DOKEZO Threads

Mfumo wa Tausi, Tamisemi ulipozinduliwa nilifurahi sana maana nilijua utatatua changamoto nyingi ikiwemo ununuzi wa viwanja kwa njia ya kielektroniki Ununuzi wa viwanja umekuwa tangu zamani...
2 Reactions
3 Replies
780 Views
Tulishuhudia ujenzi wa Reli ya SGR hapa Jijini Mwanza na kuelekea Isaka ukienda kwa kasi, ghafla ujenzi umesimama na hatujui ni kwa sababu gani. Tunaiomba Mamlaka itueleze nini kimekwamisha...
4 Reactions
13 Replies
692 Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Kwa madereva kwani wamekuwa wakikamata kwa uonevu unakuta dereva kaegesha sehemu ambayo muhusika wa ku-scan anaku-scan ila wao wakipita wanakukamata wakati ushascaniwa. Na pia wanakuta dereva...
2 Reactions
7 Replies
795 Views
Anonymous
DOKEZO 
Sintofahamu kuhusu Chama cha Mpanda Afya SACCOS imeendelea kwa mwaka mzima sasa tangu ofisi zake zifungwe. Wanachama hawajalipwa stahiki zao, na kila mara tunapofuatilia kwa viongozi wa chama...
0 Reactions
1 Replies
227 Views
Hili ni bomba la maji lililosahaulika kutoka enzi za Zakhiem wakati wa ujenzi wa barabara. Liko maeneo ya Mkolani Nida. Limekuwa kero maana maji yanatiririka muda wote na kutuama kama...
0 Reactions
0 Replies
472 Views
Kwa siku chache zilizopita, baadhi ya Maafisa wa Halmashauri ya Jiji wamekuwa wakiwasimamisha madereva na kuwatoza faini kwa kosa la kutumia barabara kinyume na mwelekeo, katika barabara hii ya...
0 Reactions
1 Replies
499 Views
Niliwahi kuripoti tukio la kijana mmoja mchimbaji wa madini anayeishi wilaya ya Sengerema kumrubuni mwanafunzi mmoja na kuamua kuishi nae kama mke na mme huku akijua kufanya hivyo ni uvunjifu wa...
18 Reactions
75 Replies
4K Views
Mimi kama mdau wa elimu, najitokeza kupaza sauti yangu juu ya ongezeko la mitihani isiyo na mpangilio mzuri kutoka Ofisi ya Elimu ya Sekondari – Halmashauri ya Wilaya ya Busega, Simiyu. Hali hii...
4 Reactions
10 Replies
602 Views
  • Closed
britanicca
DOKEZO Responded 
Mombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika Kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyepo sasa! Swali kwanini kwa kipindi hiki...
60 Reactions
395 Replies
144K Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Jumapili Julai 20, 2025, bibi Mkazi wa Nyakato, Mwanza akiwa ametoka Kanisani akaenda kwenye shughuli zake nyingine, aliporejea nyumbani majira ya usiku akamuona mjukuu wake wa kiume mwenye umri...
10 Reactions
55 Replies
3K Views
Hii benki imenirudisha enzi za ujima na analogy tulipokuwa tunasubiri mkopo wiki mbili mpaka tatu,yaani naenda siku ya tano, kila sehemu umetishwa na makato yameingizwa ila wao hawataki kunipa...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Abdul Nondo
DOKEZO Responded 
Mh. Rais Samia ,Waziri wa Elimu Prof.Mkenda na Wizara ya Elimu kwa ujumla kwanza napenda kupongeza mfumo huu Mpya wa Samia Scholarship ulioanzishwa kutoa ufadhili wa Masomo vyuo vikuu 100% kwa...
10 Reactions
10 Replies
3K Views
Miaka ya karibuni, kumekuwapo na maelekezo na miongozo kutoka mamlaka za udhibiti ambayo wakati mwingine hayafafafanuliwi vya kutosha, na kusababisha mkanganyiko na mabadiliko yasiyopangwa vizuri...
3 Reactions
2 Replies
519 Views
Mshangazi mdogomdogo
DOKEZO Responded 
Kuna tukio limetokea huku kwetu Kijiji cha Msonga Kata ya Runzewe, Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita, kama tutaendelea kubaki kimya hakuna kitakachofanyika na hatua hazitachukuliwa. Kuna kijana...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
WATU SIJUI tuna SHIDA ipi, unaambiwa usinunue ardhi HAPO NYUMBA zaidi ya mia Saba zinataka kubomolewa kesi IPO mahakamani, MTU UNAENDA TENA kuulizia kiwanja SAA ZINGINE MATATIZO yanayo toke NYIE...
4 Reactions
17 Replies
613 Views
babajeska
DOKEZO Responded 
Mimi ni mwanachama wa mfuko wa PSSSF niliyechangia miaka kadhaa kabla ya kupoteza ajira kutokana na sababu mbalimbali, mwaka jana (2024) nilifUatilia fao la kukosa ajira nilizungushwa hadi nikaja...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu kwema Jana nilipata changamoto ya kiafya ikabidi niende pale zahanati ya halmashauri mwenge karibu ba uwanja wa KMC ni Mwenge, nilikutana na mambo ya kushangaza sana, na huu ni wizi wa...
2 Reactions
13 Replies
692 Views
Oktoba 29, 2024, Mwanafunzi wa kike aliyekuwa anasoma Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Kibasila iliyopo Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam aliripoti tukio la kupigwa vibaya na...
0 Reactions
0 Replies
405 Views
Waziri wa TAMISEMI ingilia kati rushwa na upigaji utoaji wa fedha za kujikimu kwa ajira mpya. Ukifuatilia Halmashauri mara kwa mara wanakulipa cha kushangaza ni kwamba unapewa fedha pungufu wengi...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni jambo la kusikitisha kwamba tangu mwezi wa February hadi sasa, fedha za kujikimu kwa watumishi wapya hazijatolewa. Kimya kimya, fedha hizi zimezuiwa, na kila jaribio la kufuatilia huambulia...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom