DOKEZO Threads

Naomba unisaidie kuuliza ni lini vijana waliofanya kazi ya kuchukua maoni kwa mfumo wa viva wakati wa uchaguzi mkuu watalipwa pesa zao, kwani bado hawajalipwa na kila wakiuliza hakuna majibu.
2 Reactions
2 Replies
164 Views
Anonymous (6684)
DOKEZO 
Nina ushauri wangu kwa Serikali kuhusiana na barabara ya treni (Reli) ya kuzunguka hapa Mjini Dar es Salaam inatakiwa kufanyiwa marekebisho au maboresho kwani ni muda sasa sijaona ikifanyiwa...
0 Reactions
0 Replies
106 Views
BigTall
DOKEZO Responded 
Kama tunavyojua, mara kadhaa tumekuwa tukiwasikia baadhi ya wanasiasa wakidai kuwa wajawazito wanajifungua bure. Kauli hizi zimekuwa zikizua mijadala mikubwa kuhusu uhalisia wake, hasa...
0 Reactions
1 Replies
587 Views
KING MIDAS
DOKEZO GE2025 
Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa...
20 Reactions
152 Replies
9K Views
Mwenye nyumba Kariakoo (Mtaa wa Sikukuu/Kipata) anataka kuvuruga watu. Hapo nyuma alikuwa anapokea kodi ya TZS 24,000,000/= p.a, lakini yeye analazimisha na mwanasheria wake kuandika kodi ya TZS...
12 Reactions
53 Replies
3K Views
Wakuu habarini za wakati huu, kuna swala limenishtua sana, na sidhani kama ni jambo la kulifumbia macho kwa serikali. Suala la Elimu hasa maeneo ya vijijini limetupiwa mgongo na serikali. Shule...
1 Reactions
14 Replies
352 Views
WAKURUGENZI NA WAKUU WA IDARA (SANA SANA DMO's na DEO's) WAMEKUWA KIKWAZO KWENYE ZOEZI ZIMA LA UHAMISHO WA WATUMISHI KWA KISINGIZIO CHA KUTOKUWA ORIENTED NA MFUMO MPYA WA HUDUMA YA UHAMISHO WA...
11 Reactions
54 Replies
9K Views
Ndugu wasomaji na wanajukwaa naomba mfumo ufiche majina yangu niliyosajilia humu na hili jambo liende public tupate majibu ya serikali. Tarehe 5 Juni 2025 serikali kupitia sekretarieti ya ajira...
1 Reactions
9 Replies
411 Views
Barabara ya Inyala - Simambwe yenye Kilomita 16.7 Mkoani Mbeya iliyojengwa kwa kiwango cha lami kwa shilingi bilioni 7.05 ikiwa mwaka wa pili sasa tangu kukamilika kwa ujenzi wake tayari imeanza...
1 Reactions
7 Replies
339 Views
Shule Ya Msingi Mbosho iliyopo kata ya Masama Kati Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro ni miongoni mwa Shule kongwe zilizopo Wilayani Hai. Kwa Sasa Shule hii Inakabiliwa na Uchakavu Mkubwa wa majengo...
0 Reactions
1 Replies
213 Views
Wakuu kama alichosema Lema ni kweli basi huyu Georgina Matage ni mwanamke katili kwelikweli. Simjui Georgina Matage ila nashindwa kuelewa ujasiri alionao kuweza kumvua nguo mtu mzima kama Lema...
10 Reactions
26 Replies
1K Views
Mabinti zetu waliopelekwa kufanya kazi uarabuni kutokea Tanzania wanasoma huko uarabuni baada ya kushindwa kuvumilia unyanyasaji wanaofanyiwa na waajiri wao huko Oman. Inasemekana wazi Hana hao...
5 Reactions
35 Replies
840 Views
Si vibaya kuuliza Wakazi wa kigamboni kibada na mjimwema hadi cheka nadhani mnajionea sehemu ya barabara imevunjwa vunjwa alafu imechwa hivyo hivyo full vumbi mpaka sasa sijapata jibu kama...
1 Reactions
4 Replies
351 Views
Vidakuzi "Cookies" hufanya kazi ya kukusanya na kufuatilia taarifa zako mtandaoni, mara nyingi bila ya wewe kuona ni data gani zimekusanywa. Lengo lao kuu ni kuboresha na kulenga matangazo...
4 Reactions
9 Replies
350 Views
Katika hali ya kustaajabisha na Kuhuzunisha ambayo haijawahi kutokea, watoto watatu wa kike wajulikanao kwa majina ya Seyo Koila, Kitindi Ngai na Timbayani Salangati walichukuliwa mwaka 2015...
9 Reactions
100 Replies
3K Views
Tabia hii imekithiri na mamlaka hazikemei. Wanaoongoza kwa plate namba za kugushi ni Polisi tena kwenye gari zao binafsi sio za ofisi. Leo unaikuta na namba ya kenya, wiki ijayo chassis number...
8 Reactions
28 Replies
982 Views
Wakuu, Katika nchi ambayo ina uwajibikaji na Polisi inafanya kazi kweli sio kuweka “Patrol za Mtandaoni” kusaka wanaoikosoa Serikali na kuhamasisha uwajibikaji, askari huyu alitakiwa kuwa...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Sijajua vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wa nchi vimejisahau au vimelala. Wakuu kumekua na wimbi kubwa sana la wahamiaji haramu hasa wamalawi, aisee jamaa wametapakaa mitaani sana Nadhani kwa...
19 Reactions
286 Replies
13K Views
Anonymous
DOKEZO 
Katika hali inayoashiria mtandao wa fedha haramu, familia moja yenye uhusiano wa karibu na vigogo nchini Tanzania inadaiwa kuteka mfumo mzima wa uagizaji wa magari ya mtumba kutoka Japan, na...
14 Reactions
27 Replies
1K Views
Back
Top Bottom