Kuna Askari ambao wamevaa kiraia wamekuja na karandinga la Polisi hapa kwenye kituo cha Maili Moja Mkoani Pwani usiku huu kuanzia majira ya Saa Tatu Usiku na kuanza kukusanya pikipiki za kuziweka...
Wakuu,
Mtanzania mwenye umri wa miaka 33, Fatma Nassoro anapitia mateso makubwa akiwa nchini Iraq, ambako alienda kufanya kazi tangu mwaka 2022. Fatma amesema amekuwa akiishi katika mazingira...
MALALAMIKO KUHUSU UKAMATAJI WA WAFANYABIASHARA NA TOZO ZISIZOFUATA TARATIBU – MKATA, WILAYA YA HANDENI
Mdau wa Maendeleo na Mwana Jamii:
Napenda kuwasilisha kwa umma na mamlaka husika kilio...
Baadhi ya Walimu katika Shule za Msingi Mugana A na Katarabuga ziliyopo Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera wanawaagiza Wanafunzi vyuma chakavu ambavyo vimekuwa vikiuzwa kwa ajili ya manufaa yao...
Nilishawahi kuandika kuhusu hii shule, walimu hawafundishi, hawaingia darasani, headmaster haonekani shuleni, hajui kinachoendelea ktk shule anayoiongoza. Inaumiza, inasikitisha jinsi watoto wa...
Tarehe 17 may,2025. Kuna mwananchi mmoja kata ya Reha,Kijiji Cha Nessae wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro alichomwa moto na mwanachi.
Jeshi la polisi lipo kimya na tunazo Taarifa kua wanataka...
Huyu Mkenya anamiliki pori lililopo karibu raia ambapo Kwa mbele ya Hilo pori shule ya West Gate Secondary ya wanawake, nyuma ya shule hiyo kuna pori kubwa linalofuga wezi na majambazi...
Mimi ni mdau wa JamiiForums, Mkazi wa Mbezi Msakuzi, Mtaa wa Makamba, jirani na Shule ya Msingi Makamba.
Mtaani kwetu tumepitiwa na mradi mpya wa maji kutoka DAWASA, pamoja na kwamba baadhi ya...
Maeneo ya Ubungo External kwenye jengo la Benjamini Mkapa Exporting And Processing Zone (EPZA), ndani yake kuna kiwanda cha nguo TOOKU GARMENT. Kiwanda hicho kina majengo takribani 7 A–F.
Tarehe...
Mh. Waziri hongera kwa jinsi unavyomsaidia Rais wetu kwa uchapakazi wako uliotukuka. Watanzania tumekushuhudia unavyofanya kazi usiku na mchana kusaidia watanzania dhidi ya madhila ya ukatili wa...
Viongozi wa Kata ya Lukobe Kihonda katika Mtaa wa Majengo Mampya Manispaa ya Morogoro wakiwemo Mtendaji na Diwani wamekuwa wakijihusisha na biashara ya mchanga uliopo eneo la Shule ya Juhudi kwa...
Kuna Kijana mmoja tulimtuhumu kumbaka Mwanangu wa miaka minne tukapeleka malalamiko kwenye vyombo husika vya Kiserikali, Jamhuri ikafungua kesi ya ubakaji katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Aliyekuwa naibu katibu Mkuu CHADEMA bara Salum Mwalim ana hela chafu.
Ana hela hadi zinamwagika. Mimi kanipa laki tatu za kibongo.
TAKUKURU mpo wapi? Nipo tayari kutoa Ishahidi. Mkoba wenye Hela...
Najiuliza hawa DDC wanapata wapi uharali wa kupima viwanja maeneo ya Mbopo, Mabwepande na Tegeta A. Nadhani sheria za ardhi zinakiukwa na naona kuna mgogoro mkubwa unakuja huko mbeleni. Wizara ya...
Residents of Mikocheni A are facing a growing health crisis due to a heavily polluted river running through their neighborhood. The river, clogged with waste and trash, poses a significant danger...
Juzi usiku tulimpeleka hospitali ya Nanguji mwanachuo mwenzetu ambae alizidiwa, wakamfanyia vipimo na kusema utumbo umejikunja hivyo anapaswa kufanyiwa upasuaji kwa haraka, kwa pale gharama...
Malori makubwa yanapita juu ya Flyovers jijini Dar na kuna hatari kubwa mambo mengi yakatokea ikiwepo uharibifu wa miundombinu husika iliyojengwa kwa kodi zetu wananchi lakini lolote linaweza...
Chuo hiki kinamilikiwa na Wizara ya Ujenzi. Chuo hiki hakiwalipi wakufunzi wake, hakuna workshop na ukizingatia kinatoa Diploma kwa course za engineering.
Wazazi kuweni makini hiki chuo kinafaa...
Wakuu,
Mbunge na Waziri wa katiba na Sheria Damas Ndumbaro akiwa Songea ukumbi wa bombambili, alitoa 'posho' ya Tsh. 20,000/=kwa Kila mjumbe.
Ambapo wajumbe hao ni wapiga kura za maoni ndani ya...
Ndugu Watanzania wenzangu,
Kwa moyo mzito, tunaleta kwenu kilio cha wapangaji wa muda mrefu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) walioko katika Kiwanja Na. 8/II, Uhuru, Iringa. Baada ya kuishi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.