Tangu watu waombe uhamisho wa kuhamia nje ya mikoa ki mfumo hadi leo kimya TAMISEMI shida ni nini au mko bize na maandalizi ya maeneo jimbo?
OR TAMISEMI
Imekuwa miezi kadhaa sasa askari toka mtumba wanapita na difenda zao Mahoma, Ipala na Hombolo kubeba vijana wasio na hatia na kuwavisha kosa la uzururaji. Wanapita saa 3 usiku wakakamata mpaka...
Jamani jamani, wiki iliyopita nilibahatika kupanda kivuko cha Azam pale Ferry Dar es Salaam. Kivuko kinajaa sana na hakuna kinga yoyote iliyoandaliwa pindi tatizo likitokea.
Tafadhali, idara ya...
Mimi ni mkazi wa Isyesye Mbeya
Tunashukuru kwa maboresho ya barabara yanayofanyea na Serikali lakini tunaomba mumuelekeze Mkandarasi wa Kampuni ya Marmo kutengeneza barabara za michepuko...
Barabara ya Kitunda - Banana imekuwa kero kubwa, yaani ni mashimo kiasi kwamba kuna gari nyingi zikiwemo Daladala wahusika wame-cancel route njia hiyo na kusababisha Watu wengi kukosa usafiri...
Habari Wana JF, naomba kuleta malalamiko yangu hapa maana najua kuna Viongozi pia wanapita kusoma taarifa zetu hapa.
Ni muda mrefu sana Barabara ya kutoka Mbezi Luis kwenda Mpiji Magohe ni mbovu...
Angalia hali hii ilivyo mbaya kabisa. Barabara zimejaa mashimo, matope na maji kila kona, hakuna dalili yoyote ya matengenezo. Wananchi na watumiaji wa barabara hii tunateseka kila siku, hasa...
Mitaa mingi ya huku kwetu Pemba kuna changamoto ya kukosekana kwa huduma ya gari la kunyonya maji taka (kinyesi) hali ambayo kiafya sio nzuri na inaweza kuchangia kuibuka kwa magonjwa ya...
Hii hospitali ya Mnazi Mmoja ina umuhimu mkubwa sana jijini hasa kwa wananchi wa chini. Jamani uongozi mjitathmini.
Watumishi wengi mno ni kama mko pale kupoteza muda.
1. Huduma ya madaktari...
Nikuhusu barabara ya Ndungu-Lugulu. Barabara hii, tangu iharibiwe na mvua za El Nino mwaka 2023, haijawahi kutengenezwa.
Barabara hii ni muhimu sana kwa wakazi wa kata ya Lugulu na kata ya Mtii...
Sisi Wakazi wa maeneo ya Viwege na Pugu Kinyamwezi, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam tumekuwa na changamoto ya kuwa na barabara mbovu, ikinyesha mvua ndio kabisa hali inazidi kuwa mbaya kuliko...
Wakuu natoa kero yangu katika mkoa wa Arusha wilaya ya Arumeru kwenye soko la TENGERU
Ni halimashauri wanajenga choo karibia na sehemu ya kuuzia nyama (BUTCHER) hivi kwel mamlaka hawakuona sehemu...
Naandika andiko hili nikiwa na uchungu sana na hili jambo.Awali hili kundi lilianza kimasihara tu kama vijana wanaojihusisha na uchezaji wa kamari wao kwa wao.Pengine baada ya kuona malengo yao...
Habari,
Kumekuwa na changamoto kubwa nyakati za jioni kwa daladala za Buhongwa kwenda Usagara kwani abiria wote wanaoshuka njiani wanaliopishwa nauli sawa na anayefika mwisho wa gari hali...
Hapa ni Wilaya ya Mkuranga, Kata ya Mkuranga, Kitongoji Cha Miale, barabara hii hutumiwa na wakazi wa eneo hili, pia hutumiwa na Malori ya Tani zaidi ya 20 ya mchanga.
Kipindi cha masika kama...
Huko mkoani Kagera, katika Hospitali ya Jimbo Katoliki ya Mugana, wafanyakazi wa Mission Sector wanakutana na changamoto kubwa.
Baadhi ya stahiki zao, ikiwemo michango ya NSSF, hazipelekwi ingawa...
Tungepewa uUhuru tuchague Kati ya TUGHE na TALGHU tujiunge na chama gani baada ya wote kutuelezea faida na maslahi tutakayopata endapo tutajiunga na chama husika.
Lakini imekuwa tofauti...
Tunahitaji msaada kwa kweli, sisi wakazi wa maeneo ya Honda na Mwajasi hapa vikindu, hili Daraja kila msimu wa mvua lazima tuji mobilize na kufanya marekebisho ili bajaji, pikipiki, magari madogo...
Mimi ni abiria kipenzi cha SGR walau kila mwezi nasafiri mara 2 kati ya Stesheni za JPM na JMK. Kwa hiyo nina uzoefu na treni hii.
Jana tarehe 25/04/2025 nilisafiri kutoka DSM kwenda Morogoro na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.