KERO Threads

Anonymous
RESOLVED KERO 
Muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma ni wa kusikitisha na unatia hofu kwa afya za Wanafunzi. Vyoo hivyo ni vichafu kupita...
2 Reactions
9 Replies
896 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mwalimu wa Halmashauri ya wilaya ya Kasulu DC , Kumekuwepo na sintofahamu kuhusu pesa za likizo za walimu katika Halmashauri ya wilaya ya Kasulu, unaweza kuomba likizo ya malipo mwezi wa...
1 Reactions
7 Replies
436 Views
Kila kitu hoi, customer service hawapokei. CRDB mmekuwa trash sana, masaa 4 sim banking haifanyi kazi , biashara na miamala vinagoma kuendelea kwa sababu ya upumbavu wenu Trash🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Miundombinu dhaifu manspaa ya kahama mfano (1) barabara ya mgodi mdogo wa Mwime_mtakuja hadi kwa ndegesera. (2) ile inayotoka mwime_4way mpaka mjini kahama zote ni mbovu,watu wamekuwa...
3 Reactions
5 Replies
446 Views
Precious Diamond
KERO Responded 
Salaam Wakuu, Mbunge wa Mbezi Beach nimekuja tena mbele yenu na kero ya wananchi wangu🌚🌚 Kama mnavyoona kwenye video hapo hapo kuna gari imekwama imekwama asubuhi hii, hayo maji yametuama hapo...
0 Reactions
2 Replies
770 Views
Anonymous
KERO 
Kumekuwa na kawaida ya kupanda kwa kugombania mabasi ya mwendokasi nyakati za asubuhi kituo cha Mbezi Luis hasa kwa route ya Gerezani inayopelekea mkaguzi wa ticket kuzidiwa na kushindwa kukagua...
0 Reactions
0 Replies
313 Views
Anonymous
KERO 
Mimi na wenzangu kadhaa tunaosomea Shahada ya Uzamili (Master of Public Health - MPH) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuna changamoto moja kubwa ambayo imekuwa kero kwa muda mrefu na...
22 Reactions
109 Replies
9K Views
Anonymous
KERO 
Kama wamekubali kuchukua ada zetumbon awnatudharau kiasi hiki. Ukiwa mwanafaunzi pale OPEN ndiyo utaona ada yako haina thamani kabisa na moja ya kitu najilaumu ni kuijiunga na hiki chuo. Kwa...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimepita kwenye Kituo cha Mabasi yaendayo Haraka maarufu kwa jina la Mwendokasi pale Kimara Mwisho, jana Mei 25, 2025 sehemu ya vyoo vya haja ndogo upande wa Wanaume hali niliyoikuta ni hii kama...
0 Reactions
4 Replies
856 Views
Waajiriwa wengi wa JNIA Airport wanakosa professionalism. Kuna taabia ya wafanyakazi wa Airport kuomba pesa kutoka kwa wasafiri ambayo siyo nzuri na haileti picha nzuri kwa wageni. Kijana...
9 Reactions
37 Replies
2K Views
Tarehe 16.7.2024. Nilliibiwa simu ktk eneo langu la kazi. nikaenda polisi kutoa Taarifa wakanipa RB baada ya hapo nikaambiwa ni subili mpelelezi, kufika kwa mpelelezi, ananiambia kutrack simu kuna...
18 Reactions
61 Replies
4K Views
Anonymous
KERO 
Habari JamiiForums, naleta kwenu malalamiko yangu labda wakiyaona kutokea hapa ni Mimi ni mpiga picha, nimejiajiri kwenye kizi hii na ndio inayoniingizia kipato. Sasa nilikuwa nimeweka camera...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Ni aibu jinsi hii hospitali ilivyo chafu,vyoo hapo pembeni ya mortuary ni vichafu, vibovu, vimevunjika, kuta chafu sana. Haya hapo mbele ya mortuary umerundikwa uchafu, chupa, sindano...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Anonymous
KERO 
Tarehe Machi 14, 2025 niliweka 20,000 ili niweke mkeka lakini cha ajabu hela haikuonekana kwenye akaunti yangu ya HELABET licha kutuma kupitia Mtandao wa Vodacom. Nikajaribu kuwapigia simu...
0 Reactions
1 Replies
465 Views
Barabara ya Maili moja(Loliondo) mpaka Lumumba kwa mazengo haipitiki na kizungumkuti. Kwa miaka mingi sasa barabara hii haipitiki licha ya kuongezeka sana kwa wananchi wanaotumia njia hii kwenda...
0 Reactions
1 Replies
451 Views
Hapa ni Jumba Namba Nne - Michenzani usawa wa geti na RahaLeo Studio kuna karo (chemba) kutoka katika nyumba za hapo zinatoa kinyesi na maji yake ambayo yanasambaa mtaani na wala Wananchi hawajali...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
The Watchman
KERO Responded 
Wananchi na wakazi katika eneo la Mleleguo kata ya Misugusugu, Kibaha mkoa wa Pwani tumekuwa na hali ngumu sana ilinayosababishwa na uchafuzi wa mazingira unaofanywa na kiwanda cha wahindi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Niishauri serikali yangu ya Jamhuri. Changamoto huwa zipo, na tunakiri kabisa kwa sasa kuna changamoto kubwa ya usafiri kwa wakazi wa Kimara-Mbezi kutokea mjini Posta na Kariakoo. Serikali...
2 Reactions
1 Replies
390 Views
conoralbert
KERO Responded 
Katika hali ya kushangaza mfululizo wa hali ya ucheleweshwaji wa malipo ya pesa ya kujikimu na chakula kwa wanafunzi wa vyuo Vikuu imekuwa ni jambo la kawaida sana kufanywa na Bodi ya Mikopo ya...
0 Reactions
3 Replies
726 Views
Back
Top Bottom