies
982 Views
Hapa ndani kuna umati wa watu wanasubiri kuvuka na boti ndio moja na zile ndogo. Hivi kwanini hapa wasipewe tu wawekezaji, jamani Kigamboni tunateseka sana.
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Anonymous
KERO 
Niko hapa nimechanganykiwa kwanini hiki chuo hawataki kutuwekea matokeo yetu. Utaratibu ni kwamba matokeo yalitakiwa kuwa yamewekwa tokea mwezi wa 4 mwanzoni, ila mpaka sasa hatujui kwanini...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Ni takriban week tatu sasa kisiwa cha Mafia kilichopo ndani ya mkoa wa Pwani, kimekumbwa na kukosekana kwa mawasiliano ya mtandao wa Halotel, ambapo wanachi wanapata kadhia ya kushindwa kuwa na...
1 Reactions
1 Replies
530 Views
Anonymous
KERO 
Kuna tatizo linaendelea hapa kata ya usagara,kijiji Nyangomango,kitongoji Nyaruhama. Kuna uchimbaji wa molamu katika makazi ya watu na mbaya zaidi lipo shimo lefu sana ambalo limetokana na...
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Anonymous (cdfe)
KERO 
Tusaidiane kufikisha hili kwa mamlaka husika. UCHIMBAJI MCHANGA UNAVYOHARIBU BARABARA YA GOBA - MPAKANI KWENDA MADALE. Kutokea Goba - Mpakani , eneo maarufu kama "kwa ajali" ukiwa unaenda Madale...
1 Reactions
3 Replies
579 Views
Anonymous
KERO 
Naomba TAMISEMI iangalie posho za kujikimu Kada ya Ualimu Mwaka 2019 Makete hatukupewa fedha hizo. Kila tukiuliza tunaambiwa Serikali bado haijaleta fedha hizo ilihali wilaya nyingine walilipwa...
0 Reactions
3 Replies
290 Views
Nawakumbusha tu wenye kipaji cha kusifia hali ya upatikanaji ya maji inazidi kuwa mbaya, kwani maji yamegeuka kuwa anasa vilory vya maji vimerudi kwa Kasi kubwa na maji hutoka mara Moja kwa wiki...
7 Reactions
39 Replies
1K Views
Tunaomba ujumbe wetu huu ufike hadi kwa Waziri wa Ujenzi, kwa muda wa Miaka miwili, sisi Wananchi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam tunapitia...
2 Reactions
4 Replies
724 Views
Hali Ya Umeme Mbagala Chamanzi ni zaidi ya neno "KERO", Tanesco hawajali wanakata umeme masaa 18 mfululizo mda mwingine mpaka siku mbili mfululizo kwa madai kwamba wanafanya maboresho. Maboresho...
2 Reactions
3 Replies
363 Views
Anonymous
KERO 
Vodacom wamekuwa na makato yasiyoeleweka kwa mawakala wa mitandao ya kifedha hasa mkoa wa Mbeya, inapokaribia mwisho wa mwezi wanakata pesa kwenye faida ya wakala ambayo angeipata, ukiwapigia na...
0 Reactions
3 Replies
611 Views
Maeneo ya Sabasaba hapa Dodoma, majira ya Asubuhi na Jioni kuna foleni sana ya magari, hakuna utaratibu maalum uliowekwa eneo hilo. Wakati mwingine Trafiki wanakuwepo lakini si mara zote...
1 Reactions
2 Replies
485 Views
Anonymous
KERO 
Kumekuwa na changamoto ya miundombinu hasa vyoo na madarasa hali inayosababisha Wanafunzi pamoja na Walimu kujisaidia vichakani, kwani vyoo vilivyopo vina hali mbaya sana, taarifa fiche kutoka kwa...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom