DOKEZO Threads

Cute Wife
DOKEZO PreGE2025 
Wakuu, Mbunge na Waziri wa katiba na Sheria Damas Ndumbaro akiwa Songea ukumbi wa bombambili, alitoa 'posho' ya Tsh. 20,000/=kwa Kila mjumbe. Ambapo wajumbe hao ni wapiga kura za maoni ndani ya...
4 Reactions
53 Replies
3K Views
Anonymous
DOKEZO 
Ndugu Watanzania wenzangu, Kwa moyo mzito, tunaleta kwenu kilio cha wapangaji wa muda mrefu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) walioko katika Kiwanja Na. 8/II, Uhuru, Iringa. Baada ya kuishi kwa...
0 Reactions
0 Replies
293 Views
Habari wana JF Leo ni siku nyingine tena, natumaini mnaendelea vizuri kwa wale wenye changamoto basi Muumba awafanyie wepesi. Leo sina mambo mengi sana zaidi ya kuyatafakari maadili yetu...
2 Reactions
4 Replies
644 Views
Je, Tumeshauzwa? Zaidi ya asilimia 90 ya apps za mikopo hapa Tanzania zinamilikiwa na makampuni ya Kichina — lakini udhibiti uko wapi? Riba ni kubwa kupita kiasi, na wakopaji wanaposhindwa...
1 Reactions
0 Replies
441 Views
Tangu nimehamia huku Kisasa, Dodoma kuna eneo lilisemekana ni la Shule! Lakini Miaka ya 2012 hadi wakati huu, eneo Hilo limezidi kujengwa nyumba za kuishi watu! Wakati nahamia huku Kisasa, eneo...
0 Reactions
1 Replies
351 Views
Yoda
DOKEZO 
Kuna uhaba wa malimao na ndimu katika nchi, hapa nilipo wanauza limao moja dogo 500, la kati 700 na kubwa buku! Hii haikubaliki, nimekunywa supu ya Samaki bila malimao na sasa nakula pilau yenye...
6 Reactions
13 Replies
894 Views
Nyakijooga
DOKEZO Responded 
Mwanzoni mwa Mwezi Machi, 2025 mdau aliripoti Meli ya New Mv Victoria Hapa Kazi Tu kutofanya kazi, na niliona mamlaka husika zilitolea ufafanuzi suala hilo kwamba meli ilikuwa imesitisha huduma...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu, Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana. Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa...
53 Reactions
337 Replies
16K Views
Wiki iliyopita niliandika kuhusu Kivuko cha MV Pangani kinachofanya safari zake Pangani na Bweni hapa Mkoani Tanga kuwa kimekuwa na changamoto ya kupata hitilafu za mara kwa mara kiasi kwamba...
0 Reactions
3 Replies
747 Views
  • Solved
Mnisaidie nitoke kwenye hii kitu wazee nilibadilishaga profile picture ndo yote haya yakatokea nimeshatuma email kibao bila mafanikio Kwa anaeweza kunisaidia tafadhali wakuu
0 Reactions
9 Replies
787 Views
Anonymous
DOKEZO 
Shule ya Tusiime iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam inadaiwa kuajiri walimu kutoka nchini Uganda (zaidi ya 50), kinyume na Sheria ya kuratibu ajira za wageni nchini ya 2015, lengo likitajwa...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Waziri wa Mazingira, Mhe. Masauni Mheshimiwa Masauni, Waziri wa Mazingira, Uchafu ni kitu chochote kilicho kwenye nafasi isiyo yake. Mfano, uchafu wa kimazingira unaojulikana kama "kelele" ni...
1 Reactions
4 Replies
908 Views
Anonymous
DOKEZO 
Jiuzi nilienda ofisi ya NIDA Kinondoni huko Kawe. Kisa mtandao wao kukata nilipoenda mara ya kwanza nilipaswa kuacha makaratasi yangu ofisini kwao. Niliporudi kupigwa picha na kuchukuliwa alama za...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO 
Habari wadau hili suala nimelivumilia ila nimeshindwa kulingana na masuala ya afya Wauza mabucha wa Mtwara wakitaka kufunga bucha wanafanya usafi wa kudeki. Kisha wanachukua spray ya kuulia...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
Cute Wife
DOKEZO Responded 
Wakuu salam, Naamini wote mpaka sasa tufahamu kuhusu suala la Sativa kutekwa mpaka kupatikana jana akiwa ameteswa sana, pamoja na maelezo yake ya awali kwa polisi. Edga Mwakabela (Sativa)...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Anonymous
DOKEZO 
Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu sana ya wastaafu walio fukuzwa jeshi, walio staafishwa kwa ugonjwa, waliofariki wakiwa kazini na waliostaafu kwa taratibu za Kawaida za Jeshi la Wananchi wa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO 
Kuna taasisi hii ya DIRECT AID SOCIETY (DAS). Ina makao yake makuu Dar, inamiliki vyuo vya Morogoro University of Muslim (MUM) pamoja na SUMAIT University kipo Zanzibar. Ukweli hiki chuo cha...
0 Reactions
1 Replies
306 Views
Anonymous
DOKEZO 
Waziri wa Ardhi nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Napende kukutumia ujumbe wa utapeli au uporaji wa ardhi kwa wananchi wa Mbopo wilaya ya kinondoni na watu wanaojiita DDC...
0 Reactions
0 Replies
384 Views
Naandika andiko hili nikiwa na uchungu sana na hili jambo.Awali hili kundi lilianza kimasihara tu kama vijana wanaojihusisha na uchezaji wa kamari wao kwa wao.Pengine baada ya kuona malengo yao...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Hapa Pangani kuna kivuko kinachounganisha Pangani na Bweni kimekuwa na hitilafu za mara kwa mara na sasa kimegeuka kuwa chanzo cha usumbufu mkubwa. Wiki moja iliyopita, kivuko hicho kilipata...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Back
Top Bottom