LARRYBWAY Member Feb 21, 2012 82 5 Jun 25, 2016 #1 Mambo zenu wakuu, nauza Toyota starlet Carat 6.5 Milioni, ina mziki, AC, haina tatizo kbs. Kwa muhitaji awasiliane na mm kwa simu namba 0717 54 73 25. Pia tunaweza kubageni.
Mambo zenu wakuu, nauza Toyota starlet Carat 6.5 Milioni, ina mziki, AC, haina tatizo kbs. Kwa muhitaji awasiliane na mm kwa simu namba 0717 54 73 25. Pia tunaweza kubageni.
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Aug 1, 2012 3,636 2,725 Jun 25, 2016 #2 Kuna jamaa humu ameleta uzi, ananunua IST kwa M6. Mchek anaweza akaipenda...
LARRYBWAY Member Feb 21, 2012 82 5 Jun 25, 2016 Thread starter #3 Usedcountrynewpipo said: Kuna jamaa humu ameleta uzi, ananunua IST kwa M6. Mchek anaweza akaipenda... Click to expand... Asante kaka kwa ushauri
Usedcountrynewpipo said: Kuna jamaa humu ameleta uzi, ananunua IST kwa M6. Mchek anaweza akaipenda... Click to expand... Asante kaka kwa ushauri
Mkwere Sumbawanga JF-Expert Member Sep 28, 2015 744 660 Jun 25, 2016 #5 jaribu na blog kama kupatana unaweza pata mteja kwa haraka
Tape measure JF-Expert Member Nov 26, 2015 1,980 3,578 Jun 25, 2016 #6 Starlet aka nyumba ndogo? Gari nzuri kwa kuhongea michepuko
Extrovert JF-Expert Member Feb 29, 2016 69,885 183,949 Jun 25, 2016 #7 piga na ndani mkuu, funua bonnet piga na engine tuone