Recent content by Zururu

  1. Zururu

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu mechi ya ngao ya jamii kati ya Yanga na Simba

    Mbwa
  2. Zururu

    JamiiForums Tanzania Kuna vivutio gani mkoa wa Mara?

    Tarime ardhi yenye rutuba kwa kilimo cha ndizi,mtama mwekundu na mahindi. Ufugaji ng'ombe, kondoo na mbuzi Kuna boda ya sirari hapo biashara ya mpakani utaifaidi
  3. Zururu

    JamiiForums Tanzania Kuna vivutio gani mkoa wa Mara?

    Hiyo ni musoma tupe vya tarime
  4. Zururu

    JamiiForums Tanzania Neymar mbioni kustaafu kuichezea Brazil

    Naunga mkono hoja kama mbrazili wa ushabiki huyu dogo ameshindwa kuiheshimisha Brazil kama kaka zake ronaldo, romario, rivaldo
  5. Zururu

    JamiiForums Tanzania Yanga wamletea ubishi Mo Dewji

    Yanga wanatuchanganya tu hawana mpangilio wala kipaumbele
  6. Zururu

    JamiiForums Tanzania Kiumbe mkubwa nyuma ya kiti cha Rais na hatma ya maendeleo yetu

    Dah! Umekata tamaaa
  7. Zururu

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu za kumng'oa mbunge aliyeshika hatamu kwa miaka 25 mfululizo

    Wanasiasa Wana shirikina wa hali ya juuu usipokuwa umejipanga utaiona rangi yao. Siasa za Africa ni siasa za ovyooooo
  8. Zururu

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi tongoza ndugu wa mke tukutane hapa

    Nakumbuka mwaka 2018 nilimtongoza shemeji akatia tiki na tulipo kuja kujua tukazungumza ikawa Siri
  9. Zururu

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi tongoza ndugu wa mke tukutane hapa

    Aibu ya nini na mlikuwa hamjuani, je alikubali au alikuchomolea
  10. Zururu

    JamiiForums Tanzania Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

    William kama wille kaupiga mwingiiiii
  11. Zururu

    JamiiForums Tanzania Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

    Hahaa! Mi mama ni muislam baba ni mkatoliki but familia ipo na sasa na Mimi nimeoa muislam
  12. Zururu

    JamiiForums Tanzania Yanga itaendelea kuwatesa wasioitakia mema

    Bado mapema sana kutangaza ubingwa. Ila kwa matokeo haya yanga ikijitutumua na Simba ikiwakimbiza kwa kasi waki droo mechi itakuwa ni maumivu
  13. Zururu

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

    Mnatusumbua na siasa zenu za madafu. Kwa hiyo mbowe kaenda kupeleka shukurani kwa kufutiwa kesi ya ugaidi. Tanzania inasikitisha
  14. Zururu

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa Kuwa Spy bila kupitia Jeshi??

    Spy = mpelelezi lazima mafunzo wakati informer=mpasha habari hatakama hana mafunzo ni poa bt ajue nini anatolea taarifa
Back
Top Bottom