CHADEMA 'mnazingua'

CHADEMA 'mnazingua'

Itapelekea mtu mwenye uelewa mkubwa kukubaliana na porojo hizo hapo juu:

  1. Hizo projo hazitabainishii ni katika forum ipi hicho chama kimeamua kufanya mageuzi. Mfano watu wachache au mtu mmoja alipowazia kuleta wazo la "Ujamaa na Kujitegemea" wakati chama kilikuwa TANU, kuliitishwa kongamano la Halmashauri Kuu ya chama. Halmashauri hiyo ilikaa Arusha na ikatoka na maazimio baada ya mjadala mrefu. Likazailiwa likiwa Azimio la Arusha. yapo mageuzi mengi yaliyoisha anzishwa na aidha TANU au CCM kwa nyakai mbali mbali kama, Uhuru ni Kazi, Siasa ni Kilimo, Azimio la Arusha, Kilimo Kwanza nk nk. Sasa haya mageuzi unayoyazungumzia ni Mageuzi ya chama au ni Mageuzi ya mtu?
Mimi naona ni mageuzi kichwani mwa mtu na anatutaka tuamini kuwa ni mageuzi ya chama- Nakataa.

2. Mageuzi utokana na kujitathmini:
Katika tahmini ninayo iona hapa ni kuwa chama kilijaa Mafisadi na wala Rushwa ndicho kigingi kikubwa cha
maendeleo ya Watanzania. Ufisadi na rushwa ni mizizi ya tatizo au ni matawi ya tatizo kwa matatizo ya Watanzania?
Vipi uwezo mdogo wa chama na ubnafsi wa wenye chama?

a) UWEZO: Chama kilipewa nchi kwa zaidi ya miaka 50 sasa, mfano unavyo mpatia mtu kandarasi ya kukujengea nyumba yako, ukiamini kuwa ni fundi stadi kwa anavyo jinasibu ndani ya zabuni nk. Baada ya nyumba kukamilika unagundua imejengwa ikiwa ina kasoro kibao, sakafu inakatika, rangi haing'ai, mabomba yanavuja, umeme ni shoti kila siku, nk nk. Unafuatilia unakuta kuwa japo kandarasi alikuwa simati, kwa maneno kumbe simati yake ilikuwa feki, mafundi aliokuwa akiwatumia wengi hawakujifunzia kazi walizokuwa wakizifanya. Kuna wafanya kazi hewa kibao katika orodha yake ya wafanya kazi usimamizi hajui.
CCM ilikuwa kila baada ya miaka mitano inapewa dola la tanzania. Inaajili watu wakuiwezesha kufikia Ilani zake ilizo zinadi. Baada ya miaka 50 nchi inaonekana haisogei mahali pamoja na raslimali nyimgi ilizo nazo inafahamika kuwa imekuwa ikitumia maelufu ya wafanyakazi hewa. imekuwa na wengi wa watumishi ilio kuwa ikiwatumia wakiwa na elimu feki. (Imedhihirishwa na ccm wenyewe kupitia kwa Mwenyekiti wao)
CCM inadhihirisha kuwa tatizo lake kubwa ni uwezo, capacity, capacity ya kufanya vitu kitaasisi, kidola kwa skills za utawala zilizo tukuka. CCm haikuwa nazo na bado hainyeshi kuwa inakwenda kuwa nazo.

Ingekuwa nazo bunge leo hii lingekuwa limeisha toka kwenye ndioooooo, ndiooooo na kujikita katika constructive mission ya kujenga hoja kuiongoza serikali nk nk na kufanya hivyo kunatakiwa uwepowa collective vision. Iko hivyo????
Kufuta sheria zote zilizowekwa kihewa na kivyeti feki pia kuwepo kwa katiba safi.

b) UBINAFSI:
CCM imejiianisha kuondoa tofauti kati ya CCM "Wenyewe na CCM "Vibao"?
Wenyewe ni wale katika mfumo mfu walijilimbikizia mali na mali (Majumba, Magari, Mahoteli, Ardhi, nk). Wengine walichota pesa wakanunua au walichukua vilivyokuwa ni mali ya serikali. Hata chama kilifanya hivyo, mfano viwanja vya michezo. Anzia Ikulu, Upanga, Osterbay, Msasani, mikoceni, na kila pazuri DAR na kwingineko ukifika hutaamini wanaishi kama Watanzania wa watoto wa wakulima maskini ambao ndio "CCM VIBAO".

Je katika mageuzi kuna mpango wa kuvirudisha hivyo walivyojilimbizia wenyewe kwa vibao (80% ya watanzania)?

Au kuwa walioisha vipata waishi kama mbinguni na wanaotafuta maisha sasa katikati ya mageuzi waishi kama mashetani?

kama sivyo, rationally ya Watu wote ni sawa, kila mtu anastahili heshima, kila mtu atapata urithi sawa nk nk viko wapi?

TUTAFAKARI>
 
Wateja wa nini? Sema sitakuwa na marafiki walio tayari kusikia ukweli. Hatuna muda wa kupindisha mambo,CHADEMA inazingua
Wewe si wakili, kula yako inategemea wateja, labda kama ni wakili wa serikali. Umeandika rubbish kwa kiwango chako. Angalia response zote against your post zinatoa reasoned arguments. Utatangaza sera kwenye mabomu?
 
They can't; because they destroyed their precious moral authority base by coming up with a swayed move of aerial gears changing.
 
One expects a highly reasoned argument from a lawyer since a lawyer is a philosopher!

What's a highly reasoned argument?

What's the metric to it?

And who decides that metric to be the metric and why?

A lawyer is a philosopher? Per who?
 
Questionable lawyer with zero ability to assess the current political situation in the country.

Petro, huwa nakushangaa sometimes! Wewe ni lawyer, inabidi uwe na wider vision kuliko sisi, utupanue! Platform ya kungelea iko wapi? Kila mmoja anakamatwa na polisi, kesi, rumende and the like! Nadhani ungeliongelea namna ya kupata uwanja wa kueleza sera ni upi katika mazingira ya sasa. Kinachofanywa sasa ni kutafuta wapi pa kuongelea. Chase the hyena first , then come to warn the hen about wandering into the forest!..... (chinua achebe) ...kitu kama hicho ingawa not that precise na context ya Chinua. Kama hyena anakula watoto wa kuku, lazima kazi kubwa ni kumfukuza hyena kabla ya kuanza sasa kuhubiri maendeleo ya kuwaokoa watoto. Let us discuss Learned Brother
 
Kama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.

Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.

Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.

Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
Mbona lugha yako ni ya wabwia unga! utaweza kuwaelewa?
 
Kuna kiongozi alipata kusema chama kikishindwa uchaguzi mara tatu mfululizo basi hugeuka chama cha magaidi. Saiz wanamalizana wao kwa wao.hoja hawana wamebaki kufanya uhaini tu
 
Kama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.

Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.

Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.

Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!

Petro huenda una hoja sitaki kukupinga. Umesema unakitetea na kukiunga mkono cdm na huenda kweli wanarukia matamko. Hebu toa wazo la ajenda yoyote unayoona inafaa ili cdm waisimamie na ukiweza utoe njia za kuitekeleza kwenye mazingira inayokutana nayo toka kwa vyombo vya dola/ serekali. Isije ikawa na ww unatafuta fursa kwa kuiponda cdm kumbe huna wazo lolote zaidi ya kuzingua.
 
Kweli wame poteza muelekeo imekua kama wale kondoo waliokua wamepote mpaka mungu akamtoa yesu kualudisha da mpaka huluma
 
Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini.

Ushauri wako ungekuwa na msaada zaidi endapo ungeonyesha angalau kidogo "how" au jinsi ambavyo wanaweza kutekeleza hayo unayoshauri. Hususani katika mazingira haya ambapo kufanya shughuli za kisiasa kama mikutano n.k. imepigwa marufuku mpaka mwaka 2020.

Kinyume na hapo utakuwa unaendeleza vijembe na mipasho ile ile inayotupwa na mtaa wa lumumba.
 
Kama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.

Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.

Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.

Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!

Wakaongelee wapi kwa mfano. Slaa alikuwa naongea kwa vile alikuwa na jukwaa huru ndipo alipoeleweka. Give them platform ndio ujue wana sera au hawana.... Simple!

Wengi wanelewa CDM wanayo sera tena nzuri tuu. Nayo ni kuimarisha uchumi wa nchi kwa kupambana na mfumo uliodunisha huo uchumi kwa kutumia njia zilizo halali na utaratibu unaokubalika kitaifa na kimataifa bila kudhalilisha maisha ya mwananchi wala kumwonea mwananchi yeyote na bila ya kuathiri maisha ya mwananchi wa kawaida ambayo tayari yalikuwa hohe hahe. .
 
Chadema ilikuwa enzi za Dr slaa siku hz wapo wapiga deal tu kwa kifupi chadema ya leo ndio ccm ya jana and vice versa
 
Kama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.

Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.

Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.

Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
Ninakupongeza kuwashitua hao jamaa, ila ukweli ni kuwa they are really done. Baadhi yetu tulioweleza viongozi wao kuwa they were going to drown politically walitubeza na kutuita wasaliti. Wao (uwezo mdogo kiuongozi) walichagua kurusha vijembe vya kuokoteza. Hawana na wala hawatarajii kuwa na political programme. 2020 wasahau; they are already learning the hard way.
 
Kama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.

Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.

Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.

Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
watu wako huku wewe uko kule
 
mkuu, mwanasheria tena "msomi"...... yaani kweli na "usomi" wote huo kweli hadi sasa bado hujaona mazingira magumu wapinzani wanayokabiliana nayo kisiasa?
nilitarajia pengine una nia nzuri ya kuusaidia upinzani kwa kuja na hoja za kuwasaidia "kujipanga na kuwinda ushindi 2020", lakini sadly naona umeishia kulaumu na kuponda tu ndugu yetu msomi sana.

Tundu Lissu amekuwa akipigana vita sahihi kabisa kutokana na mazingira ya kisiasa - kama ni kutengeneza barabara basi yeye amekuwa aki-play role ya "caterpillar" ili aweke mazingira mazuri (platform) ya kuendeshea siasa itakayowawezesha "kujipanga na kuwinda ushindi 2020". ina maana hili na usomi wote huo mkuu umeshindwa kuling'amua??

hizi elimu tunazopata ziwe msaada kwetu wajameni!
 
Back
Top Bottom