DOKEZO Threads

Anonymous
DOKEZO 
Viongozi watupie jicho eneo hili la Kariakoo kuna wimbi kubwa la kundi la watu limekuwa likikamata Bodaboda wakishirikiana na baadhi ya Wanausalama na kuchua rushwa kuanzia elfu 10 mpaka 20...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Salam wakuu, Kama mada inavyojieleza hapo juu, like a week ago kuna jamaa yangu mmoja familia yake nzima ilikumbwa na ugonjwa wa kuharisha. Nikamwambia inawezekana pengine ni food poisoning...
7 Reactions
52 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO KERO 
Ruhunga Secondary iliyoko katika Mkoa wa Kagera, Bukoba Vijijini, Tarafa Rubale, Kata ya Ruhunga, wana utaratibu kwa Wanafunzi wa madarasa yenye mitihani (Form 2 & 4) kuweka kambi Shuleni kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
DuaZaMama
DOKEZO Responded 
Kwa kawaida, Bodi ya Ligi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wamekuwa wakitoa tuzo za msimu mara baada ya ligi kumalizika, lakini safari hii mambo yamekuwa kimya. Mashabiki na wadau...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO 
Kumekuwa na changamoto mashuleni inayohusu chakula wanachokula wanafunzi kuwa na dawa ya kuhifadhia nafaka. Hii hutokana na utaratibu mbovu wa kuhifadhi mahindi unaofanywa na baadhi ya shule...
0 Reactions
1 Replies
473 Views
Anonymous
DOKEZO 
Habari za kwenu? Kuna mwalimu wa kiume wa sekondari ya Nkoasenga anaitwa Alb.... (jina limefupishwa) katika kijiji cha Nkoasenga wilaya ya Meru, kata ya Leguruki mkoa wa Arusha anafanya biashara...
10 Reactions
59 Replies
3K Views
Anonymous
DOKEZO 
Wafanyakazi wa Idara ya Ardhi Mkoa wa Shinyanga na wale wa Manispaa ya Shinyanga wanafanya kazi zao kwa mazoea sana huku wakitengeneza mazingira ya kupokea rushwa kutoka kwa wananchi. Kama week...
2 Reactions
8 Replies
600 Views
Hofu kubwa imetanda kwa Wananchi wa Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro kutokana na uvamizi unaofanywa na wafugaji wa Kimasai kwa Wakulima Maskini wa kijiji hiki huku uongozi...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO 
Mimi kama mmoja wa wahanga wa dhahama hii, ni mwajiliwa wa kada ya ualimu, ambae niliajiliwa mwaka 2017 mwezi wa 4, nikiwa pamoja na wenzangu wapatao 30 mpaka sasa hatujapatiwa pesa yetu ya...
1 Reactions
7 Replies
416 Views
Kumekuwa na mabadiliko ambayo Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) wamefanya hasa ya kubadili vyeti vya zamani, ambapo vyeti hivyo vinahusisha hata vyeti vilivyotolewa miaka ya hivi...
2 Reactions
2 Replies
450 Views
Habari. Mimi ni mtumishi wa wizara ya afya ninayefanya kazi Moja za hospitali za rufaa nchini Tanzania. Ngoja niweke malalamiko makubwa yanatukumba sisi watumishi wa afya nchini Kwa sasa...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO 
Kutokana na tuhuma alizotoa polepole jana, zimenirudisha nyuma kidogo kiasi cha wiki mbili hivi. Hawa wasambaza gas za Taifa Gas mitungi midogo ambayo wanatoa kwa bei ya offer ghafla saba...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwaka 2009, Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) waliomba Askari kutoka JKT kwa ajili ya shughuli zao, JKT wakajibu kuwa wana Askari 81 ambapo kati yao 28 wana elimu ya Darasa la Saba na 28 ni wa...
0 Reactions
2 Replies
747 Views
Unaweza kushangaa hizi kampeni zote za Lugumi akimwaga Pesa, mara watoto Yatima n.k zina lengo gan na kwanini nguvu kubwa inatumika kumtakatisha !!. Rais Paul Kagame, ni Rais alojaliwa kua na...
31 Reactions
164 Replies
12K Views
Anonymous
DOKEZO 
Shule za msingi Njombe Mjini (sio zote) zimekuwa zikitoza hela ya mitihani kwa wanafunzi wake elfu 5 hadi elfu 10 kwa mtihani mmoja kila wiki na kwa wale wanaochelewa kulipa walimu na wakuu wao...
0 Reactions
4 Replies
708 Views
Anonymous
DOKEZO 
Sisi Wanafunzi wa Chuo cha Mbeya Training College kilichopo Uyole Mkoani Mbeya ambacho kinatoa Kozi 4 ambazo ni Laboratory Assistant, Secretary, Business Operator na Hotel Management. Mwaka jana...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za muda huu waungwana, naomba kutoa kero yangu haswa kwenye Mkoa wa Morogoro, Wilaya ya Kilosa, mimi ni mkazi wa Dumila. Kumekuwa na kero ya wafugaji wa Jamii ya Kimasai kuingiza ng'ombe...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Mfumo wa Tausi, Tamisemi ulipozinduliwa nilifurahi sana maana nilijua utatatua changamoto nyingi ikiwemo ununuzi wa viwanja kwa njia ya kielektroniki Ununuzi wa viwanja umekuwa tangu zamani...
2 Reactions
3 Replies
780 Views
Tulishuhudia ujenzi wa Reli ya SGR hapa Jijini Mwanza na kuelekea Isaka ukienda kwa kasi, ghafla ujenzi umesimama na hatujui ni kwa sababu gani. Tunaiomba Mamlaka itueleze nini kimekwamisha...
4 Reactions
13 Replies
689 Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Kwa madereva kwani wamekuwa wakikamata kwa uonevu unakuta dereva kaegesha sehemu ambayo muhusika wa ku-scan anaku-scan ila wao wakipita wanakukamata wakati ushascaniwa. Na pia wanakuta dereva...
2 Reactions
7 Replies
792 Views
Back
Top Bottom