Rajabu Msechu
Member
- Apr 13, 2016
- 35
- 18
Hbr zenu wananchi wa JF, natumaini kwa uweza wake Maulana hatujambo.
Kama bango linavyojieleza, nauza gari aina ya Toyota Starlet.
Imelipiwa vibali vyote na ipo kwenye hali nzuri kabisa.
Nimeambatanisha na picha zake.
Bei inaanzia Milioni 6.3 huku mazungumzo yakiwepo.
0717 54 73 25.