A
Anonymous
Guest
Nina ushauri wangu kwa Serikali kuhusiana na barabara ya treni (Reli) ya kuzunguka hapa Mjini Dar es Salaam inatakiwa kufanyiwa marekebisho au maboresho kwani ni muda sasa sijaona ikifanyiwa maboresho na inaendelea kutumika kama kawaida.
Tusisubiri hadi majanga yatokee yatakayosababishwa na changamoto ya ubovu au uchakavu wa reli hiyo.
Tusisubiri hadi majanga yatokee yatakayosababishwa na changamoto ya ubovu au uchakavu wa reli hiyo.