Wakuu natoa kero yangu katika mkoa wa Arusha wilaya ya Arumeru kwenye soko la TENGERU
Ni halimashauri wanajenga choo karibia na sehemu ya kuuzia nyama (BUTCHER) hivi kwel mamlaka hawakuona sehemu...
Naandika andiko hili nikiwa na uchungu sana na hili jambo.Awali hili kundi lilianza kimasihara tu kama vijana wanaojihusisha na uchezaji wa kamari wao kwa wao.Pengine baada ya kuona malengo yao...
Habari,
Kumekuwa na changamoto kubwa nyakati za jioni kwa daladala za Buhongwa kwenda Usagara kwani abiria wote wanaoshuka njiani wanaliopishwa nauli sawa na anayefika mwisho wa gari hali...
Hapa ni Wilaya ya Mkuranga, Kata ya Mkuranga, Kitongoji Cha Miale, barabara hii hutumiwa na wakazi wa eneo hili, pia hutumiwa na Malori ya Tani zaidi ya 20 ya mchanga.
Kipindi cha masika kama...
Huko mkoani Kagera, katika Hospitali ya Jimbo Katoliki ya Mugana, wafanyakazi wa Mission Sector wanakutana na changamoto kubwa.
Baadhi ya stahiki zao, ikiwemo michango ya NSSF, hazipelekwi ingawa...
Tungepewa uUhuru tuchague Kati ya TUGHE na TALGHU tujiunge na chama gani baada ya wote kutuelezea faida na maslahi tutakayopata endapo tutajiunga na chama husika.
Lakini imekuwa tofauti...
Tunahitaji msaada kwa kweli, sisi wakazi wa maeneo ya Honda na Mwajasi hapa vikindu, hili Daraja kila msimu wa mvua lazima tuji mobilize na kufanya marekebisho ili bajaji, pikipiki, magari madogo...
Mimi ni abiria kipenzi cha SGR walau kila mwezi nasafiri mara 2 kati ya Stesheni za JPM na JMK. Kwa hiyo nina uzoefu na treni hii.
Jana tarehe 25/04/2025 nilisafiri kutoka DSM kwenda Morogoro na...
Habari watanzania, shukrani za dhati ni kwa Mungu mwenyezi kwa kutupenda upeo hata akamtoa mwana wake wa pekee ili atukomboe kwa wale watakao muamini (yohan 3;16)
Niende moja kwa moja kwenye hoja...
Wakuu salam,
Sijui kwa maeneo mengine ila huku mitaa ya Mbezi Beach kwa Zena kuna maboresho ya mfumo ya maji taka ambayo yanafanywa kwa baadhi ya nyumba wanaotaka kuwekewa mfumo huo. Walianza...
Kampuni ya Boss Kazi iliyopewa tenda na Manispaa ya Ubungo kukamata vyombo vya moto vilivyoegeshwa kimakosa (Wrong Parking) wanafanya kazi kimabavu, bila kufuata sheria na maadili ya kazi...
Mnamo kwaka 2023 Mh waziri alitembelea hili eneo hilo akasikiliza kero sugu ukosefu wa maji kinyerezi.
Aliamua kushughulika na meneja. Waziri kwenda na pamoja na uweponwake hakukuwa na Maji...
Pension zinazolipwa na Hazina kwa Wastaafu zimekuwa zilicheleweshwa bila taarifa kwa wastaafu.
Hadi sasa tarehe 12 July 20124, pension hizi hazijapatikana.
Pension hizi huwafaa wastaafu katika...
Changamoto ya upatikanaji wa maji katika eneo la Kitefure, Longuo, Kilimanjaro ni kubwa licha ya kipindi hiki cha mvua. Hata wakati wa mvua, tunapata shida kubwa ya maji, kwani maji yanapatikana...
Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia...
Wanafunzi wa Chuo cha Ustawi— Institute of Social Work, Bamaga, Dar es Salaam wanalalamika ratiba za masomo zinazoenda mpaka Saa 4 Usiku. Hii inahatarisha usalama wao hasa wakati wa kurudi makwao...
Wananchi tunaotumia barabara ya Mbande- Msongola tunapata changamoto kubwa hasa kipindi hiki cha mvua kwenye kipande cha Mbande Kisewe kutokana na Mkandarasi anayejenga njia kuwa kuwa slow, ni...
Chuo cha Excellence College of Allied Science kilichopo Boko Dar es Salaam wamekigeuza kuwa kama duka, wanafanya kazi wanavyotaka wao wenyewe
Kwanza ada na michango iliyopo kwenye form ni kidogo...
Eneo hili la reli lina mashimo makubwa ambayo yanahatarisha watumiaji wa barabara hasa usiku. Wananchi Eneo hili wanashuhudia ajali kila kukicha watu wakipasua tairi za magari na kupoteza mwelekeo...
Hiki unachokiona kwenye picha hapo siyo kwamba watu wapo kwenye shoo ya muziki, hapo ni Ukumbini katika Chuo Kikuu cha SAUT au Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agostino Tanzania (St. Augustine University...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.