DOKEZO Threads

Chama cha Wafanyakazi wa Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA)-TRAWU, Mkoa wa Mbeya, kimetishia kugoma kufanya kazi kwa madai ya kutolipwa stahiki zao kwa zaidi ya miezi mitatu sasa Mwenyekiti...
0 Reactions
1 Replies
244 Views
Kabla sijaleta mada yangu kuhusu ubaguzi niliouona katika baadhi ya vyuo vikuu vya Tanzani ninaomba niwaulize swali moja la msingi. Je! kuna tofauti kati ya bacholor Degree ya inayoitwa university...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Jiji la Mwanza lina kumbwa na Changamoto ya mgao mkali wa Maji. Huwezi kuamini Tz ni nchi ya aina gani? Na hali ya kushangaza Jii lililo mita 60 kutoka ukingo wa Ziwa Victoria Pande zote iwe...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
Aisee najua watz wengi wenye maisha ya kawaida hutumia usafiri huu ili kupunguza gharama za maisha. Njia ya Kivukoni - Kimara ina bajaj lakini bado mwendo kasi ni vita ya kufa na kupona ambapo...
0 Reactions
4 Replies
330 Views
Kuhalisia watoto wadogo wa miaka miwili hadi minne huwa wanapelekwa vituo vya kulelea watoto ( Day care ) ambavyo viko chini ya wizara Afya na ustawi wa jamii maalum kwajili ya wazazi ambao wako...
8 Reactions
6 Replies
477 Views
Tunduma Kuna uvushaji wa mbolea za ruzuku kupeleka Zambia kwa njia ya magendo. Hii kazi inasimamiwa na vijana wa CCM, wao wanajiita vijana wa chama chini ya mbunge wa sasa David Silinde na wao...
2 Reactions
2 Replies
389 Views
Habari, kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu. Mimi nina uzoefu kwa kiasi juu ya vyakula kwa kuwa ni mtafiti, tabibu na pia ninamiliki duka la rejareja. Ingawa sipati muda wa kukaa mara...
3 Reactions
6 Replies
987 Views
Katibu mtendaji hafanyi hatimizi wajibu wake kimegeuka kijiwe cha kupiga soga na kuombana rushwa bila kutekeleza majukumu yake. Hii Nactvet makao makuu ya Dodoma mnashindwaje kumaliza shida za...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Wasalaam ndg zangu Chuo Cha TIA Kuna uozo unaendelea ambao sio mzuri Kuna wanafunzi almost 20+ kesi zao zimetoka kusikilizwa siku so nyingi lakini there is something fishy maana kesi kama hizi...
9 Reactions
125 Replies
4K Views
Anonymous
DOKEZO 
Kwa hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa, amani nchini itatoweka 1. Viongozi wa vyama vya upinzani vyenye kuonesha kuungwa na jamii (km CHADEMA na ACT-Wazalendo) wanawekewa vipingamizi visivyo na...
0 Reactions
4 Replies
441 Views
Daraja la Ngara. Hili daraja limejengwa na wakala wa barabara za mijini na vijijini TARURA na limegharimu kiasi cha shilingi milioni 763 kupitia mpango wa serikali wa kupunguza vikwazo...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Proffesa Mkeda natumah ujambo na UNAENDELEA vizuri na majukumu Yako kampeni kwa lengo la kulinja taifa Mh Proffesa MKENDA tunaamini serikali ya Tanzania iliporuhusu wawekezaji binafsi katika...
3 Reactions
6 Replies
454 Views
Kwa masikitiko makubwa, sisi wakazi wa Kinondoni tunapaza sauti zetu kulalamikia kitendo cha kumegwa kugawiwa kwa sehemu kubwa ya uwanja wa wazi wa Biafra kwa mfanyabiashara binafsi ambaye tayari...
3 Reactions
53 Replies
3K Views
Anonymous
DOKEZO 
Wilaya ya Chemba imegeuka kitovu cha malalamiko makubwa baada ya walimu na watumishi wa Idara ya Elimu Msingi wilayani humo kuibuka na tuhuma nzito dhidi ya Mkuu wa Idara ya Elimu Msingi, Bw...
2 Reactions
6 Replies
878 Views
Anaitwa Cherehani ni Mfanyabiashara pekee wa Kuuza Mihogo katika Soko la Kawe na maarufu pia. Tukio Mfanyabiashara huyu Bwana Cherehani wa Soko la Kawe alipanga njama kwa Kushirikiana na Mkewe...
24 Reactions
169 Replies
13K Views
Hawa jamaa wamejaa kwenye mitandao na polisi wanawaangalia tu wakifanya utapeli ambapo wanatumia namba za simu tofauti kupokea pesa kisha kubadili mawasiliano kila mara. Wanafanya kazi kwa majina...
0 Reactions
3 Replies
548 Views
Mimi, mwalimu katika Shule ya Sekondari Likongowele, Wilaya ya Liwale, kwa heshima kubwa napenda kuwasilisha malalamiko haya kwa mamlaka husika kuhusu hali ya usalama wangu pamoja na familia...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO 
1. Kuna mazingira ya Rushwa ya ngono kwa Watumishi wao, wakati ambao watumishi wakidai stahiki zao. 2. Kuchepusha dawa za Serikali kupeleka kwenye maduka yao ya dawa, na hivyo kusababisha uhaba...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Anonymous (c888)
DOKEZO 
Huku Mitaani kwetu Tunduma maeneo ya Mpemba kuna Mtaa unaitwa Mlenda, Balozi wa mtaa anachangisha Shilingi 5,000 kwa Wananchi akidai ni kwa ajili ya kujiandikisha kwenye mtaa wake. Je hii ni sawa...
1 Reactions
4 Replies
303 Views
Shule ya Meta secondary iliyopo mkoa wa Mbeya inayomilikiwa na CCM kupitia jumuiya ya wazazi imezulumu watumishi wake pesa za mishahara na marupurupu mengine zaidi ya watumishi 80 wanahaha...
1 Reactions
5 Replies
606 Views
Back
Top Bottom